Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Sasa hapo ndio umeandika nini? Lini Kahama iliizidi Morogoro?
Nikuulize wew hizo takwimu ulitoa wap. OPPORTUNITY COST umemkana haya kana na hapa [emoji23][emoji23]View attachment 2685825
Screenshot_20230712-150704_Chrome.jpg
 
Sio kweli Baada ya Dar Es Salaam yenye population ya 5M + inayofuata ni Mwanza yenye 1.2 M(Wasukuma wanazaliana sana hawanaga uzazi wa mpango[emoji3][emoji3]) then Dodoma Jiji yenye 8k plus.Sensa ijayo baada ya miaka kumi population ya DodomaJiji itakua kubwa sana kukaribia Mwanza kwasababu ya uwingi wa watu wanaomiminika na familia zao Dodoma hasa wafanyakazi wa serikali.Idara zote na ofisi za serikali zitakapohamia full in Dodoma pamoja na kukamilika kwa mji wa serikali Mtumba population ya Dodoma Jiji itakua mara mbili ya Arusha Jiji
Dodoma wingi upi wawatu wanaofurika?! Nani Yuko tayari akaishi jangwani ?
 
Nikiona watu wana sindanisha miji kwa hasira na nguvu zote natamani niwa chape viboko
 
Sio kweli Baada ya Dar Es Salaam yenye population ya 5M + inayofuata ni Mwanza yenye 1.2 M(Wasukuma wanazaliana sana hawanaga uzazi wa mpango😀😀) then Dodoma Jiji yenye 8k plus.Sensa ijayo baada ya miaka kumi population ya DodomaJiji itakua kubwa sana kukaribia Mwanza kwasababu ya uwingi wa watu wanaomiminika na familia zao Dodoma hasa wafanyakazi wa serikali.Idara zote na ofisi za serikali zitakapohamia full in Dodoma pamoja na kukamilika kwa mji wa serikali Mtumba population ya Dodoma Jiji itakua mara mbili ya Arusha Jiji
Kama suala ni population, basi Tanzania tumewazidi na Denmark kwa mbali sana, zaidi ya mara kumi.
 
Mtoa mada umeandika kihisia sana na mahaba ya kutosha, kwanza rekebisha baada ya Dar ni Mwanza then Arusha kisha Dodoma

Nasema hivi kwa sababu Dodoma inakua ndio inajengwa ila haina hadhi hiyo unayoipa lkn pia unaikosea heshima nchi yetu kimataifa haiwezekani jiji la pili baada ya Dar (kwa maelezo yako) iwe Dodoma mji ambao usafiri mkuu ni bajaji,

Tusiifananishe Dom this time na miji kama Mwanza na Arusha, lkn pia kuondoa utata kati ya Mwanza na Arusha ipi ni the second after Dar

Serikari inagawa wilaya na halmashauri (manispaa) kufuatana na ukubwa wa eneo na mahitaji wa watu kuopata huduma za kiserikali, lkn pia kuirahisishia serikali kuihudumia jamii, yaani kupunguza mzigo wa serikali kuwafikia watu
Mfano Manyara ni mkoa uliotokana na Arusha ilikuwa ni kazi sana kwa viongozi wa mkoa wa Arusha kutatua changamoto za mkoa mzima ikabidi waupunguze ili sehemu ingine iwe na viongozi wao pia

Mwanza ina manispaa 2 za Ilemela na Nyamagana ambazo pia ni wilaya zipo eneo moja la mji, Arusha ina manispaa 1 na wilaya moja ya Arusha the same kwa Dom pia

Mwanza inafanya mchakato wa kuitangaza Kisesa kuwa wilaya na itakuwa na wilaya 3 ndani ya eneo moja wakati hiyo miji mingine yote ina wilaya moja moja na zinahudumika

Arusha sio mji wa serikali ila uwepo wa makao makuu ya EAC imerahisisha jumuia kujenga majengo ambayo yanapendezesha mji, Dodoma inajengwa na serikali 70% ya majengo marefu ya Dodoma mmiliki ni serikali Mwanza 86% ya majengo ni sekta binafsi (hii inatosha kusema kibiashara Mwanza haina mpinzani)

Nimekuwepo Dom vipindi tofauti tofauti ni mji naufahamu vizuri ni mji unaokua, tusiiweke tayari fikiria sehemu kama Kisasa, Makulu, Kikuyu ni mitaa mikubwa ila haina route za daladala ni mwendo wa bajaji, Sehemu kama Iyumbu na Michese unaweza kaa saa nzima na zaidi bila kupata daldala zinazoenda maeneo hayo Dom inakua lkn Mwanza na Arusha pia hazijasimama, Mwanza ujenzi wa daraja la Busisi-Kigongo unaendelea, soko kuu ambalo ni kubwa kuliko yote nchini linakamilika mwaka huu, ujenzi wa meli kubwa kuliko zote ukanda wa maziwa makuu upo mwishoni kabisa, meli ambayo itaiunganisha nchi yetu na EAC five star hotel mbili soon zitaanza kutumika (NSSF 5 Star hotel na Kapri 5 star hotel) trust me hivi vitu vitaiamsha sana Mwanza, kibiashara Dom inamisi vitu vingi sana hakuna maduka makubwa ukiwa Dom kuna bidhaa bado ili kuipata ni lazima uifuate Dar

Kwenye population hapa ndio bado kabisa nenda Dodoma kipindi bunge halipo lkn pia vyuo vimefunga utashangaa asilimia kubwa nyumba za Dodoma wanaishi watu sio zaidi ya 4-6 nyumba moja na kuna nyumba zingine zimejengwa hazina watu kabisa tembea Mkonze, Chidachi, Kisasa, Iyumbu kuna nyumba nyingi sana zimekamilika lkn hawaishi watu, watu walijenga kwaajili ya kupangisha

Mwanza nyumba yako kukosa mpangaji utake wewe, vile vile kwa Arusha
Mwanza hakuna sehemu ya mji Daladala hazifiki the same to Arusha
Wewe sasa ndio umejibu kihisia na sio kiuhalisia ili kuisapoti Mwanza hauna point yoyote specifically ya kujustify zaidi ya blaaaah blaaaah
1.Bajaji sio usafiri mkuu wa Dodoma kama unavyosema.Dodoma ndio jiji pekee Tanzania lenye mtandao mpana wa barabara za lami.Mwanza,Shinyanga na Bukoba bado wanatumia usafiri wa baiskeli kwenye vichochoro/barabara zao za vumbi😀😀
2.Biashara ya nyumba za kupanga Dodoma ni hot cake.Watu wametajirika ndani ya kipindi kifupi baada ya serikali kuhamia rasmi Dodoma.Demand ya nyumba za kupanga Dodoma ni kubwa sana na madalali wameitumia hiyo fursa vizuri.Nakushangaa unavyodanganya eti kuna nyumba zinakosa wapangaji.Waulize wafanyakazi wa serikali wanaohamishwa Dodoma wanavyopata taabu kutafuta nyumba za kupanga
3.Unakiri kwamba maghorofa mengi yanajengwa Dodoma lakini unasema yanajengwa na Serikali....tukuulize swali ni Serikali ya nchi ipi hiyo Rwanda au Burundi😀😀
4.Unasema kipindi cha Bunge likiisha Dodoma kunakua hakuna watu....tukuulize huko Mwanza vyuo vya SAUT na Bugando vikifungwa mji unakua na the same vibe ya sikuzote au kuna biashara nyingine nazo zinafungwa kabisa
 
Uwe unasema Arusha imezidi Dodoma Kwa kipi hasa? View attachment 2685494
Arusha inaizidi Dodoma kwa mengi sana:
1. Kipato
2. Hali ya hewa nzuri
3. Mandhari ya kuvutia
4. Wingi wa mabilionea
5. Hoteli za kifahari. Inafahamika kuwa Dar ndilo jiji linaloongoza kwa kuwa na mahoteli mengi ya Five Star Tanzania, likifuatiwa na Arusha .
6. Watafutaji wenye bidii
7. Watu wenye "akili" nzuri.
 
Wewe sasa ndio umejibu kihisia na sio kiuhalisia ili kuisapoti Mwanza hauna point yoyote specifically ya kujustify zaidi ya blaaaah blaaaah
1.Bajaji sio usafiri mkuu wa Dodoma kama unavyosema.Dodoma ndio jiji pekee Tanzania lenye mtandao mpana wa barabara za lami.Mwanza,Shinyanga na Bukoba bado wanatumia usafiri wa baiskeli kwenye vichochoro/barabara zao za vumbi😀😀
2.Biashara ya nyumba za kupanga Dodoma ni hot cake.Watu wametajirika ndani ya kipindi kifupi baada ya serikali kuhamia rasmi Dodoma.Demand ya nyumba za kupanga Dodoma ni kubwa sana na madalali wameitumia hiyo fursa vizuri.Nakushangaa unavyodanganya eti kuna nyumba zinakosa wapangaji.Waulize wafanyakazi wa serikali wanaohamishwa Dodoma wanavyopata taabu kutafuta nyumba za kupanga
3.Unakiri kwamba maghorofa mengi yanajengwa Dodoma lakini unasema yanajengwa na Serikali....tukuulize swali ni Serikali ya nchi ipi hiyo Rwanda au Burundi😀😀
4.Unasema kipindi cha Bunge likiisha Dodoma kunakua hakuna watu....tukuulize huko Mwanza vyuo vya SAUT na Bugando vikifungwa mji unakua na the same vibe ya sikuzote au kuna biashara nyingine nazo zinafungwa kabisa
Ukweli ni kuwa Mwanza pako busy mwaka mzima, huwezi palinganisha na Dodoma.
 
Dodoma wingi upi wawatu wanaofurika?! Nani Yuko tayari akaishi jangwani ?
hujui idadi ya watu Dodoma Jiji kwa mujibu wa sensa ya mwaka jana
angalia hapa
 
Attachments

  • Screenshot_20230712-155756.jpg
    Screenshot_20230712-155756.jpg
    83.3 KB · Views: 30
Dodoma wingi upi wawatu wanaofurika?! Nani Yuko tayari akaishi jangwani ?
😀😀Jangwani alafu ndio wanaongoza Tanzania nzima kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Tende,Mtama,Uwele,Rosella bila kusahau soko la kimataifa la nafaka Kibaigwa pamoja na vihenge/maghala makubwa kupita yote Afrika Mashariki na kati ya kuhifadhia mahindi yanayomilikiwa na NFRA pamoja na WFP/FAO
 
Back
Top Bottom