Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Mijadala ya Leo zilikuwa pumba tupu yani jitu linaropoka tu nakutoa vitisho Kwa wapinzani wanaanza kupiga kampeni kabla ya 2025 wanaacha hoja ya msingi ya kujadili uhalali wa mkataba wa bandari
Kuna mda wanasema huu sio mkataba ni agreement, wengine wanasema ni mkataba, wengine wanasema ni maridhiano yani hata wao hawajui wanajadili nini masikini ya Mungu
Sasa Kwa hali hii Kuna utofauti na akili za walimu zilivyo mgando kweli? Maana hayajui chochote kile yanasema tunaunga mkono hoja fuckn, wengine wanasema kama hutaki kuunga mkono hoja toka ccm utafute Chama chako Sasa kulikuwa Kuna haja Gan ya kujadili kama hoja ndio hiyo
Bunge letu nalifananisha na walimu wa nchi hii maana Hawana ujasiri wa kupinga maamuzi ya serikali, nilitegemea waseme hatuwez kujadili mkataba hatujui mda wake au ukomo wake maana yake serikali iende wakae upya watuambie ni mkataba wa miaka mingapi
Hili taifa ni chaka la wapumbavu tu