Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu anaitwa Abu Bakar Umar bin Samia[emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 2652655
Mwendokasi ipigwe mnada tu washafeli1. Mwendokasi
2. Reli ya SGR
Suuubutuuuuuuuu!!Watumishi waliopo wataendelea na kazi.
Mimi na Samia ni mwendo wa "Mahaba niue" huwezi kunifosi nimchukie au nimtukane ili nikufurahishe wewe abadan asilani.Hakuna sehemu nimekuzuia kumpenda na kumuimbia mama yako SHH mapambio ndiomaana nilichagua kukupuuza badala ya kujadili chochote na wewe tena.
Nimekuupuza , sijakuzuia kutoa hoja zako kwasababu yapo mabumunda menzio ambayo yatakubaliana ma wewe. HATUWEZI KUFANANA kimawazo.
Kila la kheri.
Ni asili ya mwafrika akiacha ubinafsi ndipo ataanza kuendelea.Hawawezi maana yake hawana upeo wala weledi,tatizo wanavyo vyote hivyo
Inasikitisha kwa kweli.Mwl Nyerere aliwahi kusema huko nyuma kwamba , nanukuu "ANAYEKULA NYAMA YA MTU HAACHI" Mwisho wa kunukuu , kwa tafsiri pana maana ya usemi huu wa Nyerere ni kama ile methali ya wahenga iliyosema MAZOEA HUJENGA TABIA
Kwamba ukizoea kufanya jambo fulani basi utaendelea tu kulifanya hata kama ni baya , ili mradi wewe binafsi au familia yako inafaidika .
Bandari zetu wamepewa Waarabu kibwege kabisa kwa vile tu wenye mamlaka wameamua kuigawa ili wao wafaidike , nakuhakikishieni kwamba hakuta kuwa na ufanisi wowote ule , NIPO HAPA JF NIMEKAA , Yaani tunauza mali zetu kwa ajili ya uvivu tu wa kazi na fikra , yaani tunaamini tu kwamba hatuwezi , ila wanaoweza ni waarabu ! Poor Tanzania !
Tumesahau ya NET GROUP , ATCL , TRL , TTCL na hata RICHMOND , tulitumia nguvu kubwa kushawishi na kudanganya umma kwamba kutakuwa na Tija , leo kiko wapi ?
Haya mmeuza Bandari kwa watu wenu ni Shirika lipi lingine mnafuatia kuliuza ili tujiandae ?
Nakulilia Tanzania .
View attachment 2652644
Nina uhakika mama akistaafu atatunga kitabu,one of the content itakuwa kujuta kuprivatize bandari!!Kikubwa Watanzania jifunzeni kuongea kwa research, sio kwa mihemko na ushabiki.
Fuatilia kwa umakini ujue, elewa na ufahamu kwanza.
Elimu duni ni mzigoo