Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Akili kama hizi za Waitara zinapewa nafasi ya kuamua mambo muhimu ya Taifa na spika hataki kusikia hata Taarifa.

😂😂
Waitara ameaibisha sana leo asee. Kama Wakurya hawatamtandika akirudi Mara basi labda atakuwa kawaloga.
 
Kwa uharo huo!
Kwa ujinga huo!
Kwa unafiki huo!
Kwa uchumia tumbo huo....

Wananchi kama mnajitambua,basi tuseme wazi...
2025 CCM BYE BYE!
Alishaondoshwa ila asante kijani ikambeba tuu😂
 
Kwa uharo huo!
Kwa ujinga huo!
Kwa unafiki huo!
Kwa uchumia tumbo huo....

Wananchi kama mnajitambua,basi tuseme wazi...
2025 CCM BYE BYE!
"Serikali ya ccm haiwezi kuondolewa kwa sanduku la kura". Samia suluhu 2020 akiwa makamu wa rais.
 
Sina mengi wana jf , ila nawasalim

Rais wa JMT , SSH , Ameanzisha vita na na wenye nchi ya JMT pamoja na kukwabia utoe MOU BUNGENI AMEKAIDI , na Dude limepita pamoja na Halima Mdee mbunge asie kua na Chama kuonesha matobo ya MOU HII,
SASA aoneshwe makali ya wenye nchi yao kwa msingi huu

1. Mikoa yote tz tuanze safari ya maanndamano ya amani kwa mguu kuelekea ofisi ya umma ikulu ambapo ndo makazi ya rais, ila wana Mbeya kwanza fanya maandamano ya amani kwenda nyumbani kwa Tulia, na speaker

2.kabla ya yote haya nawaomba viongonzi taifa Chadema mlio nje rudi nchini mara moja

Thanks
Askari polisi watuache tukabiliane nanyi.....

GREEN GUARDS tuko tayari kwa hilo........[emoji1787][emoji1787]

#MamaAnaupigaMwingi[emoji120]
 
Inawezekana mkuu huko sahihi yaani ugonjwa huu wa unyonge(inferiority feelings) Ni muda sasa tuondokane na hizi fikra zisizo kua na maana . Mabus yao tunayapanda,bidhaa wanazo tengeneza tunazitumia pia.Mwenye fikra za udini na uarabu sio wenye tija.
[emoji106][emoji120][emoji123][emoji1666][emoji7][emoji7]
 
Mchaga kaongelea DP kukataliwa marekani, ila hapa ndo tuukubaliii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi mtu ukiwa CCM akili inahama?? Khaaaah
 
Back
Top Bottom