Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Kila akikataacho mmarekani ni lazima wengine wote wakikatae?!!!

Hivi unajua kuna "ujasusi wa kiuchumi"?!!!

Huu unaweza kumchafua "mfanyabiashara" yeyote yule [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#MamaAnaupigaMwingi[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hao DP kila waliko wana madhaifu na mapungufu mno, afu wanalaumiwa mnoo
 
Mara ghafla kufumba na kufumbua, bahari imekauka! 😀😀😀
 
Kuandika tu mtihani....[emoji1787][emoji1787]

Taifa liko salama bwashee...

Mama anaupiga mwingi [emoji120]
Mpuuzi wewe unaijua hii Nchi kiundani na Nini kinaendelea,unajua Vitovu vya mapato vya hili Taifa na Nini kinahitajika ili kuendelea ku stabilize ? Wewe utakuwa Mrundi hujuia A-Z juu ya Taifa hili.
 
Kumbe sio kupewa madali yote ni sehemu tu ya badali, na serikali pia itamiliki sehemu kwa mjibi ya waziri.

Gati 8 hadi 9 gati ya magari hayako kwenye mkataba, hauna uhusiano na bandali ya tanga na mtwara.
Tumia tangawizi ni kiboko ya mafua
 
Dah! Yaani tupo kama misukule vile. Watu hawa hawa ukiwaambia kesho wajitokeze kuandamana kudai Katiba Mpya ya wananchi, au kuishinikiza serikali kuacha kusaini mikataba ya Kimangungo; kamwe huwezi kuona mtu akijitokeza.
Sasa rafiki wavaa gwanda wanasema mkiandamana kisa kudai haki na uhuru watavunjwa miguu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ulemavu wa ukubwani mchezooo??
 
Sasa rafiki wavaa gwanda wanasema mkiandamana kisa kudai haki na uhuru watavunjwa miguu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ulemavu wa ukubwani mchezooo??
Pumbavu sana wale.
 
Back
Top Bottom