Dodoma: Chadema yaadhimisha Sikukuu ya Eid na Watoto yatima wa Kituo cha Rahman Orphanage centre

Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara, John Heche na ujumbe wake leo Juni 7, 2025 wameungana na watoto wa kituo cha RAHMAN ORPHANAGE CENTRE, Dodoma katika kuadhimisha Sikukuu ya Eid. Heche pamoja na zawadi mbalimbali amekabidhi kiasi cha Tsh. 500,000 kwa kituo hicho.
 
Zingine atamuhonga mamako mchepuko wake!
jamaa alifilisika baada ya pension yake yote ya umbunge kuishia kwenye kubeti ndio maana anaishi kwa wazazi bado dah, maisha bana
 
jamaa alifilisika baada ya pension yake yote ya umbunge kuishia kwenye kubeti ndio maana anaishi kwa wazazi bado dah, maisha bana
Mamako mtu m-bad sana alimuibia kila kitu akabakiza kisuuzio cha kumtoa utoko!
 
Operation ya Mungu "No Reform No Election"
 
Mbona mmedhamiria kutuvuruga?? 😀
Kila tukijaribu kuleta hili nyie mpo na lile ambalo sisi Hatujaliwaza bado.
Kama ilivyo kule mashariki ya Kati watu kuomba mapumziko ya vita na sisi tunaomba mtupumzishe kidogo
 
Good 👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…