shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,150
Kwamba bajaji sio usafir wa dodoma sabab dodoma inamtandao mpana wa barabara za lami ?Wewe sasa ndio umejibu kihisia na sio kiuhalisia ili kuisapoti Mwanza hauna point yoyote specifically ya kujustify zaidi ya blaaaah blaaaah
1.Bajaji sio usafiri mkuu wa Dodoma kama unavyosema.Dodoma ndio jiji pekee Tanzania lenye mtandao mpana wa barabara za lami.Mwanza,Shinyanga na Bukoba bado wanatumia usafiri wa baiskeli kwenye vichochoro/barabara zao za vumbi[emoji3][emoji3]
2.Biashara ya nyumba za kupanga Dodoma ni hot cake.Watu wametajirika ndani ya kipindi kifupi baada ya serikali kuhamia rasmi Dodoma.Demand ya nyumba za kupanga Dodoma ni kubwa sana na madalali wameitumia hiyo fursa vizuri.Nakushangaa unavyodanganya eti kuna nyumba zinakosa wapangaji.Waulize wafanyakazi wa serikali wanaohamishwa Dodoma wanavyopata taabu kutafuta nyumba za kupanga
3.Unakiri kwamba maghorofa mengi yanajengwa Dodoma lakini unasema yanajengwa na Serikali....tukuulize swali ni Serikali ya nchi ipi hiyo Rwanda au Burundi[emoji3][emoji3]
4.Unasema kipindi cha Bunge likiisha Dodoma kunakua hakuna watu....tukuulize huko Mwanza vyuo vya SAUT na Bugando vikifungwa mji unakua na the same vibe ya sikuzote au kuna biashara nyingine nazo zinafungwa kabisa