Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Ngojeni nilie kwanza nitacomment baadaye maana kwa Sasa jinsi nilivyo na hasira na Hawa wabunge wa fisi_emu naweza kutukana kabisa!
 
Ahsante mama Samia, umetufanya Tanzania sasa tufanye kazi na ma giants duniani.

Mabafiliko sasa tutayashuhudia, siyo longolongo za wapiga madili.

Natamani DP world waanze kazi hata leo, wafumue fumue vichaka vya wapigaji bandarini.
Chini ya huyu Mwigulu?
 
Bashiru hawezi kulingnishwa na huyu aliyetoka kuwa msambaza chai maofisi ya CCM hadi kuhongwa umakamu kisha kuupata ukuu wa nchi kwa kupewa?

Huyo aliyekutuma kuwa chawa, nikikuomba mtiririko wa elimu yake unaoeleweka unaujua?
Sema kweli bana, kazi ya Mungu haina makosa.
 
Ngoja niombe uraia wa Nchi ya Zanzibar, wenzetu huko naona wako serious kuliko Sisi huku Bara
 
Bunge ni chombo cha wawakilishi wa wananchi, wakati mwingine haliwakilishi wananchi linapitisha mambo linavyoona lenyewe na hasa bunge linapokuwa la chama kimoja linapitisha mambo kiulaini bila upinzani. Yapo mambo mengi kwa hoja hii yatapitishwa hata kama yatakuja kuleta utumwa kwa wananchi katika nchi yao wenyewe. Hoja eti kukosa ufanisi ndio iingie ubia na nchi nyingine? Shaabaash! Kwa mtindo huu mataifa mengine nayo yatataka yaingie ubia kwenye sekta zingine zisizo na ufanisi kwa hoja hii iliyopitishwa na bunge. Ikisemwa nchi inauzwa ndio hivi, vizazi vyetu vitakuwa vinafanya kazi kwenye makampuni ya nchi za nje yatakayosimika mirija na mabomba ya kufyonza na kunyonya rasilimali za nchi kwa hoja kwamba sisi wenyewe hatuwezi kuendesha miradi yetu mpaka tuingie ubia, lahaaulah tobaa!
 
Nchi yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…