Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Mzee

Punguza ufala basi

Dodoma inalima mahindi au inabeep kulima mahindi?

Darasa la nne ulijifunza Dodoma inaongoza kwa kulima zao gani Tanzania?

Au la Nne ulifeli?

Dodoma wanabeep kulima mahindi kama mikoa mingine yote..mahindi yanaongoza kwa kulimwa Morogoro ndio kuna temperate climate favorable na sio mavini Dodoma!

Fvck outta here!
Nimeshakwambia huwa najibu hoja kwa hoja ...facts kwa facts hizo ngonjera na michambo peleka Facebook kachambane na akina Juma Lokole.

Maswali yangu unakwepa unabadili badili topics

1.Swali la kwanza kama Dodoma kuna ukame na jangwani kama unavyosema inakuaje tena Soko la kimataifa la mahindi lipo Kibaigwa-Kongwa.

2.Swali la pili kama Dodoma ni ukame na jangwa kama unavyotuaminisha inakuaje tena Dodoma iwe ya pili baada ya Songea kwa kuwa na vihenge/maghala makubwa na ya kisasa ya kuhifadhia nafaka refer maghala ya NFRA na yale ya WFP pamoja na FAO

Ukiweza kujibu haya maswali mawili tu nitag plz
 
Achana na wahuni ambo wamesoma kuwa dodoma ni semi desert basi wakajua huko mvua hazinyeshi, watu hawalimi n.k.

Sio hilo tu mwambie akutajir sehemu nyingine inayotoa mahindi bora kabisa.

Mahindi ya dodoma ukiyaweka sokoni yanoandoka haraka sana kuliko ya sehemu nyingine.
 
Current weather condition Dom mjini ....angalia apo ni 19C alafu eti unasema hiyo ni hali ya hewa ya joto[emoji38][emoji38][emoji38].Kawaulize wauza makoti na majaketi msimu wa kuanzia Mei hadi Oktoba wanavyouza kwa kiwango cha juu
Yani we jamaa Una ubishi wa kijinga sana kwamba unataka kusema dodoma ni kati ya Mikoa yenye baridi Tanzania
 
Nimekuletea fact hapo kwa sasa ni mwezi wa 7 hali ya hewa ya Arusha ni nyuzi joto 21 na kwa dodoma ni nyuzi joto 25 tofauti ni kubwa mno ambamo ni nyuzi joto 4 hapo huo usawa wa hali ya ubaridi uko wapi?
 
Attachments

  • Screenshot_20230714-221604.png
    Screenshot_20230714-221604.png
    19.1 KB · Views: 8
Achana na wahuni ambo wamesoma kuwa dodoma ni semi desert basi wakajua huko mvua hazinyeshi, watu hawalimi n.k.

Sio hilo tu mwambie akutajir sehemu nyingine inayotoa mahindi bora kabisa.

Mahindi ya dodoma ukiyaweka sokoni yanoandoka haraka sana kuliko ya sehemu nyingine.
Yaani ujue kuna watu unabishana nao ukute hawajawahi hata kuishi Dom mjini ila walikatisha njia tu wakati wanaenda mikoani😆😆😆😆.
Mtu anakwambia Dodoma ni jangwa sasa unamuuliza huko Jangwani inakuaje tena wanazalisha kwa wingi Zabibu,Mahindi,Nafaka,Mtama n.k analeta stori za vijiweni😀😀😀
 
Yani we jamaa Una ubishi wa kijinga sana kwamba unataka kusema dodoma ni kati ya Mikoa yenye baridi Tanzania
Uwe unaelewa aisee nimekwambia hali ya hewa ya Dodoma kwenye miezi ya kuanzia Mei hadi Oktoba ni baridi kali sawasawa na Arusha.Angalia ushahidi huo kwa sasa Dom mjini ni 19 C .Miezi mingine iliyobaki hali ya hewa Dodoma ni ya wastani yaani sio baridi sana wala sio joto.
Kwahiyo hali ya hewa Dom mjini kiujumla unaweza kusema ni moderate haina tofauti sana na Arusha.Ukitaka kupata utofauti wa hali ya hewa ni mfano Dar Es Salaam kwenye joto na eneo kama Tukuyu kwenye baridi hapo ndio unaona clear difference
 
Attachments

  • Screenshot_20230714-221604.png
    Screenshot_20230714-221604.png
    19.1 KB · Views: 9
Yaani ujue kuna watu unabishana nao ukute hawajawahi hata kuishi Dom mjini ila walikatisha njia tu wakati wanaenda mikoani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].
Mtu anakwambia Dodoma ni jangwa sasa unamuuliza huko Jangwani inakuaje tena wanazalisha kwa wingi Zabibu,Mahindi,Nafaka,Mtama n.k analeta stori za vijiweni[emoji3][emoji3][emoji3]
mkuu Kama unaongelea dom city mbona unataja hadi kibaigwa?
 
Uwe unaelewa aisee nimekwambia hali ya hewa ya Dodoma kwenye miezi ya kuanzia Mei hadi Oktoba ni baridi kali sawasawa na Arusha.Angalia ushahidi huo kwa sasa Dom mjini ni 19 C .Miezi mingine iliyobaki hali ya hewa Dodoma ni ya wastani yaani sio baridi sana wala sio joto.
Kwahiyo hali ya hewa Dom mjini kiujumla unaweza kusema ni moderate haina tofauti sana na Arusha.Ukitaka kupata utofauti wa hali ya hewa ni mfano Dar Es Salaam kwenye joto na eneo kama Tukuyu kwenye baridi hapo ndio unaona clear difference
[emoji2][emoji2]mkuu dodoma hakunaa barid bhana au mm naish dodoma tofauti na yako?et baridi sawa sawa na makete wasemeje au hao wa arusha ?
 
[emoji2][emoji2]mkuu dodoma hakunaa barid bhana au mm naish dodoma tofauti na yako?et baridi sawa sawa na makete wasemeje au hao wa arusha ?
Kuna mtu kasema Dom mjini hali ya hewa ni Joto mwakamzima ndio nikamjibu kuwa hali ya hewa ya Dom sio joto ila imegawanyika vipindi viwili kwa mwaka.Kuna mwezi Mei hadi Oktoba ambapo baridi ni kali almost sawa na Arusha alafu kuna kipindi cha Nov hadi Aprili ambapo hapa hali ya hewa ni wastani yaani sio baridi sana wala sio joto
 
Kwanzia lini Mwanza ikaipita Arusha kwa viwanda?! Yani nakupa mfano kiwanda kimoja Cha A to Z idadi ya wafanyakazi wake ni sawa na idadi ya wafanyakazi wote wafanyao kazi katika viwanda vya mkoa wa mwanzaView attachment 2688228
Unafurahia ajira za manamba huku Mwanza kuna viwanda vingi lakini watu hawawezi kujazana kwenye viwanda, wewe kwa akili yako Manyara, morogoro, Kilimanjaro na arusha zinaizidi Mwanza na Pwani viwanda, Dar ina vijana wwngi kutoka mikoani wanaoenda kutafuta ajira za kimaskini na pia inaongoza kwa viwanza siwezi kubisha lakini hizo mikoa zilizobaki zinaidizi mwanza na Pwani kwa idadi ya viwanda.... Lakini poleni pia hii inaonesha mikoa hizo fursa za ajira na fursa na maisha zinapatika kwenye viwanda na vijana wengi wa mikoa hiyo wanakimbilia kazi za viwanda.
 
[emoji2][emoji2]mkuu dodoma hakunaa barid bhana au mm naish dodoma tofauti na yako?et baridi sawa sawa na makete wasemeje au hao wa arusha ?
Kama kweli unaishi Dodoma tueleze hali ya hewa sasahivi ikoje ...Je saizi ni joto kama anavyosema jamaa au ni baridi kali😆😆
 
Current weather condition Dom mjini ....angalia apo ni 19C alafu eti unasema hiyo ni hali ya hewa ya joto😆😆😆.Kawaulize wauza makoti na majaketi msimu wa kuanzia Mei hadi Oktoba wanavyouza kwa kiwango cha juu
Mnabishana ujinga tu hata kama hiwe hali ya joto Arusha haiwezi kuizidi Dodoma, kama joto mbona Dubai ina joto kali na watalii bado wanaongezeka.
 
Kuna mtu kasema Dom mjini hali ya hewa ni Joto mwakamzima ndio nikamjibu kuwa hali ya hewa ya Dom sio joto ila imegawanyika vipindi viwili kwa mwaka.Kuna mwezi Mei hadi Oktoba ambapo baridi ni kali almost sawa na Arusha alafu kuna kipindi cha Nov hadi Aprili ambapo hapa hali ya hewa ni wastani yaani sio baridi sana wala sio joto
anhaa sawa mkuu
 
mkuu Kama unaongelea dom city mbona unataja hadi kibaigwa?
Yes apo nilikua namjibu jamaa aliyesema Dodoma ni ukame na jangwani kwamba hakuna kilimo wala uzalishaji wa mazao yoyote ikiwemo mahindi😆😆😆.Lakini pia kumbuka mazao kwamfano Zabibu yanazalishwa kwa wingi ndani ya eneo la Jiji.Maeneo kama Bihawana,Hombolo,Mpunguzi,Zuzu kwa Pinda,Makutupora n.k
 
Back
Top Bottom