Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

DAR jiji la biashara
DODOMA jiji la kiserekali
ARUSHA jiji la utalii
.
CCM sijui wanakwama wap kufanya ukuaji wa haya majiji kwa pamoja
Arusha abuses Dom in GDP size

Serikali bullshit....aint nothing i despise than serikali

A group of hyenas pretending to be rulers and know-it-alls,bunch of evils
 
Yaani nimefika mstari umeendika eti "hali ya hewa ya Dodoma ni almost sawa na Arusha.." nikaachia hapo hapo.....nikajua tu wewe ni kichaa aisee

Stop this madness
 
Yaani nimefika mstari umeendika eti "hali ya hewa ya Dodoma ni almost sawa na Arusha.." nikaachia hapo hapo.....nikajua tu wewe ni kichaa aisee

Stop this madness
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu upo?
 
Chanene ndo mbuga Gani hyo cheki [emoji15][emoji15]huyu naye [emoji28][emoji28][emoji28]
Niliwahi kukwambia uwezo wako wa kujenga na kujibu hoja upo Facebook sio humu kwa JF great thinker

 

Attachments

  • Screenshot_20230713-181051.png
    35 KB · Views: 15
Yaani nimefika mstari umeendika eti "hali ya hewa ya Dodoma ni almost sawa na Arusha.." nikaachia hapo hapo.....nikajua tu wewe ni kichaa aisee

Stop this madness
Nitajie tofauti ya hali ya hewa ya Arusha na Dodoma kwa kipindi chote cha mwaka mzima
 
Kuna tofauti moja kubwa watu hawataki kuijua ether kwa kutofahamu au kwa ujinga tu
DAR ARUSHA NA MWANZA zinajengwa na watu binafsi wakati DOM inajengwa na serikali
Kwa future plan Dom itakuwa mji mzuri kwa muonekano ila kibiashara bado sana
Yaan Dodoma ukame unawatesa wananchi yaan ardhi ya Dodoma ni kama vile mtu ana nywele kipilipili ukitaka apendeze lazima anyoe nywele that's why Dodoma kila mahali unakuta watu wanachoma moto majani ila papendeze
 
Kwa Maoni yangu Arusha ni the Best kuliko Dodoma serekali imewekeza sana kuliko Arusha watu wamewekeza sana hata hali ya maisha ya Dom wengi wanategemea mwisho wa mwezi ila Arusha na Mwanza watu wanafanya biashara na Dodoma. Ni hizo Wizara ila hamna kitu
 
Hyo serikali ni ya nchi gani Rwanda au Burundi....😆😆😆
Unasema ardhi ya Dodoma ina ukame alafu ndio wanaongoza Tanzania nzima kwa uzalishaji wa Zabibu,Mtama,Tende,Uwele,Mbaazi,Alizeti,Rosella bila kusahau Soko la kimataifa la mahindi nafaka Kibaigwa😆😆😆basi hawa watu ardhi yao itakua ya maajabu na imebarikiwa sana manake hawatumii Mbolea za kisasa,hawatumii madawa ya kilimo wala hawatumii Irrigation system
 
Sio kweli kwamba Dodoma hakuna uwekezaji wa watu binafsi.Mahoteli ,supermarkets,viwanda ,maduka makubwa yote ni ya watu binafsi.Wafanyabiashara wakubwa tu wana ofisizao Dodoma.Serikali itaendelea kuwekeza na kuipendelea Dodoma kwasababu Dodoma ni Makao makuu ya kiserikali,kisiasa(bunge) na chama.

Huko kote Arusha na Mwanza hao wawekezaji binafsi hawawezi kujenga barabara wala miundombinu hiyo ni kazi ya serikali duniani kote😆😆
 
Mm mtu yoyote nikitoa points za hoja flani zaidi ya moja strength na weakness halafu yeye akaja kuchagua Hoja moja yenye ya weakness na zile nyingine akaacha kuzijadili namuona sijui huwa namuweka fungu lipi unapotaka kujibu Hoja angalia strength na weakness ndio hujibu kama unataka kuwa ktk watu waelewa basi jigunze hilo ila kama unataka kuwa mashabiki oya oya basi sawa
 
hujajibu hoja wala facts yoyote niliyokupa .... naona unaleta taarabu na vichambo kama vya juma lokole😆😆
Jitahidi kujibu fact kwa fact sio kuhamisha magoli na kubadilisha badilisha topics
 
Yaani nimefika mstari umeendika eti "hali ya hewa ya Dodoma ni almost sawa na Arusha.." nikaachia hapo hapo.....nikajua tu wewe ni kichaa aisee

Stop this madness
Dodoma ni kuzimu (hali ya hewa mbaya).
 
mkuu samahan umewah kuishi dodoma?
 
dom Kuna upepo tu bana baridi gani lile Sasa unaweza fananisha na lile Arusha kivipi?
 
dom Kuna upepo tu bana baridi gani lile Sasa unaweza fananisha na lile Arusha kivipi?
Niambie hali ya hewa ya sasa Dodoma kuanzia mwezi Mei mpaka Septemba kama inatofautiana na Arusha kwa baridi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…