DODOMA: CHADEMA Mkoa wa Dodoma wamkataa kata kata Mbowe wasema Kwa sasa ni Lissu Wanakuwa ni Mkoa wa 20 kutoa azimio hilo kati ya Mikoa 31

Imani ya Wananchi imepungua kwa Mbowe kwa sasa Watanzania wake kwa waume wanamtaka Tundu Lissu.
 
Isije ikawa ni mbinu za Mbowe kumpumbaza Lissu ajione anashinda halafu kumbe ni matamko ya uongo.Huyu Mangi ni mjanjamjanja sana
 
Nimefurahishwa sana na clip hii enye🧠.

Nabaki najiuliza, hivi waTz tungelikuwa na mwamko kama wa huyu kiongozi wa Cdm Dodoma, namna anavyowasilisha maneno kwa hadhira bila kuuma uma maneno, tungelikuwa mbali sana.

Siyo Cdm tu, hata Ccm wangelikuwa na uwezo huu wa kutoa hoja, tungelikuwa mbali sana kama nchi na sisi tusio na chama tungelivutiwa siku moja tukajoin the chain.
 
Dear Freeman God has numbered your kingdom, and finished it.
 
Mapema sana CHADEMA wanachukua nchi uchaguzi huu
 
Hakuna kura ya mkoa bali kura ni ya mjumbe. Msitujazie pumba hapa. Kama Lissu anashinda kama mnavyotuaminisha msingetumia nguvu nyingi kwenye mitandao kumtangaza hapa kila siku. Subiri Jumanne 21/ 01 mtakavyoshangazwa na Mbowe. Mtalia kilio cha mbwa koko mdomo wazi meno nje
 
Mbowe ni wapambe nuksi tu wanamdanganya, safari hii upepo umemkataa kwa % kuubwa sana.
Waziwazi kabisa!.
Freeman Mbowe anashinda uchaguzi huu asubuhi na mapema kwa zaidi ya kura 65%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…