UMEKURUPUKA RUDI FACEBOOK Tittle ya thread ni Dodoma City vs Arusha City sio Dodoma Region vs Arusha Region.Nyie nyie Watu dodoma Bado Sana hebu tuwe serious
Mimi nimefika dodoma wilaya zoteeee Jamani Hawa Watu Wana Hali mbayaaa .
Dodoma pazuri ni hapa tu dodoma Jiji,na chamwino kungine hukooo Kuna umasikini Wa kiwango kisichomithilika
Dodoma hii ukifika saa mji umepoa km Tuko nchi zenye vita mweeee ..