imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Ahahaa umeibukia wapi?Nioneshe sehemu au ushahidi kuwa alifukuzwa
Acheni kupotosha watu!
bro unajua unachokisema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaa umeibukia wapi?Nioneshe sehemu au ushahidi kuwa alifukuzwa
Acheni kupotosha watu!
bro unajua unachokisema?
Oh nakumbuka enzi za mwenda zake yule mbunge ambae anajina kama la chombo cha usafiri pikipiki ya miguu 3 , alikiwa anatumika sana kushambulia wapinzaniNi mipango mkakati yaani Nani aanze kuchangia na Nani amalizie na atamaliziaje.
CEO mkataba umepita sasa utukumbuke kwenye ufalme wakoAhahaa umeibukia wapi?
Hao jamaa sio kama sisi maCEO wetu kazi yao ni kula Miradi mpaka ifilisike.CEO wa DP world.
I think ubunge ni kazi rahisi kuliko nyingi hapa Tanzania, maana tangu nimeangalia aliyeweka ushauri ni kigwangala tu wa kuingiza kampuni katika soko la hisa wengine ni kusifu ujinga na kutishia wanaopinga!!!!Kikao cha leo kilikuwa cha kuishauri serikali iende vipi itapoingia mikataba ya kiutendaji kutokana na makubaliano ya ushirikiano na maendeleo tuliokubaliana na Dubai.
Mkuu usiwe na Wasiwasi DPWorld wakitia timu nitakutonya pm.CEO mkataba umepita sasa utukumbuke kwenye ufalme wako
Ivi Biden alishawahi ku appear hapo ktk kidudeicho ? Kuna vitu ni cheap sanaView attachment 2652622
Eti serikali haijalipia
si bora tu ingelipia cash kuliko hili waloenda kulifanya?
unafurahia ofa bila kujua inreturn watahitaji niniView attachment 2652625
Kusaini mikataba 37 ndani ya siku 1
then tunahjisifu hapa
Wewe ulitaka wakutambue kwamba ni Mpemba?HIvi hawa wabunge wamewahi kukaa Zanzibar au Pemba na waka-experience ubaguzi uliopo huko.? Au wanaongea kwa mihemko tu.? Niliwahi kutamkiwa na Mpemba nikiwa chakechake kuwa hawanitambui sababu mimi si Mpemba. Ubaguzi upo Zanzibar na Pemba