Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Toa Mwanza , msimamo ni
Dar
Dom
Arusha
Mwanza
Ni wewe unasema, ila statistics zinaongea Dar then Mwanza
(Dom, Mbeya, Arusha na tanga)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa Mwanza , msimamo ni
Dar
Dom
Arusha
Mwanza
Kwa population uko sawaNi wewe unasema, ila statistics zinaongea Dar then Mwanza
(Dom, Mbeya, Arusha na tanga)
Acha chupli chupli .dodoma area ni km za mraba 2500 Ina tarafa 4..tarafa ya dodoma mjini ,hombolo ,zuzu ... tarafa ya dodoma mjini ndo mitaa mnayotutajia humu... population ya tarafa hii haizidi watu laki nne na nusu kutoka watu laki 2 mwaka 2012 ...acha kudanganya wapumbavuKwa hiyo wewe na NBS nani wanajua mipaka ya Jiji la Dodoma na population yake? Wewe ni mzima kichwani kweli au unasumbuliwa na wivu?
Hiyo 450 ilikuwa ndio population ya Dom 2012.
Unaposema Dodoma Bado uwage unataka Bado kwenye area ipi maana Dom imezidi Arusha Kwa Kila kitu kasoro miti na wavuta bangi tuu.
Nani amekuambia inauzwa? Ndio maana mkablokiwa na dpw msichangie chochote, uliza upate uhakika na sio kuongea usichokijua, olenimala nkoi? Au niongee kichina utanielewa!Bandari isiuzwe
Watanzania wamewekeza zaidi ya Trilioni mbili pale halafu ndio uje useme hatujachangia chochote? Kwamba DPW wanachangia?Nani amekuambia inauzwa? Ndio maana mkablokiwa na dpw msichangie chochote, uliza upate uhakika na sio kuongea usichokijua, olenimala nkoi? Au niongee kichina utanielewa!
Watanzania wamewekeza zaidi ya Trilioni mbili pale halafu ndio uje useme hatujachangia chochote? Kwamba DPW wanachangia?
Hivi Unajua mwaka jana wametoa kiasi gani(Investment)kwa miradi yao yote........robo ya fedha tuliyowekeza kwenye Bandari yetu ! Sisi Watanzania ndio tunaokwenda kulipia Vifaa vipya tulivyoviweka Bandarini halafu ulete uarabu wako uchwara hapa
Mfyuuuuuuu Nenda ukamwadithie Msigwa upotoshajibl wako
Tumia vyanzo rasmi achana na hao wanaobashiri
Reli gani?Msitutoe Relini na kufunika funika na picha za Miji yetu wenyewe Tanzania tunaijua na tunayajua na tunayatembelea Kila siku.....Watanganyika tunahitaji Bandari yetu.
Wananchi Vs DPW
No to Neo-Colonialism
Kama tumeshindwa kuwekeza kwenye bandari , maji yetu tuogele tu ,mizigo tutapitishia Mombasa
Bandari yetu isiuzwe.
Acheni upuuzi wenu wa kuchafua Uzi wangu Kwa Ajili ya huo ujinga wenu..Msitutoe Relini na kufunika funika na picha za Miji yetu wenyewe Tanzania tunaijua na tunayajua na tunayatembelea Kila siku.....Watanganyika tunahitaji Bandari yetu.
Wananchi Vs DPW
No to Neo-Colonialism
Sawa Dodoma , kuna meneo kama Airport ,makole ,chadulu ,Area A ,majengo, Kikuyu ya magengeni ,Chamwino ,maili mbili,barabara ya Tisa pia ,maeneo hayo unapata Malaya kwa bei nafuu kabisa ,Acheni ujinga wenu wa kuchafua Uzi wangu Kwa Ajili ya huo ujinga wenu..
Nyuzi za Bandari ziko kibao humu nendeni mkachangie huko.
Hapa ni Arusha vs Dodoma
😀😀endelea kujifariji...Unasema wewe, statistics ndio inaongea
Dar then Mwanza
Arusha imewanyea mbali [emoji116][emoji3][emoji3]endelea kujifariji...
statistics zipi zaidi ya population. Hilo la Mwanza Jiji kushika nafasi ya pili kwa population halina ubishi. Statistics zingine kwamfano miundombinu,barabara za lami,ubora wa mipango miji,huduma za jamii,vyuo vikuu,uwingi wa ofisi+idara za serikali,ujenzi unaoendelea wa maghorofa n.k Mwanza mnapigwa knock out.....[emoji3][emoji3][emoji3]
Arusha imewanyea Mwanza ila Kwa Dom ni Kamji kadogo sana.Arusha imewanyea mbali [emoji116]
Ukiniletea jengo refu kuzidi hili nitag [emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2685600
Umesahwahi kufika Arusha au umekusanya tu picha mitandaoni ukaleta uzi?Kwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha.
Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa mbali kiasi kwamba machalii wa Chuga hawaelewi wahame au wasalie licha ya Serikali.
Serikali inajaribu kupambana Ili kuhakikisha hadhi ya Arusha kama kitovu Kikuu Cha Utalii haipokwi Kwa kufufua ujenzi wa Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano KICC,jengo la PAP,Makao Makuu ya Mahakama ya Africa ya Haki,Makao Makuu ya EAC na Baraza la michezo.
Hata hivyo Jiji la Didoma limeibuka Kwa Kasi na kuwa Jiji kubwa na la 3 Kwa wingi wa watu baada ya Dar na Mwanza kufuatia Msukumo mkubwa ukiofanywa na Hayati Magufuli Kwa Serikali kuhamia Dodoma na kuwasha mwenge wa ujuaji wa Jiji.
Dodoma Sasa ni kama kiwanda kikubwa ,Kimaoato Dom imeipiku Arusha na Mwanza just to rival Dar.Kwa maoni Yangu Baada ya Dar Jiji la ukweli Kwa Sasa ni Dodoma..
Dodoma City
View attachment 2685450
View attachment 2685401View attachment 2685403
Arusha City
View attachment 2685446
View attachment 2685411View attachment 2685412