Mbeya yote siijui, ila CBD naijua... wilaya kama ya Mbarali naijua kidogo maeneo ya Igawa... Chunya nafahamu maeneo ya madini lakini sio maeneo yote... Siwezi kusema nimeenda Kyela basi hadi Nane nane napafahamu... Sawa sawa na wewe ulivyosema umesoma Karatu na kukaa kidogo Elerai basi unayo 'idea' ya Arusha...
Dodoma napafahamu, Arusha ndio balaa kuanzia Arusha CC, Arumeru, Monduli, Longido, Karatu mpaka Loliondo (Ngorongoro) hizo wilaya zote za Arusha hauwezi linganisha na za Dodoma kama Bahi, Kongwa, Mpwampwa na nduguze...
Arusha ipo mbele zaidi ya Dodoma... upande wa CBD hata Wilayani...
Sent from my SM-N960F using
JamiiForums mobile app