Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Ni mipango mkakati yaani Nani aanze kuchangia na Nani amalizie na atamaliziaje.
Oh nakumbuka enzi za mwenda zake yule mbunge ambae anajina kama la chombo cha usafiri pikipiki ya miguu 3 , alikiwa anatumika sana kushambulia wapinzani
 
Jamani namba tuta soma wote. CCM na Wapagani. Uzeni kila kitu. Mmeuza Ngorongoro, Bandari, Mafuta, Migodi, Mkaa, Hadi vyeo.
 
Kikao cha leo kilikuwa cha kuishauri serikali iende vipi itapoingia mikataba ya kiutendaji kutokana na makubaliano ya ushirikiano na maendeleo tuliokubaliana na Dubai.
I think ubunge ni kazi rahisi kuliko nyingi hapa Tanzania, maana tangu nimeangalia aliyeweka ushauri ni kigwangala tu wa kuingiza kampuni katika soko la hisa wengine ni kusifu ujinga na kutishia wanaopinga!!!!
Wao wametaka maoni, kupinga pia ni maoni na zaidi wapo wanaohoji vipengele ili virekebishwe au kufafanua zaid lakini wanakua crushed maskini!!!!!!
 
Imekwisha, miaka watayokubaliana Asilimia 90 ya waliyopitisha hawatakuwepo duniani
 
Bunge litambue kuwa huo Mkataba wa makubaliano ukiwekewa kinga ya kisheria, utatumika kama Katiba na mikataba ya miradi itazingatia masharti ya huo Mkataba (Article 25)
 
Waziri: Meli itaweza kukaa masaa 24 tu badala ya siku 5(kwenye kuwasilisha hoja)

Waziri : Meli itaweza kaa kwa siku moja na nusu badala ya tano........then lately anasema meli itakaa sio zaidi ya siku mbili(kwenye kuhitimisha hoja)
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
HIvi hawa wabunge wamewahi kukaa Zanzibar au Pemba na waka-experience ubaguzi uliopo huko.? Au wanaongea kwa mihemko tu.? Niliwahi kutamkiwa na Mpemba nikiwa chakechake kuwa hawanitambui sababu mimi si Mpemba. Ubaguzi upo Zanzibar na Pemba
Wewe ulitaka wakutambue kwamba ni Mpemba?
 
Rasmi: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Bunge limepitisha Mkataba kuhusu Ushirikiano wa Tanzania na Kampuni ya Dubai ya DP World katika Uendeshaji, Uendelezaji na Uboreshaji wa Bandari zote za Baharini na Maziwa zilizopo Tanzania Bara ikiwemo Bandari ya Dar es Salaam

Mkataba huo uliibua maswali kutoka kwa Wananchi ikiwemo thamani na muda wa mradi na sababu za Tanzania kuingia mkataba na kampuni inayotajwa katika kesi za ukwepaji kodi, migogoro katika utekelezaji mikataba
 
Back
Top Bottom