Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Sasa hivi wazanzibar wapo kimya kwasababu wanaiba pesa za Tanganyika na kuzihamishia uarabuni

Wanajimilikisha ardhi ya Tanzania

Wanalamba uteuzi Tanganyika
 
Kwa kauli ya Mama wa watu kwamba serikali isifanye biashara nafikiri mashirika yote.
 
Hakuna sehemu nimekuzuia kumpenda na kumuimbia mama yako SHH mapambio ndiomaana nilichagua kukupuuza badala ya kujadili chochote na wewe tena.

Nimekuupuza , sijakuzuia kutoa hoja zako kwasababu yapo mabumunda menzio ambayo yatakubaliana ma wewe. HATUWEZI KUFANANA kimawazo.

Kila la kheri.
Mimi na Samia ni mwendo wa "Mahaba niue" huwezi kunifosi nimchukie au nimtukane ili nikufurahishe wewe abadan asilani.
 
Hawawezi maana yake hawana upeo wala weledi,tatizo wanavyo vyote hivyo
Ni asili ya mwafrika akiacha ubinafsi ndipo ataanza kuendelea.
Umeshawahi ona mtawala au gavana wa kikoloni amewahi fanya ufisadi.
Sheria zetu zinawaogopa mafisadi jela ni kwa ajili ya watu masikini.
Bongo kesi ni biashara ya kukaa mezani.
 
Mwl Nyerere aliwahi kusema huko nyuma kwamba , nanukuu "ANAYEKULA NYAMA YA MTU HAACHI" Mwisho wa kunukuu , kwa tafsiri pana maana ya usemi huu wa Nyerere ni kama ile methali ya wahenga iliyosema MAZOEA HUJENGA TABIA

Kwamba ukizoea kufanya jambo fulani basi utaendelea tu kulifanya hata kama ni baya , ili mradi wewe binafsi au familia yako inafaidika .

Bandari zetu wamepewa Waarabu kibwege kabisa kwa vile tu wenye mamlaka wameamua kuigawa ili wao wafaidike , nakuhakikishieni kwamba hakuta kuwa na ufanisi wowote ule , NIPO HAPA JF NIMEKAA , Yaani tunauza mali zetu kwa ajili ya uvivu tu wa kazi na fikra , yaani tunaamini tu kwamba hatuwezi , ila wanaoweza ni waarabu ! Poor Tanzania !

Tumesahau ya NET GROUP , ATCL , TRL , TTCL na hata RICHMOND , tulitumia nguvu kubwa kushawishi na kudanganya umma kwamba kutakuwa na Tija , leo kiko wapi ?

Haya mmeuza Bandari kwa watu wenu ni Shirika lipi lingine mnafuatia kuliuza ili tujiandae ?

Nakulilia Tanzania .

View attachment 2652644
Inasikitisha kwa kweli.
 
Kikubwa Watanzania jifunzeni kuongea kwa research, sio kwa mihemko na ushabiki.
Fuatilia kwa umakini ujue, elewa na ufahamu kwanza.

Elimu duni ni mzigoo
Nina uhakika mama akistaafu atatunga kitabu,one of the content itakuwa kujuta kuprivatize bandari!!
Haya yalimkuta juliasi kwenye sisal
Mkapa kwenye privatization
Kikwete kwenye kuwa mislead na subordinates wake!!
Hata JPM asingekufa Kuna issue hasa ya democracy angejutia!?
NB : muda ni mwalimu mzuri Sana tusubiri
 
Back
Top Bottom