Dodoma: Chadema yaadhimisha Sikukuu ya Eid na Watoto yatima wa Kituo cha Rahman Orphanage centre

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo 07/06 2025, Chadema badala ya kuita Matajiri wenye uwezo wa kuchinja chochote na kula nao Idd, ili kutafuta sifa kama wanavyofanya viongozi wengine, Wao wamechagua kupeleka Mkono wa Idd kwa Watoto Yatima.

Huyu hapa ni Maalim Heche akiwa na viongozi wengine ndani ya kituo cha Watoto Yatima cha Rahman Orphanage Center Mjini Dodoma

Screenshot_2025-06-07-16-18-16-2.png
Screenshot_2025-06-07-16-18-04-1.png
Screenshot_2025-06-07-16-17-54-1.png
Screenshot_2025-06-07-16-18-16-1.png

Pamoja na zawadi kemkem, Maalim Heche amejipapasa mfukoni mwake na kutoa Gwala Taslimu ili kusaidia mambo madogodogo kituoni hapo.

Ikumbukwe kwamba Chadema iko Dodoma kwa ajili ya Kampeni ya Mungu ya No Reforms No Election itakayoungurumishwa kuanzia kesho Mkoani humo.
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo 07/06 2025, Chadema badala ya kuita Matajiri wenye uwezo wa kuchinja chochote na kula nao Idd, ili kutafuta sifa kama wanavyofanya viongozi wengine, Wao wamechagua kupeleka Mkono wa Idd kwa Watoto Yatima.

Huyu hapa ni Maalim Heche akiwa na viongozi wengine ndani ya kituo cha Watoto Yatima cha Rahman Orphanage Center Mjini Dodoma

View attachment 3359525View attachment 3359526View attachment 3359528View attachment 3359530

Chama cha watu.
 
Maalim Heche naona ametupia kanzu imelowa maji.....hahaha
 
FREE TUNDU ANTIPAS LISSU
NO REFORMS , NO ELECTION.

Mungu Baba wa Mbinguni awabariki sana kwa tendo hili jema.
 
chadema wametoa laki tano tu,
lakini hapo huenda heche kaumia sana moyoni alitamani apewe yeye ili akabeti dah :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom