Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Watu wa mitandaoni! Lissu akichukua hiki chama kitakuwa kama UDP!Jamaa ana watu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa mitandaoni! Lissu akichukua hiki chama kitakuwa kama UDP!Jamaa ana watu sana
View: https://www.youtube.com/live/3eUZr56l98U?si=Ri2UPJYSDc5O1vN2
Tuache Kudanganyana Mbowe hawezi kushinda huu Uchaguzi tuweni wa kweli na Mungu atatubariki Mbowe hatakiwi kabisa.
Mjumbe hata kama utapewa pesa toka CCM ili umchague Mbowe usifanye hivyo utakiua chama.

Chunua AchebeThings Fall Apart .
Bado Upepo wa Lissu vs Samia 2030Duuuh hii ishakua noma sasa, upepo wa lisu unatisha, sasa yericko nyerere mbona alisema mbowe anakubalika sana? Kumbe muongo yule kijana
View: https://www.youtube.com/live/3eUZr56l98U?si=Ri2UPJYSDc5O1vN2
Tuache Kudanganyana Mbowe hawezi kushinda huu Uchaguzi tuweni wa kweli na Mungu atatubariki Mbowe hatakiwi kabisa.
Mjumbe hata kama utapewa pesa toka CCM ili umchague Mbowe usifanye hivyo utakiua chama.
Mapema sana CHADEMA wanachukua nchi uchaguzi huuNimefurahishwa sana na clip hii enye🧠.
Nabaki najiuliza, hivi waTz tungelikuwa na mwamko kama wa huyu kiongozi wa Cdm Dodoma, namna anavyowasilisha maneno kwa hadhira bila kuuma uma maneno, tungelikuwa mbali sana.
Siyo Cdm tu, hata Ccm wangelikuwa na uwezo huu wa kutoa hoja, tungelikuwa mbali sana kama nchi na sisi tusio na chama tungelivutiwa siku moja tukajoin the chain.
View: https://www.youtube.com/live/3eUZr56l98U?si=Ri2UPJYSDc5O1vN2
Tuache Kudanganyana Mbowe hawezi kushinda huu Uchaguzi tuweni wa kweli na Mungu atatubariki Mbowe hatakiwi kabisa.
Mjumbe hata kama utapewa pesa toka CCM ili umchague Mbowe usifanye hivyo utakiua chama.
Freeman Mbowe anashinda uchaguzi huu asubuhi na mapema kwa zaidi ya kura 65%Mbowe ni wapambe nuksi tu wanamdanganya, safari hii upepo umemkataa kwa % kuubwa sana.
Waziwazi kabisa!.