Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Masikini imhotep na ajuza FaizaFoxy, naomba niwaulize, hivi huo u-smartness wa Samia haukuwepo kabisa kati ya mwaka 2016 hadi 2020?

Sisi wengine wengine katika kipindi hicho tulipambana kweli kweli na dhidi ya utawala wa kibabe wa Magufuli na msaidizi wake mkuu Samia.

Je nyakati hizo mlikuwa wapi?
Huyu jamaa imhotep amekuja kuwa chawa wa SHH ghafla sana ilhali huko nyuma (2016-2020) alikuwa ni mtukanaji mkubwa sana humu, jibu ni either uZanzibar au uDini (sina uhakika).

Kwasasa kila sehemu anayopita ana kazi ya kuimba SAMIA SAMIA SAMIA SAMIA SAMIA kama zoba 😂.
 
Masikini imhotep na ajuza FaizaFoxy, naomba niwaulize, hivi huo u-smartness wa Samia haukuwepo kabisa kati ya mwaka 2016 hadi 2020?

Sisi wengine wengine katika kipindi hicho tulipambana kweli kweli na dhidi ya utawala wa kibabe wa Magufuli na msaidizi wake mkuu Samia.

Je nyakati hizo mlikuwa wapi?
Alikuwa smart sana tena sana ndiyo maana akaweza kuwa mwanamke Makamo(u) wa kwanza wa Rais wa Tanzania.
 
Kwa vioi?

Kwani ni makubaliano ya kwanza ya ushirikiano wa maendeleo kwa Tanzania na nchi zingine?
Umeuliza swali muhimu sana...
Tumeshirikiana na bado tunashirikiana mfano TAMOFA,TAZAMA lakini pia tunashirikiana kwenye ujenzi wa miundombinu. Tatizo nadhani ni uraji
 
Lakini kwenye hili la uwekezaji wa Bandari Samia kaileta Kampuni sahihi ya DPWorld

Hapa Samia kaibuka kidedea.

Asante kwa kukubali kuwa "wajinga ndio wamepewa nafasi ya kuamua" hata katika hili la bandari pamoja na huyo uliyemtaja.
 
Wabunge wamejikita kwenye hoja inayoitwa KUPOTOSHWA:na kuwatukuna waajiri wao,ambao ni wananchi.hata spika pia na yeye ameingia kwenye mukumbo huo.

Kwa sababu suala la bandali,kwa nini ni bandali za Tanzania bara tu na sio Tanzania visiwani?!.
 
Bandari kavu Rwanda ipo under operation na DP WORLD na sisi tunataka kumpa DP WORLD bandari zetu zote apakue mzigo bila sisi kujua. Aje apakue shehena za silaha apeleke kwenye bandari zake kavu huko Rwanda. Najaribu kuwaza usalama wetu utakuwaje na TISS yetu iliojaza UVCCM wa aina ile???????

Nani amewaza kama mimi?????
Unaongea usichoelewa
 
Tanganyika ni nchi ya mambwa, yaani tunaendeshwa na hila za mashoga na wasagaji kwa kizanzibari huu upumbavu gani huu? Mmeruhusu TISS iwe chini ya mzanzibari seriously. Mabadiliko ya TISS yamezaa uhuni wa kushoga kuhusu Bandari mkimpa nguvu Rais mzanzibari ndio madhara yake hayo.
 
Back
Top Bottom