Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Mahindi,Nafaka na Mbaazi eti ni mazao ya joto😀😀😀.....kwamba Arusha hawalimi mahindi au😀😀.

Swali la kwanza inakuaje soko la kimataifa la mahindi na nafaka liwe Kibaigwa..?

Swali la pili inakuaje Dodoma ishike nafasi ya pili baada ya Songea kwa ujenzi wa vihenge/maghala makubwa ya kuhifadhia Mahindi yanayomilikiwa na NFRA pamoja na yale yanayomilikiwa na WFP pamoja na FAO kule Kizota

Ukiweza kujibu hayo maswali mawili naomba unitag plz
Mahindi ni mazao ya sehem zenye joto mzee,huelewi tu?

Maeneo ya tambarare

Na hapa hatuzungumzii mazao,tunazungumzia wapi kuna baridi na wapi hakuna baridi

Arusha kuna baridi,Dodoma hakuna baridi kuna joto,FULL STOP!

Sijui choroko,mahindi,dengu,etc and other blah blah na matamahuluku ni unatujazia server tu!

Dodoma kuna joto na Arusha kuna baridi,case closed!
 
Iyo dodoma itabinua miji mingi sana...hakuna mtu anataka kuishi mahali hakuna huduma za kijamii dunia ya leo...wanawekewa kila kitu hapo Sasa nani hataki raha..

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Huduma zipi za kijamii zitakuwepo dodoma..miji mingine zisiwepo ..
 
Dodoma ni jiji jipya hivyo itachukua muda kulinganishwa na majiji mengine
Weka picha ya drone ikionesha jiji ndio utajua kuwa bado sana
Japo ni kweli panajengeka ila huwezi kupima jiji kwa picha za majengo ya kuhesabu sijui matano..........
 
Mahindi ni mazao ya sehem zenye joto mzee,huelewi tu?

Maeneo ya tambarare

Na hapa hatuzungumzii mazao,tunazungumzia wapi kuna baridi na wapi hakuna baridi

Arusha kuna baridi,Dodoma hakuna baridi kuna joto,FULL STOP!

Sijui choroko,mahindi,dengu,etc and other blah blah na matamahuluku ni unatujazia server tu!

Dodoma kuna joto na Arusha kuna baridi,case closed!
Unachekesha eti Mahindi ni zao linalolimwa kwenye joto.Mikoa ya Mbeya,Songwe,Rukwa,Katavi wanapolima mahindi kwa wingi kuna joto eti😀😀😀😀
 
Hivi unajua baridi ni degree ngapi na joto ni degree ngapi?

Unajua mahindi ya Africa yalimwa degree ngapi?

Halafu Arusha kwa mwaka wa mvua ni degree ngapi na Dodoma kwa mwaka wa mvua ni degree ngapi?

Punguza hizi madness

Tunajua unaipenda Dodoma where you come from

Sio lazima iwe sawa na Arusha ndio ufurahi,difference ndio kitu kizuri,sio lazima kufanana

Jitahidini muwe na GDP kubwa kuliko Arusha,unfortunately Arusha ni tajiri zaidi ya Dodoma mara kadhaa

Mengine unayoongea hapa ni wivu wa kike tu unakusumbua,ridhika na kwenu!
 
Na hapa hatuzungumzii mazao,tunazungumzia wapi kuna baridi na wapi hakuna baridi

Arusha kuna baridi,Dodoma hakuna baridi kuna joto,FULL STOP!

Sijui choroko,mahindi,dengu,etc and other blah blah na matamahuluku ni unatujazia server tu!

Dodoma kuna joto na Arusha kuna baridi,case closed!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi unajua baridi ni degree ngapi na joto ni degree ngapi?

Unajua mahindi ya Africa yalimwa degree ngapi?

Halafu Arusha kwa mwaka wa mvua ni degree ngapi na Dodoma kwa mwaka wa mvua ni degree ngapi?

Punguza hizi madness

Tunajua unaipenda Dodoma where you come from

Sio lazima iwe sawa na Arusha ndio ufurahi,difference ndio kitu kizuri,sio lazima kufanana

Jitahidini muwe na GDP kubwa kuliko Arusha,unfortunately Arusha ni tajiri zaidi ya Dodoma mara kadhaa

Mengine unayoongea hapa ni wivu wa kike tu unakusumbua,ridhika na kwenu!
michambo na taarabu huwa sijibu....huwa najibu facts kwa facts ,hoja kwa hoja

Angalia current weather condition ya Dodoma Jiji .....alafu uniambie kama hyo ni joto
 
Attachments

  • Screenshot_20230714-185430.png
    Screenshot_20230714-185430.png
    15.8 KB · Views: 10
Hivi unajua baridi ni degree ngapi na joto ni degree ngapi?

Unajua mahindi ya Africa yalimwa degree ngapi?

Halafu Arusha kwa mwaka wa mvua ni degree ngapi na Dodoma kwa mwaka wa mvua ni degree ngapi?

Punguza hizi madness

Tunajua unaipenda Dodoma where you come from

Sio lazima iwe sawa na Arusha ndio ufurahi,difference ndio kitu kizuri,sio lazima kufanana

Jitahidini muwe na GDP kubwa kuliko Arusha,unfortunately Arusha ni tajiri zaidi ya Dodoma mara kadhaa

Mengine unayoongea hapa ni wivu wa kike tu unakusumbua,ridhika na kwenu!
Unajitahidi kubadili badili topics kuhamisha magoli badala ya kujibu swali.Swali lipo pale pale Mbeya,Rukwa,Songwe,Katavi ni mojawapo ya mikoa inayolima Mahindi kwa wingi Je hali ya hewa ya huko ni ya Joto..? Kwa maelezo yako umesema mwanzo kuwa Dodoma kuna joto ndiomana wanalima zao la mahindi yaani mahindi ni zao linalolimwa kwenye maeneo ya joto😀😀😀
 
Huo usawa wa hali ya hewa ukwapi?! We kubali ukatae hali ya hewa ya Dom na Arusha ni vitu tofauti...Au kama huamini nitajie mikoa yenye baridi Tz View attachment 2687636View attachment 2687637
nadhani sasa umeelewa nilivyokwambia hali ya hewa ya Arusha na Dom especially kwenye kipindi cha Kiangazi ni almost sawa ...angalia apo tofauti ni 2C tu. Utofauti sio mkubwa kivile kama unavyotaka kutuaminisha.Dodoma miezi ya kuanzia Mei hadi Oktoba ni baridi kali ,miezi mingine iliyobaki kwa mwaka ni wastani yaani sio baridi wala sio joto ni moderate
 
Attachments

  • Screenshot_20230714-192042.jpg
    Screenshot_20230714-192042.jpg
    37.6 KB · Views: 10

Mkuu jamaa ana utani na Arusha huyu 😂😂😂😂
Au anataka tu kubishana na wewe
Yaani jamaa ana hasira kwa Arusha kuipita Dodoma kwa "baridi"

Just imagine

What kind of beef is that?

Madness!

Mzee Dada niambie za miaka?
 
michambo na taarabu huwa sijibu....huwa najibu facts kwa facts ,hoja kwa hoja

Angalia current weather condition ya Dodoma Jiji .....alafu uniambie kama hyo ni joto
Mkuu yaelekea una Malaria

Arusha ni ngapi on the same day?Ni 17 degrees celicius!

What the fvck is 23C?

Mind you Dar es Salaam ni 24C,yaani wewe Dodoma umelingana na Dar es Salaam then unafungulia pua Arusha?

Plus,tunataka average temperature per year ndio tufanye comparisons,sio hizi anecdotal temperature overshoots!

Stop this madness!
 
Yaani jamaa ana hasira kwa Arusha kuipita Dodoma kwa "baridi"

Just imagine

What kind of beef is that?

Madness!

Mzee Dada niambie za miaka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilivyoona tu anasema hali ya hewa ni sawa nikaishia hapo.

Dodoma ni kukame sana na jua,huwezi linganisha na Arusha.
Nimeishi Dodoma miaka kadhaa ,napajua.
Na lile jua linalochoma hadi ubongo[emoji38].

I'm fine,just missing you Mkuu.
 
Unajitahidi kubadili badili topics kuhamisha magoli badala ya kujibu swali.Swali lipo pale pale Mbeya,Rukwa,Songwe,Katavi ni mojawapo ya mikoa inayolima Mahindi kwa wingi Je hali ya hewa ya huko ni ya Joto..? Kwa maelezo yako umesema mwanzo kuwa Dodoma kuna joto ndiomana wanalima zao la mahindi yaani mahindi ni zao linalolimwa kwenye maeneo ya joto😀😀😀
Mzee

Punguza ufala basi

Dodoma inalima mahindi au inabeep kulima mahindi?

Darasa la nne ulijifunza Dodoma inaongoza kwa kulima zao gani Tanzania?

Au la Nne ulifeli?

Dodoma wanabeep kulima mahindi kama mikoa mingine yote..mahindi yanaongoza kwa kulimwa Morogoro ndio kuna temperate climate favorable na sio mavini Dodoma!

Fvck outta here!
 
nadhani sasa umeelewa nilivyokwambia hali ya hewa ya Arusha na Dom especially kwenye kipindi cha Kiangazi ni almost sawa ...angalia apo tofauti ni 2C tu. Utofauti sio mkubwa kivile kama unavyotaka kutuaminisha.Dodoma miezi ya kuanzia Mei hadi Oktoba ni baridi kali ,miezi mingine iliyobaki kwa mwaka ni wastani yaani sio baridi wala sio joto ni moderate
Dah Mkuu imenichekesha😂
Usiforce mambo
Hali ya hewa ya Arusha labda linganisha na Mbeya,,ndio vinaendana

Ila Dodoma kwa kweli umetupiga.
Wote tunajua namna Dom Kuna joto.
Angalau maeneno ya UDOM kule at least kuna upepo wa kutosha jangwani kule.
 
Punguza kamba mkuu, Dar, Pwani na Mwanza ndio zinaongoza kwa viwanda vikubwa pamoja na wiwanda vidogo.
Kwanzia lini Mwanza ikaipita Arusha kwa viwanda?! Yani nakupa mfano kiwanda kimoja Cha A to Z idadi ya wafanyakazi wake ni sawa na idadi ya wafanyakazi wote wafanyao kazi katika viwanda vya mkoa wa mwanza
images.jpg
 
Mzee

Punguza ufala basi

Dodoma inalima mahindi au inabeep kulima mahindi?

Darasa la nne ulijifunza Dodoma inaongoza kwa kulima zao gani Tanzania?

Au la Nne ulifeli?

Dodoma wanabeep kulima mahindi kama mikoa mingine yote..mahindi yanaongoza kwa kulimwa Morogoro ndio kuna temperate climate favorable na sio mavini Dodoma!

Fvck outta here!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dah Mkuu imenichekesha😂
Usiforce mambo
Hali ya hewa ya Arusha labda linganisha na Mbeya,,ndio vinaendana

Ila Dodoma kwa kweli umetupiga.
Wote tunajua namna Dom Kuna joto.
Angalau maeneno ya UDOM kule at least kuna upepo wa kutosha jangwani kule.
Current weather condition Dom mjini ....angalia apo ni 19C alafu eti unasema hiyo ni hali ya hewa ya joto😆😆😆.Kawaulize wauza makoti na majaketi msimu wa kuanzia Mei hadi Oktoba wanavyouza kwa kiwango cha juu
 
Attachments

  • Screenshot_20230714-215904.png
    Screenshot_20230714-215904.png
    28.2 KB · Views: 9
Back
Top Bottom