Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii serikali sio ya wananchiKwa hiyo mnataka kuipindua serikali halali ya wananchi ?!![emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787]Endelea na "vazi" lako la ujinga.....Hii serikali sio ya wananchi
Hao DP kila waliko wana madhaifu na mapungufu mno, afu wanalaumiwa mnooKila akikataacho mmarekani ni lazima wengine wote wakikatae?!!!
Hivi unajua kuna "ujasusi wa kiuchumi"?!!!
Huu unaweza kumchafua "mfanyabiashara" yeyote yule [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
#MamaAnaupigaMwingi[emoji120]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nani anapeleka hiyo case? Jamhuri? Ipi hiyo??Wajuzi wa Sheria, Hilo suala haliwezi kuzuiwa mahakamani?
Mpuuzi wewe unaijua hii Nchi kiundani na Nini kinaendelea,unajua Vitovu vya mapato vya hili Taifa na Nini kinahitajika ili kuendelea ku stabilize ? Wewe utakuwa Mrundi hujuia A-Z juu ya Taifa hili.Kuandika tu mtihani....[emoji1787][emoji1787]
Taifa liko salama bwashee...
Mama anaupiga mwingi [emoji120]
Mara Mungu kaamua ugomvi mara ya piliMara ghafla kufumba na kufumbua, bahari imekauka! 😀😀😀
MileleeeeMuda wa mkataba ni Miaka mingapi ?
Tumia tangawizi ni kiboko ya mafuaKumbe sio kupewa madali yote ni sehemu tu ya badali, na serikali pia itamiliki sehemu kwa mjibi ya waziri.
Gati 8 hadi 9 gati ya magari hayako kwenye mkataba, hauna uhusiano na bandali ya tanga na mtwara.
Hamna cha bahari kukauka, mikataba zaidi 30 itasainiwa na dubai world na haina time limit deal done.Mara ghafla kufumba na kufumbua, bahari imekauka! [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watatafutana watu hapa, wee subiri.Unategemea ajira kutoka kwa waarabu toka Omani?
Unawajua waarabu wewe?
Mbona mikataba mingi ya hovyo imesainiwa bila kalele kwanini hu ndo mnajifanya wazalendo mna unafiki mtupuThis shit will go on till when?. What happened to Tz real?
Sasa rafiki wavaa gwanda wanasema mkiandamana kisa kudai haki na uhuru watavunjwa miguu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah! Yaani tupo kama misukule vile. Watu hawa hawa ukiwaambia kesho wajitokeze kuandamana kudai Katiba Mpya ya wananchi, au kuishinikiza serikali kuacha kusaini mikataba ya Kimangungo; kamwe huwezi kuona mtu akijitokeza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mara ghafla kufumba na kufumbua, bahari imekauka! [emoji3][emoji3][emoji3]
Pumbavu sana wale.Sasa rafiki wavaa gwanda wanasema mkiandamana kisa kudai haki na uhuru watavunjwa miguu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulemavu wa ukubwani mchezooo??