Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Taarifa za bandari ya Dar kuipiku ya Mombasa kwa ufanisi hadi Gerson Msigwa aliishadadia.

Leo tunaambiwa Dar nanga siku 5 Mombasa 1.3!

Muwe mnakanusha na mnapopewa maua yasiyo yenu!
 
Kwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] japo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
“Mwaka huu vichogo lazima muhame nchi” Alisikika mpemba mwarabu.
20230321_151550.jpg
 
Mwl Nyerere aliwahi kusema huko nyuma kwamba , nanukuu "ANAYEKULA NYAMA YA MTU HAACHI" Mwisho wa kunukuu , kwa tafsiri pana maana ya usemi huu wa Nyerere ni kama ile methali ya wahenga iliyosema MAZOEA HUJENGA TABIA

Kwamba ukizoea kufanya jambo fulani basi utaendelea tu kulifanya hata kama ni baya , ili mradi wewe binafsi au familia yako inafaidika .

Bandari zetu wamepewa Waarabu kibwege kabisa kwa vile tu wenye mamlaka wameamua kuigawa ili wao wafaidike , nakuhakikishieni kwamba hakuta kuwa na ufanisi wowote ule , NIPO HAPA JF NIMEKAA , Yaani tunauza mali zetu kwa ajili ya uvivu tu wa kazi na fikra , yaani tunaamini tu kwamba hatuwezi , ila wanaweza ni waarabu ! Poor Tanzania !

Tumesahau ya NET GROUP , ATCL , TTCL na hata RICHMOND , tulitumia nguvu kubwa kushawishi na kudanganya umma kwamba kutakuwa na Tija , leo kiko wapi ?

Haya mmeuza Bandari kwa watu wenu ni Shirika lipi lingine mnafuatia kuliuza ili tujiandae ?

Nakulilia Tanzania .

View attachment 2652644
1. Mwendokasi
2. Reli ya SGR
 
Wabunge wanaongea kwa tumia HAMASA na kufukuzia TEUZI badala ya kutumia WELEDI
Huku mitaani kuna WASOMI wa kila aina kuliko huko bungeni hivyo lazima wajue kuwa kila wanachoongea na kuchambua watu huku mitaani wanafanyia PERFORMANCE APPRAISAL kwa maslahi mapana ya Tanganyika.
 
Waziri: Meli itaweza kukaa masaa 24 tu badala ya siku 5(kwenye kuwasilisha hoja)

Waziri : Meli itaweza kaa kwa siku moja na nusu badala ya tano........then lately anasema meli itakaa sio zaidi ya siku mbili(kwenye kuhitimisha hoja)
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Professor Makame Mnyaa Mbalawa
Waziri Wa Ujenzi Na Uchukuzi Wa JMT
 
Yote Tuwape wenye uwezo wa kuendesha miradi Sio kosa ndio walichofanya waarabu wamewapa wazungu thus wakaendelea.
Hatuwezi jiongoza
 
Serikali inajichanganya sana katika hili.

Katika Clubhouse ya Msigwa, Msemaji wa serikali (Msigwa) ameikana. Hapo hapo alikuwa na CEO wa TPA, kila kifungu anachokisema na kukinukuu CEO kipo katika ile ya mtandaoni. Kifungu kwa kifungu.This was a contradiction.

Hata kama huu mkataba ni mzuri na una manufaa kwa umma na raia wengi sana wanaweza kuutetea, serikali inavyofanya usiri, usiri huo unatoa ishara kwamba kuna jambo baya.

Kwa nini mikataba hii haiwekwi wazi?

Nature abhors a vacuum, katika Information Theory tunafundishwa kwamba, usipoweka habari sahihi wazi, unaalika habari zisizo sahihi zisambae. This is PR 101, somo la awali kabisa katika PR. Kwa nini serikali inaendekeza usiri? Ni kwa sababu sisi ni washamba sana tunaendekeza usiri wa kizamani?

Au ni kweli usiri unatokana na ukweli kwamba serikali inajua kuwa mikataba ikiwekwa wazi na kukubaliwa na serikali kuwa hii ndiyo mikataba yenyewe, wananchi wataikosoa na kuonesha mapungufu?

So, huu ni ushamba, hadaa ya wezi au yote mawili pamoja?

Kama mkataba una manufaa sana kwa wananchi, kwa nini usiwekwe wazi?

Kwa nini uliwekwa kwenye tovuti ya bunge halafu ukatolewa? Bunge halijui kwamba wananchi wanaweza kuwasaidia sana wabunge kujadili mkataba?

Kwa nini Msigwa aliukataa Clubhouse? Kama huo alioukataa Msigwa si wenyewe, wenyewe uko wapi?

Wananchi wana haki ya kikatiba (ibara ya 18 (1) na (2) ) ya kujua jinsi nchi yao inavyoendeshwa. Serikali haioni kwamba inavunja katiba kwa kupitisha hii mikataba bila kuwaonesha wananchi mikataba inasemaje?
Na mambo yaliyojadiliwa leo bungeni ni yale yale ambayo yamo kwenye IGA ambayo imeenea mtandaoni.

Ninachojiuliza ni kwa nini wanataka wananchi watoe maoni yao kuhusu hiyo IGA lakini hawataki waione!

Wametoa ufafanuzi wa kifungu kwa kifungu lakini wako kimya kuhusu kifungu kinachohusu kuvinjika kwa Agreement. Kuwa piga ua Agreement haiwezi kuvunjwa!
Amandla...
 
BAADA YA AZIMIO KUHISU BANDARI

Kwa vile wanaojiita wawakilishi wa wananchi wanawakilisha matumbo yao na familia zao na wamewatosa wananchi huku wakitumbua kodi zao sasa wananchi waazimie kwa pamoja yafuatayo maana hawana lingine wawezalo kwa jatiba hii ya sasa.
1. Kuwazomea wabunge kokote wapitapo na magari yao hadi wapate SONONA.
2. Kuwasusia mambo yao ya kijamii kama vile harusi, hitma, kipaimara nk labda kifo tuu kwenda kuzika maana mtu wao akioza atatunukia.
3. Kuwasemanga wake zao saloon na sokoni na wale wakike waume zao tukikutana kwenye ulabu tuwachunie hadi wajione kama nguchiro tuu.
4. Kifupi tuwatenge kama ngedere hadi wafe tuu kwaasononeko.
AZIMIO HILI LIUNGWE MKONO.
 
Wabunge wanaongea kwa tumia HAMASA na kufukuzia TEUZI badala ya kutumia WELEDI
Huku mitaani kuna WASOMI wa kila aina kuliko huko bungeni hivyo lazima wajue kuwa kila wanachoongea na kuchambua watu huku mitaani wanafanyia PERFORMANCE APPRAISAL kwa maslahi mapana ya Tanganyika.
 
Ahaa...kwahiyo ulitaka tuwe na fikra moja kama wale Wanyamapori maarufu ambao mmoja wao akivuka Mto Mara woote wanamfuata hata kama yeye analiwa na Mamba? Sijui wanaitwaje wale.

Look Bro, mimi fikra zangu ni HURU huwa nayaangalia mambo kivyangu

Ningekuwa namtuka Samia ungenipa likes nyingi sana, huo ni utoto.

Hakuna sehemu nimekuzuia kumpenda na kumuimbia mama yako SHH mapambio ndiomaana nilichagua kukupuuza badala ya kujadili chochote na wewe tena.

Nimekuupuza , sijakuzuia kutoa hoja zako kwasababu yapo mabumunda menzio ambayo yatakubaliana ma wewe. HATUWEZI KUFANANA kimawazo.

Kila la kheri.
 
Imeshakamilika Kazi Ya Ccm Na DP World Wanafanya Homecoming Party Hapa Tanzania
Ahsante mama Samia, umetufanya Tanzania sasa tufanye kazi na ma giants duniani.

Mabafiliko sasa tutayashuhudia, siyo longolongo za wapiga madili.

Natamani DP world waanze kazi hata leo, wafumue fumue vichaka vya wapigaji bandarini.
 
Back
Top Bottom