Dodoma: Chadema yaadhimisha Sikukuu ya Eid na Watoto yatima wa Kituo cha Rahman Orphanage centre

Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara, John Heche na ujumbe wake leo Juni 7, 2025 wameungana na watoto wa kituo cha RAHMAN ORPHANAGE CENTRE, Dodoma katika kuadhimisha Sikukuu ya Eid. Heche pamoja na zawadi mbalimbali amekabidhi kiasi cha Tsh. 500,000 kwa kituo hicho.
IMG_5129.jpeg
 
Zingine atamuhonga mamako mchepuko wake!
jamaa alifilisika baada ya pension yake yote ya umbunge kuishia kwenye kubeti ndio maana anaishi kwa wazazi bado dah, maisha bana:NoGodNo:
 
Mamako mtu m-bad sana alimuibia kila kitu akabakiza kisuuzio cha kumtoa utoko!
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo 07/06 2025, Chadema badala ya kuita Matajiri wenye uwezo wa kuchinja chochote na kula nao Idd, ili kutafuta sifa kama wanavyofanya viongozi wengine, Wao wamechagua kupeleka Mkono wa Idd kwa Watoto Yatima.

Huyu hapa ni Maalim Heche akiwa na viongozi wengine ndani ya kituo cha Watoto Yatima cha Rahman Orphanage Center Mjini Dodoma

View attachment 3359525View attachment 3359526View attachment 3359528View attachment 3359530

Pamoja na zawadi kemkem, Maalim Heche amejipapasa mfukoni mwake na kutoa Gwala Taslimu ili kusaidia mambo madogodogo kituoni hapo.

Ikumbukwe kwamba Chadema iko Dodoma kwa ajili ya Kampeni ya Mungu ya No Reforms No Election itakayoungurumishwa kuanzia kesho Mkoani humo.
Operation ya Mungu "No Reform No Election"
 
Mbona mmedhamiria kutuvuruga?? 😀
Kila tukijaribu kuleta hili nyie mpo na lile ambalo sisi Hatujaliwaza bado.
Kama ilivyo kule mashariki ya Kati watu kuomba mapumziko ya vita na sisi tunaomba mtupumzishe kidogo
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo 07/06 2025, Chadema badala ya kuita Matajiri wenye uwezo wa kuchinja chochote na kula nao Idd, ili kutafuta sifa kama wanavyofanya viongozi wengine, Wao wamechagua kupeleka Mkono wa Idd kwa Watoto Yatima.

Huyu hapa ni Maalim Heche akiwa na viongozi wengine ndani ya kituo cha Watoto Yatima cha Rahman Orphanage Center Mjini Dodoma

View attachment 3359525View attachment 3359526View attachment 3359528View attachment 3359530

Pamoja na zawadi kemkem, Maalim Heche amejipapasa mfukoni mwake na kutoa Gwala Taslimu ili kusaidia mambo madogodogo kituoni hapo.

Ikumbukwe kwamba Chadema iko Dodoma kwa ajili ya Kampeni ya Mungu ya No Reforms No Election itakayoungurumishwa kuanzia kesho Mkoani humo.
Good 👍
 
Back
Top Bottom