Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Wabunge wanaongea kwa tumia HAMASA na kufukuzia TEUZI badala ya kutumia WELEDI
Huku mitaani kuna WASOMI wa kila aina kuliko huko bungeni hivyo lazima wajue kuwa kila wanachoongea na kuchambua watu huku mitaani wanafanyia PERFORMANCE APPRAISAL kwa maslahi mapana ya Tanganyika.
Ndiyo maana tupo hapa ukumbi wa jamii, lete hoja zako tuzijadili.
 
Wabunge wanaongea kwa tumia HAMASA na kufukuzia TEUZI badala ya kutumia WELEDI
Huku mitaani kuna WASOMI wa kila aina kuliko huko bungeni hivyo lazima wajue kuwa kila wanachoongea na kuchambua watu huku mitaani wanafanyia PERFORMANCE APPAISAL kwa maslahi mapana ya Tanganyika.
 
IMG-20220616-WA0029.jpg

Hiyo kadi ndo adui wa uchumi wa nchi hii.
 
Isingewezekana kutopitisha azimio..labda sio hawa jamaa wa mashati ya makabichi.
 
Ahaa...kwahiyo ulitaka tuwe na fikra moja kama wale Wanyamapori maarufu ambao mmoja wao akivuka Mto Mara woote wanamfuata hata kama yeye analiwa na Mamba? Sijui wanaitwaje wale.

Look Bro, mimi fikra zangu ni HURU huwa nayaangalia mambo kivyangu

Ningekuwa namtuka Samia ungenipa likes nyingi sana, huo ni utoto.
Udini umekufanya uwe taahira?
 
Kumbe makaratasi huwa yanaletwa bungeni yakiwa yamesainiwa. Nimesikia mchangiaji mmoja kwamba siku walipoenda kwenye maonyesho walisaini mikataba kadhaa.
 
Makalatasi na vitendo ni vitu viwili tofauti kabisa. Zilongwa zi moja zitendwa zimbili.
 
Mwl Nyerere aliwahi kusema huko nyuma kwamba , nanukuu "ANAYEKULA NYAMA YA MTU HAACHI" Mwisho wa kunukuu , kwa tafsiri pana maana ya usemi huu wa Nyerere ni kama ile methali ya wahenga iliyosema MAZOEA HUJENGA TABIA

Kwamba ukizoea kufanya jambo fulani basi utaendelea tu kulifanya hata kama ni baya , ili mradi wewe binafsi au familia yako inafaidika .

Bandari zetu wamepewa Waarabu kibwege kabisa kwa vile tu wenye mamlaka wameamua kuigawa ili wao wafaidike , nakuhakikishieni kwamba hakuta kuwa na ufanisi wowote ule , NIPO HAPA JF NIMEKAA , Yaani tunauza mali zetu kwa ajili ya uvivu tu wa kazi na fikra , yaani tunaamini tu kwamba hatuwezi , ila wanaoweza ni waarabu ! Poor Tanzania !

Tumesahau ya NET GROUP , ATCL , TRL , TTCL na hata RICHMOND , tulitumia nguvu kubwa kushawishi na kudanganya umma kwamba kutakuwa na Tija , leo kiko wapi ?

Haya mmeuza Bandari kwa watu wenu ni Shirika lipi lingine mnafuatia kuliuza ili tujiandae ?

Nakulilia Tanzania .

View attachment 2652644
Reli, mwendokas, mbuga zote, viwanj vyote vya ndege, serikali na walinda legacy wote kuuzwa kwa wamanga!!
 
Back
Top Bottom