imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Ni Iron lady kazishika korodani milioni ishirini hazikohowi.Kwahiyo awe mama wa Taifa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Iron lady kazishika korodani milioni ishirini hazikohowi.Kwahiyo awe mama wa Taifa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nawewe unaamini wanachosema hao wezi?
Waitara ameaibisha sana leo asee. Kama Wakurya hawatamtandika akirudi Mara basi labda atakuwa kawaloga.Akili kama hizi za Waitara zinapewa nafasi ya kuamua mambo muhimu ya Taifa na spika hataki kusikia hata Taarifa.
😂😂
Awe wako.Iron lady
Alishaondoshwa ila asante kijani ikambeba tuu😂Kwa uharo huo!
Kwa ujinga huo!
Kwa unafiki huo!
Kwa uchumia tumbo huo....
Wananchi kama mnajitambua,basi tuseme wazi...
2025 CCM BYE BYE!
"Serikali ya ccm haiwezi kuondolewa kwa sanduku la kura". Samia suluhu 2020 akiwa makamu wa rais.Kwa uharo huo!
Kwa ujinga huo!
Kwa unafiki huo!
Kwa uchumia tumbo huo....
Wananchi kama mnajitambua,basi tuseme wazi...
2025 CCM BYE BYE!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona kamtukana tu, kama akiwa Mama wa Taifa ina maana mumewe ni Nyerere? [emoji848]
Mtu anapayuka kabisa kwamba "anaepinga atakuwa hajitaki"..Matokeo ya uchafuzi wa Mwaka 2020 ndio hayo...
Askari polisi watuache tukabiliane nanyi.....Sina mengi wana jf , ila nawasalim
Rais wa JMT , SSH , Ameanzisha vita na na wenye nchi ya JMT pamoja na kukwabia utoe MOU BUNGENI AMEKAIDI , na Dude limepita pamoja na Halima Mdee mbunge asie kua na Chama kuonesha matobo ya MOU HII,
SASA aoneshwe makali ya wenye nchi yao kwa msingi huu
1. Mikoa yote tz tuanze safari ya maanndamano ya amani kwa mguu kuelekea ofisi ya umma ikulu ambapo ndo makazi ya rais, ila wana Mbeya kwanza fanya maandamano ya amani kwenda nyumbani kwa Tulia, na speaker
2.kabla ya yote haya nawaomba viongonzi taifa Chadema mlio nje rudi nchini mara moja
Thanks
Ni Raisi wangu ndio hilo halina mjadala kaupiga mwingi.Awe wako.
Hiyo 2025 ccm bye bye kwa uchaguzi upi? Ccm watatumia Magufuli style kubaki madarakani, labda tuwe tayari kwa machafuko.Kwa uharo huo!
Kwa ujinga huo!
Kwa unafiki huo!
Kwa uchumia tumbo huo....
Wananchi kama mnajitambua,basi tuseme wazi...
2025 CCM BYE BYE!
[emoji1787][emoji1787]Vijana wa siku hizi mpo hivi yaani ni hovyo kabisa .Sema shida ni uhuru umezidi sana.Hivi fikiria kauli kama hii unamwandikia mzazi wako..
Labda kidogo umoja party,ila Chadema wasahauHalafu chama gani mbadala cha kuchukua dola!!?
Lini mmekiandaa Mkuu!!?
Ngoja tuone!
[emoji106][emoji120][emoji123][emoji1666][emoji7][emoji7]Inawezekana mkuu huko sahihi yaani ugonjwa huu wa unyonge(inferiority feelings) Ni muda sasa tuondokane na hizi fikra zisizo kua na maana . Mabus yao tunayapanda,bidhaa wanazo tengeneza tunazitumia pia.Mwenye fikra za udini na uarabu sio wenye tija.
Wamekipiga pini kisisajiliwe,SASA kitapenyaje!!?Labda kidogo umoja party,ila Chadema wasahau
Iyo vote unayo sema ina effect kwa wenye viti wa mtaa tu uko kwingine ni kupoteza mda tuAngalieni michango, wanaokubali bandari iuzwe tuwashtaki kwa wapiga kura wao.
Siku hizi ni mwendo wa simwachii MunguMkuu dawa saiv ni kupiga dua kali na maombi Nchi nzima ili kutuondolea wasio na nia njema ya maslahi kwa Taifa!!