Kama hali ya hewa mbaya inakuaje tena wanaongoza Tanzania nzima kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Mtama,Uwele,Mbaazi,Tende,Rosella,Nafaka.Tangu lini hali ya hewa mbaya ikasapoti kilimo😀😀😀Dodoma ni kuzimu (hali ya hewa mbaya).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hali ya hewa mbaya inakuaje tena wanaongoza Tanzania nzima kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Mtama,Uwele,Mbaazi,Tende,Rosella,Nafaka.Tangu lini hali ya hewa mbaya ikasapoti kilimo😀😀😀Dodoma ni kuzimu (hali ya hewa mbaya).
Leta takwimu za wizara tuone kama inaoongozaKama hali ya hewa mbaya inakuaje tena wanaongoza Tanzania nzima kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Mtama,Uwele,Mbaazi,Tende,Rosella,Nafaka.Tangu lini hali ya hewa mbaya ikasapoti kilimo[emoji3][emoji3][emoji3]
Unajua unaota mkuuNitajie tofauti ya hali ya hewa ya Arusha na Dodoma kwa kipindi chote cha mwaka mzima
MkuuKama hali ya hewa mbaya inakuaje tena wanaongoza Tanzania nzima kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Mtama,Uwele,Mbaazi,Tende,Rosella,Nafaka.Tangu lini hali ya hewa mbaya ikasapoti kilimo😀😀😀
Mean while area ya Arusha ni 208sqkm while Dom ni 2500 sqkm kubwa kuliko mkoa wote wa dareessalaam wenye sqkm 1600 tu mwanza ingechukuliwa eneo la Dom ingekua na almost 2m people Arusha ingekua na around 1.7m lakin Dodoma kwa area yote hiyo ni watu 750k only Dodoma in real facts Ina watu wasiozidi 500k hapa nazungumzia urban settlement.Acha chupli chupli .dodoma area ni km za mraba 2500 Ina tarafa 4..tarafa ya dodoma mjini ,hombolo ,zuzu ... tarafa ya dodoma mjini ndo mitaa mnayotutajia humu... population ya tarafa hii haizidi watu laki nne na nusu kutoka watu laki 2 mwaka 2012 ...acha kudanganya wapumbavu
I stand with Arusha [emoji91]
Hujajibu swali niambie hali ya hewa ya Jiji la Dodoma kwa miezi ya kuanzia Mei hadi Septemba kama ina tofauti yoyote na Arusha.Umewahi kuona kwenye taarifa ya habari utabiri wa hali ya hewa wanasema kesho mji fulani kutakua na ukame😀😀😀😀 .Rudi shule uelewe tofauti ya Weather na ClimateUnajua unaota mkuu
Dodoma ingekua na hali ya hewa ya Arusha kusingekua na ukame mkali hivyo,acha kujitoa ufahamu na unafiki!
Dodoma kuna joto....na Dar Es Salaam nao wasemaje😀😀😀.Hali ya hewa ya Dodoma ni moderate sio joto wala sio baridi ila kwenye miezi ya kiangazi kuanzia Mei hadi Oktoba baridi ni kali sana kama ArushaMkuu
Mbona mnafiki hivi?
Mazao yote uliyotaja ni mazao ya joto....Arusha ni nchi ya baridi,Dodoma ni nchi ya joto!
Relax bwana
No one is taking away your Dodoma,it is beautiful as it is!
Hakuna haja ya kua mnafiki kiasi hiki!
Mahindi,Nafaka na Mbaazi eti ni mazao ya joto😀😀😀.....kwamba Arusha hawalimi mahindi au😀😀.Mkuu
Mbona mnafiki hivi?
Mazao yote uliyotaja ni mazao ya joto....Arusha ni nchi ya baridi,Dodoma ni nchi ya joto!
Relax bwana
No one is taking away your Dodoma,it is beautiful as it is!
Hakuna haja ya kua mnafiki kiasi hiki!
leo hujataka picha manake tukikuchapa na facts unakimbiliaga kusema leta picha😀😀😀.Sasa leo unataka takwimu za Wizara kuonesha kuwa Dodoma inaongoza kwa kilimo cha mazao hayo yaliyotajwa wakati mazao mengine kama Zabibu,Tende,Rosella ni only and exclusively yanazalishwa kwenye ardhi iliyobarikiwa ya Dodoma pekee😀😀😀.Takwimu zipi sasa wakati hakuna mshindaniLeta takwimu za wizara tuone kama inaoongoza
Huo usawa wa hali ya hewa ukwapi?! We kubali ukatae hali ya hewa ya Dom na Arusha ni vitu tofauti...Au kama huamini nitajie mikoa yenye baridi Tz View attachment 2687636Hujajibu swali niambie hali ya hewa ya Jiji la Dodoma kwa miezi ya kuanzia Mei hadi Septemba kama ina tofauti yoyote na Arusha.Umewahi kuona kwenye taarifa ya habari utabiri wa hali ya hewa wanasema kesho mji fulani kutakua na ukame[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] .Rudi shule uelewe tofauti ya Weather na Climate
Mkuu unaelewa kiswahili au huelewi ....nimekwambia hali ya hewa ya Dodoma Jiji kwa miezi ya kuanzia Mei hadi Oktoba ni baridi kali sawasawa na Arusha miezi iliyobaki hali ya hewa ni moderate yaani sio baridi kali wala joto kali.Utofauti wa hali ya hewa kwamfano Dar na Tukuyu ndio uhalisia kabisa kwamaana ya Dar ni Joto na Tukuyu baridi mwakamzimaHuo usawa wa hali ya hewa ukwapi?! We kubali ukatae hali ya hewa ya Dom na Arusha ni vitu tofauti...Au kama huamini nitajie mikoa yenye baridi Tz View attachment 2687636View attachment 2687637
Nimekuletea fact hapo kwa sasa ni mwezi wa 7 hali ya hewa ya Arusha ni nyuzi joto 21 na kwa dodoma ni nyuzi joto 25 tofauti ni kubwa mno ambamo ni nyuzi joto 4 hapo huo usawa wa hali ya ubaridi uko wapi?Mkuu unaelewa kiswahili au huelewi ....nimekwambia hali ya hewa ya Dodoma Jiji kwa miezi ya kuanzia Mei hadi Oktoba ni baridi kali sawasawa na Arusha miezi iliyobaki hali ya hewa ni moderate yaani sio baridi kali wala joto kali.Utofauti wa hali ya hewa kwamfano Dar na Tukuyu ndio uhalisia kabisa kwamaana ya Dar ni Joto na Tukuyu baridi mwakamzima
Punguza kamba mkuu, Dar, Pwani na Mwanza ndio zinaongoza kwa viwanda vikubwa pamoja na wiwanda vidogo.Mkoa wa juzi kivipi mkuu hivi unajua unachokiongea kweli?! Katika orodha ya Mikoa inayoongoza kwa viwanda Tz ukitoa Dar na Pwani inafata Arusha ...sasa unasemaje Arusha ni mkoa wa juzi?
Wewe unazani watu wa mwanza wanapolalamikia kuhusu barabara kw akili zenu mnajua kweli mwanza ina shida ya barabara, CBD yote ya mwanza huwez kukanyaga hata mchanga, na mitaa kama isamilo, capripoint n.k haina vumbi hata kidogo, ukisikia vilio.vya barabara tunataka barabara kuu zipanuliwe ziwe njia nne zote na vichochoro vyote viwe na lami, barabar muhimu zote zina lami, na zingine zipo kwenye mikakati ya miradi mbalimbali... Wewe endelea kupambana na Arusha ndio size yenu, sisi mwaka 2025 tunataka battle na kigali pamoja na kampala.😀😀😀unachekesha sana eti mitaa haina barabara.Kuna Jiji lenye mtandao mpana wa barabara za lami kama Dodoma Tanzania hii.Mwanza ndio kwenye vumbi na vichochoro visivyopangiliwa.
Kamwe usijaribu kulinganisha Dodoma na miji mingine kwenye kigezo cha mipango miji na ubora wa miundombinu.Master plan ya Jiji la Dodoma sio level ya nchi hii ni next level
Toa upumbavu yaani ubaridi nayo ni sifa, watu wanatumia gharama kupambana na baridi lakini wajinga kama nyie kutwa nzima kusifia jiji la arusha mkiulizwa lina sifa gani eti kuna hali ya hewa nzuri hali ya hewa nzuri ipi eti kuna baridi, kwahiyo baridi ndio hali nzuri ya hewa? Sehemu nzuri ni zenye hali ya hewa kuanzia nyuzi 25-28 na kukiwa na humidity ya kutosha, hiyo Arusha haiwezi kuizidi Dodoma kwa chochota labda kwa idadi ya matejaa, na vijana wa ovyo.Nimekuletea fact hapo kwa sasa ni mwezi wa 7 hali ya hewa ya Arusha ni nyuzi joto 21 na kwa dodoma ni nyuzi joto 25 tofauti ni kubwa mno ambamo ni nyuzi joto 4 hapo huo usawa wa hali ya ubaridi uko wapi?
Hujui nguvu ya serikali kijana ni bora ukausheArusha kuilinganisha na Dodoma ni matumizi, mabaya ya simu zenu,,, Dodoma itaizidi hadi Dsm majengo ya serikali tu,, basi kwingine hamna kitu, na project nyingi za Dodoma zitakua white elephant, sioni mtu wa kuishi Dodoma hata hao wafanya kazi wa hizo taasisi za kiserikali, familia zao zipo dsm, hapo ni kazi weekend Dsm,, Mfano soko la Dungai mpaka sasa wanafugia popo, hakuna watu humo,, Nyumba za NHC hazina watu hapo jangwani yamebaki kuwa mapambo na makazi ya mijusi na n'geo, Binafsi
Hawa vijana wanaongozwa na mihemko na mahaba tu, serikali ina nguvu sana kwenye ukuaji wa miji hasa sisi tunaotegemea central govt, ingekuwa kuna serikali ya majimbo hapo sawa.
Iyo dodoma itabinua miji mingi sana...hakuna mtu anataka kuishi mahali hakuna huduma za kijamii dunia ya leo...wanawekewa kila kitu hapo Sasa nani hataki raha..Hawa vijana wanaongozwa na mihemko na mahaba tu, serikali ina nguvu sana kwenye ukuaji wa miji hasa sisi tunaotegemea central govt, ingekuwa kuna serikali ya majimbo hapo sawa.
Blah blah blahHujajibu swali niambie hali ya hewa ya Jiji la Dodoma kwa miezi ya kuanzia Mei hadi Septemba kama ina tofauti yoyote na Arusha.Umewahi kuona kwenye taarifa ya habari utabiri wa hali ya hewa wanasema kesho mji fulani kutakua na ukame😀😀😀😀 .Rudi shule uelewe tofauti ya Weather na Climate
Dar inaingiaje kwenye mjadala?Dodoma kuna joto....na Dar Es Salaam nao wasemaje😀😀😀.Hali ya hewa ya Dodoma ni moderate sio joto wala sio baridi ila kwenye miezi ya kiangazi kuanzia Mei hadi Oktoba baridi ni kali sana kama Arusha