Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
All contracts are agre
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba JPMEti ni Agreement sio mkataba. Nani atuletea mbunge huyu bungeni?
Hapana wamepanga ionekane kama debate zito, mdee mwenyewe hana hoja ya maana wanasafisha bunge.Spika ana mkata stimu Mdee si amwachee.
Malizia basi....All contracts are agre
[emoji23][emoji23][emoji23] kapanicMwanasheria misheni town Halima James Mdee kakumbana na mwanasheria phd holder mnyakyusa. Mdee kabanwa njia nyembamba naona amebaki kuuma maneno. Kiufupi kapoteana
Waliomchagua Msukuma ni wengi kukiko Wakiomchagua Rais wa ZanzibarKwani Zanzibar kuna kura ngapi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kasema ukweli
Alafu spika anambania asitirike ili kuchanganya na kumpa hasira... Mfyuuu...Mdee kaanza kuongea tu nikasema madin haya,wengine walikua wanachamba tu
Wee fala kweli!Mama Royal Tour sasa hoteli za kitalii vyumba havitoshi
Hili la ushirikiano wa kibandari ndani ya muda mfupi sana ujao usafirishaji wa mizigo hautatosha. Hata SGR ikikamilika haitatosha.
Mama anaupiga mwingi sana.
Mdee lengo lake afukuzwe ili aondoe ile aibu ya kuisaliti ChademaMdee ni nani bungeni nakwachama gani, acheni utahila
Kwamba Spika asiwe na maslahi kwenye hili? Yani hapo wale viongozi wa mihimili yote mitatu wamekatiwa chao.Huyu Spika mbona kama ana maslahi fulani
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Leo ndo siku babu tale anatoka kapa humo bungeni, sidhani kama anaelewa kitu humo hahahahahaha
Nakwambia hata lane sita hazitatosha, inabidi ziwe kuanzia 8.Kwenye makubaliano ya mkataba tuwaambie DPWorld waipanue Mandela Road iwe njia Sita ili Lane mbiili ziwe za Malori ya kutoka Bandarini tu.
Wanaona hatuna cha kufanya kama wananchi. Shame on them!
Huyu spika vp