Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Mimi njibiwe tu, kwamba mkataba hauvunjiki hata wakivunja masharti ya mkataba, ina maana gani?
 
Spika kazi yake kutetea au kuongoza Bunge, sheria si zipo endapo mbunge akisema uwongo, wamwache aongee sababu kuna kuadhibiwa.

Yaani arrrrrgriiiiiiiiiii........... wa mwacheeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Back
Top Bottom