Nauomba huo.mkataba mm sijauona basi[emoji16]Tunamshukuru sana aliyevujisha mkataba, ilikuwa siri kubwa hadi AG hakujua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nauomba huo.mkataba mm sijauona basi[emoji16]Tunamshukuru sana aliyevujisha mkataba, ilikuwa siri kubwa hadi AG hakujua
Dr Mrisho Mpoto yupo sahihiMrisho mpoto amewashukia wale wanaosema kwamba Bandari ya Tanzania imeuzwa, akinukuliwa kwenye mtandao wa Twitter amesema
"Mnaosema tumeshasaini mkataba na kuuza bandari kwa DP naomba mnijibu;
1. Kama tushasaini, mbona DP World hawajaingia bado hapo bandarini? au mshasikia kwamba Watanzania wamefukuzwa Bandarini?
2. Kama tumesaini, mbona mnaendelea kujadili kana kwamba kuna kitu kinaweza badilika?
UKWELI: Hadi sasa kuna makubaliano kati ya Dubai na TZ, NDIO, lakini bado hatujasaini mkataba wa utekelezaji na Dp World.
Mnaendelea kujadili sababu mnajua Rais Samia Suluhu anawasikiliza, na kuna nafasi ya kurekebisha mkataba.
#mamaanafanikisha
"
ILa sisi wa mbumbumbu FC😂Huyo ni mbumbumbu, atulize mshono