Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Kwa hiyo wewe na NBS nani wanajua mipaka ya Jiji la Dodoma na population yake? Wewe ni mzima kichwani kweli au unasumbuliwa na wivu?

Hiyo 450 ilikuwa ndio population ya Dom 2012.

Unaposema Dodoma Bado uwage unataka Bado kwenye area ipi maana Dom imezidi Arusha Kwa Kila kitu kasoro miti na wavuta bangi tuu.
Usiwe mbishi ,mipaka ya jiji la dodoma imechukua mpaka vijiji vya mbali kama vile hombolo zaidi ya km 30 kutoka mjini lakini kiuhalisia ni porini ,arusha ni tofauti kuna maeneo ya wilaya ya arumeru na arusha dc mfano tengeru ,usa river ,maji ya chai,ngara mtoni kitakwimu za sensa hayapo arusha jiji yangeingizwa jíji arusha population ingekua kubwa sana
 
[emoji3][emoji3]Nenda kawadanganye facebook huko ila sio great thinker wa JamiiForums....aliyekwambia Chipogoro ipo Dodoma Jiji nani[emoji3][emoji3].
Chipogoro ipo wilaya ya Mpwapwa

Ila hombolo ipo jiji na niporini zaidi ya km 30
 
[emoji3]utakua una makengeza labda .....Dodoma ukwame wapi kilakona barabara za lami
Lami ndio natural environment? Mfano angalia tu mazingira yalivo
images.jpg
 
[emoji3][emoji3]na hii ni another advantage Dodoma iliyokua nayo kulinganisha na majiji mengine yote ukitoa Dar pekee.Serikali itaendelea kuwekeza na kupendelea jiji la Dodoma utake usitake.Makao makuu ya nchi,Jiji yanapofanyika maamuzi yote makubwa ya kitaifa na kisiasa haliwezi kuwa sawa na wengine.Mfano mzuri angalia Abuja,Nigeria wakati Abuja inatangazwa kuwa makao makuu ya Serikali ilikua inapitwa kwa mbali sana na Lagos,Jos,Ibadan,Port Harcourt na miji mingine ila kwa sasa baada ya uwekezaji wa Serikali Abuja inapitwa na Lagos pekee yake
Mzee ukiwa unaongea uwe na fact na usiwe muongo, tangia lini Abuja ikawa mji wa 2 kwa ukubwa Nigeria[emoji1484], Dodoma ukiacha Makao makuu akuna mfanyakaz wa Serikali atakae Kaa pale mji haujakaa kistarehe kabisa
Screenshot_20230713-032603.jpg
Screenshot_20230713-032618.jpg
 
Usiwe mbishi ,mipaka ya jiji la dodoma imechukua mpaka vijiji vya mbali kama vile hombolo zaidi ya km 30 kutoka mjini lakini kiuhalisia ni porini ,arusha ni tofauti kuna maeneo ya wilaya ya arumeru na arusha dc mfano tengeru ,usa river ,maji ya chai,ngara mtoni kitakwimu za sensa hayapo arusha jiji yangeingizwa jíji arusha population ingekua kubwa sana
Toa upuuzi wako hapa,Dodoma Kama Mkoa Wakaazi wake wengi wako Kwenye Wilaya zipi?

Ukiacha hivyo Vijiji ikachukua Chamwino unajua watu watakuwa wangapi? Maana Mji wa Serikali uko Wilaya ya Chamwino sio Jiji la Dodoma.

Mwisho Dom kama jiji metropolitan yake ni sehemu kubwa sana ndio maana Kuna Mpango wa Manispaa ya Chamwino so hata Arusha ichukue Kata za Usariver sijui Kisongo Bado population yake haiwezi kufikia Dodoma.
 
Haya miaka ya badae yatakuwa magofu..hivi unadhani ukiacha na shughuli za kiserikali nani anataka Aishi Dodoma?
Hicho ni Chuo Magofu gani? Magofu how?

Watu wanaishi Egypt jangwani sembuse Dom? Watu wanafuata fursa na pesa na sio hizo blaa blaa.

So Wacha ndoto za mchana kijana kisa wivu kubali tuu Arusha ni Kijiji Cha Utalii tuu Kwa Dom 🤣🤣🤣🤣
 
Mzee ukiwa unaongea uwe na fact na usiwe muongo, tangia lini Abuja ikawa mji wa 2 kwa ukubwa Nigeria[emoji1484], Dodoma ukiacha Makao makuu akuna mfanyakaz wa Serikali atakae Kaa pale mji haujakaa kistarehe kabisaView attachment 2686315View attachment 2686316
Abuja sio Mji wa kila nyumbu kwenda Kuishi.

Hata hivyo Abuja iliundwa specifically kama Mji Mkuu wa Serikali purely Sasa tofauti na Dom ambayo upande ni Mji wa Serikali na upande Mji wa biashara na viwanda.

Kwa mantiki hiyo Dodoma haitakuja kuwa kama hizo Miji Zingine na vile uko junction ya Barabara kuu ndio kabisaa utazidi kupaa.
 
Vile Dom itakuwa baada ya Kukamilika Kwa Outer ring road harafu Vijiji vya Arusha na Mwanza vikisalia kama makambi ya wakoma 😁😁
 
Lami ndio natural environment? Mfano angalia tu mazingira yalivoView attachment 2686314
Naona unaruka ruka tu kuhamisha magoli😀😀😀.Mwanzo umesema Dodoma Jiji hakuna barabara za lami nikakuchapa na facts kuwa Dodoma ndio Jiji pekee lenye mtandao mrefu wa barabara za lami ndani ya CBD,sasa umekuja na ishu nyingine ya natural environment😀😀.Majiji ya kisasa yaliyoendelea huwa hayapimwi kutokana na kigezo cha hali ya hewa...angalia Gaborone,Windhoek,Cairo,Tel Aviv uone
 
Arusha na Mwanza wakiona hivi watanuna , watakwambia Dodoma.hakuna uoto 🤣🤣🤣

Hawa jamaa wanachekeshaga sana wanakwambia Dom ni jangwa lakini nikiangalia kule kwa Waziri Mkuu Area D Mlimani naona miti ya kutosha kijani mwaka mzima.Barabara za Dom nyingi pembezoni zimepandwa miti ya kupendezesha mfano Arusha Road,Nkuhungu four ways,Iringa Road,Veta Road,Udom Road,Kisasa Road n.k
 
Kwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha.

Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa mbali kiasi kwamba machalii wa Chuga hawaelewi wahame au wasalie licha ya Serikali.

Serikali inajaribu kupambana Ili kuhakikisha hadhi ya Arusha kama kitovu Kikuu Cha Utalii haipokwi Kwa kufufua ujenzi wa Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano KICC,jengo la PAP,Makao Makuu ya Mahakama ya Africa ya Haki,Makao Makuu ya EAC na Baraza la michezo.

Hata hivyo Jiji la Didoma limeibuka Kwa Kasi na kuwa Jiji kubwa na la 3 Kwa wingi wa watu baada ya Dar na Mwanza kufuatia Msukumo mkubwa ukiofanywa na Hayati Magufuli Kwa Serikali kuhamia Dodoma na kuwasha mwenge wa ujuaji wa Jiji.

Dodoma Sasa ni kama kiwanda kikubwa ,Kimaoato Dom imeipiku Arusha na Mwanza just to rival Dar.Kwa maoni Yangu Baada ya Dar Jiji la ukweli Kwa Sasa ni Dodoma..

Dodoma City
View attachment 2685450
View attachment 2685401View attachment 2685403

Arusha City
View attachment 2685446
View attachment 2685411View attachment 2685412View attachment 2685683
Kwanza sahihisho, jiji la Dodoma ni la pili kwa idadi ya watu ikifuatiwa na Arusha. Mwanza ni jiji na nne kwa idadi ya watu, karejee sensa ya 2022. Usichanganye jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela hayo ni maeneo mawili tofauti ya maeneo ya kiutawala. Hata Mkoa wa Dar kuna jiji na kuna manispaa kama nne. Mislazimishe kajiji lenu hilo la Mwanza ukweli ni kuwa ni dogo kuliko jiji la Arusha.
 
Kwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha.

Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa mbali kiasi kwamba machalii wa Chuga hawaelewi wahame au wasalie licha ya Serikali.

Serikali inajaribu kupambana Ili kuhakikisha hadhi ya Arusha kama kitovu Kikuu Cha Utalii haipokwi Kwa kufufua ujenzi wa Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano KICC,jengo la PAP,Makao Makuu ya Mahakama ya Africa ya Haki,Makao Makuu ya EAC na Baraza la michezo.

Hata hivyo Jiji la Didoma limeibuka Kwa Kasi na kuwa Jiji kubwa na la 3 Kwa wingi wa watu baada ya Dar na Mwanza kufuatia Msukumo mkubwa ukiofanywa na Hayati Magufuli Kwa Serikali kuhamia Dodoma na kuwasha mwenge wa ujuaji wa Jiji.

Dodoma Sasa ni kama kiwanda kikubwa ,Kimaoato Dom imeipiku Arusha na Mwanza just to rival Dar.Kwa maoni Yangu Baada ya Dar Jiji la ukweli Kwa Sasa ni Dodoma..

Dodoma City
View attachment 2685450
View attachment 2685401View attachment 2685403

Arusha City
View attachment 2685446
View attachment 2685411View attachment 2685412View attachment 2685683
Usilinganishe vitu ambavyo havilingani, Dodoma imejengwa na serikali, majengo yote hayo makubwa ni ya serikali. Arusha imejijenga yenyewe. Havina na ulinganisho. Bila serikali Dodoma ingezidiwa na manispaa nyingi na wala isingekuwa jiji
 
Sio kweli Baada ya Dar Es Salaam yenye population ya 5M + inayofuata ni Mwanza yenye 1.2 M(Wasukuma wanazaliana sana hawanaga uzazi wa mpango😀😀) then Dodoma Jiji yenye 8k plus.Sensa ijayo baada ya miaka kumi population ya DodomaJiji itakua kubwa sana kukaribia Mwanza kwasababu ya uwingi wa watu wanaomiminika na familia zao Dodoma hasa wafanyakazi wa serikali.Idara zote na ofisi za serikali zitakapohamia full in Dodoma pamoja na kukamilika kwa mji wa serikali Mtumba population ya Dodoma Jiji itakua mara mbili ya Arusha Jiji
nchi hii sijui ujinga utaisha lini. Watu kwa ujinga au kwasababu zao hasa ujinga wanachanganya maeneo ya kiutawala. Kwa mujibu wa sensa ya 2022, Mkoa wa Dar Es Salaam una idadi ya watu 5,383,928, hii idadi siyo ya jiji. Idadi ya watu ktkt majiji na rank zao hapa nchini ni km ifuatavyo:
1. Dar Es Salaam - 1,649,912
2. Dodoma - 765,179
3. Arusha - 617,631
4. Mwanza - 594,834
5. Mbeya - 541,603
6. Tanga - 393,429.
Msichanganye population ya Ilemela na ya jiji la Mwanza, jiji la Mwanza ni eneo la Nyamagana km jiji la Dar ni eneo la Ilala, ndiyo maana ktkt sensa huwezi kuona idadi ya watu wa Ilala wala wa Nyamagana. Jiji la Mwanza ni dogo tu imekaribiwa hata na jiji la Mbeya. Rejea kitabu cha ripoti ya sensa ya mwaka 2022.
 
Naona unaruka ruka tu kuhamisha magoli[emoji3][emoji3][emoji3].Mwanzo umesema Dodoma Jiji hakuna barabara za lami nikakuchapa na facts kuwa Dodoma ndio Jiji pekee lenye mtandao mrefu wa barabara za lami ndani ya CBD,sasa umekuja na ishu nyingine ya natural environment[emoji3][emoji3].Majiji ya kisasa yaliyoendelea huwa hayapimwi kutokana na kigezo cha hali ya hewa...angalia Gaborone,Windhoek,Cairo,Tel Aviv uone
Hiyo ni mojawapo wewe na ndio inayovutia watu kwenda kuishi na kutafuta Fursa kwa Tanzania ukimuliza mtu yoyote awezi kukwambia ana ndoto ya kwenda kuishi Dom ,Bali ni utaskia kama sio Mwanza ,Arusha ,mbeya au dar kutokana hali ya hewa ya kuvutia
 
Hawa jamaa wanachekeshaga sana wanakwambia Dom ni jangwa lakini nikiangalia kule kwa Waziri Mkuu Area D Mlimani naona miti ya kutosha kijani mwaka mzima.Barabara za Dom nyingi pembezoni zimepandwa miti ya kupendezesha mfano Arusha Road,Nkuhungu four ways,Iringa Road,Veta Road,Udom Road,Kisasa Road n.k
Dodoma tuma Picha ya CBD tuone au unadhan hatupajui huko..huko ni jangwani
 
Ukweli mchungu Arusha kashapigwa parefu..

Nimeona baadhu ya nyumba zimepigwa landscaping nzuri na kuoteshwa maua ya kijana na huko Dodoma kwa kweli pesa unaongea.

Miaka 10 ijayo tukija kwa facts na logics kabisa Dodoma litakuwa jiji la pili.
 
Abuja sio Mji wa kila nyumbu kwenda Kuishi.

Hata hivyo Abuja iliundwa specifically kama Mji Mkuu wa Serikali purely Sasa tofauti na Dom ambayo upande ni Mji wa Serikali na upande Mji wa biashara na viwanda.

Kwa mantiki hiyo Dodoma haitakuja kuwa kama hizo Miji Zingine na vile uko junction ya Barabara kuu ndio kabisaa utazidi kupaa.
Kwamba unataka kusema Abuja hamna viwanda?! Tuna Rudi pale kwenye fact kwamba Dodoma sio mji wa kuishi na huwezi kumvutia mwekezaji kuishi na kujenga dodoma kutokana na nature yake ilivo
 
Wewe sasa ndio umejibu kihisia na sio kiuhalisia ili kuisapoti Mwanza hauna point yoyote specifically ya kujustify zaidi ya blaaaah blaaaah
1.Bajaji sio usafiri mkuu wa Dodoma kama unavyosema.Dodoma ndio jiji pekee Tanzania lenye mtandao mpana wa barabara za lami.Mwanza,Shinyanga na Bukoba bado wanatumia usafiri wa baiskeli kwenye vichochoro/barabara zao za vumbi[emoji3][emoji3]
2.Biashara ya nyumba za kupanga Dodoma ni hot cake.Watu wametajirika ndani ya kipindi kifupi baada ya serikali kuhamia rasmi Dodoma.Demand ya nyumba za kupanga Dodoma ni kubwa sana na madalali wameitumia hiyo fursa vizuri.Nakushangaa unavyodanganya eti kuna nyumba zinakosa wapangaji.Waulize wafanyakazi wa serikali wanaohamishwa Dodoma wanavyopata taabu kutafuta nyumba za kupanga
3.Unakiri kwamba maghorofa mengi yanajengwa Dodoma lakini unasema yanajengwa na Serikali....tukuulize swali ni Serikali ya nchi ipi hiyo Rwanda au Burundi[emoji3][emoji3]
4.Unasema kipindi cha Bunge likiisha Dodoma kunakua hakuna watu....tukuulize huko Mwanza vyuo vya SAUT na Bugando vikifungwa mji unakua na the same vibe ya sikuzote au kuna biashara nyingine nazo zinafungwa kabisa
Mwanza nitofauti na majiji mengine, ina kilimo, uvuvu, madini lkn uwepo wa viwanda pia unaleta ahueni

Arusha kidogo msimu wa utalii huwa inafunguka ila Dodoma ina nini ukitoa bunge na vyuo?
 
Back
Top Bottom