Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma ni kuzimu (hali ya hewa mbaya).
Kama hali ya hewa mbaya inakuaje tena wanaongoza Tanzania nzima kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Mtama,Uwele,Mbaazi,Tende,Rosella,Nafaka.Tangu lini hali ya hewa mbaya ikasapoti kilimo😀😀😀
 
Kama hali ya hewa mbaya inakuaje tena wanaongoza Tanzania nzima kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Mtama,Uwele,Mbaazi,Tende,Rosella,Nafaka.Tangu lini hali ya hewa mbaya ikasapoti kilimo[emoji3][emoji3][emoji3]
Leta takwimu za wizara tuone kama inaoongoza
 
Kama hali ya hewa mbaya inakuaje tena wanaongoza Tanzania nzima kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Mtama,Uwele,Mbaazi,Tende,Rosella,Nafaka.Tangu lini hali ya hewa mbaya ikasapoti kilimo😀😀😀
Mkuu

Mbona mnafiki hivi?

Mazao yote uliyotaja ni mazao ya joto....Arusha ni nchi ya baridi,Dodoma ni nchi ya joto!

Relax bwana

No one is taking away your Dodoma,it is beautiful as it is!

Hakuna haja ya kua mnafiki kiasi hiki!
 
Mean while area ya Arusha ni 208sqkm while Dom ni 2500 sqkm kubwa kuliko mkoa wote wa dareessalaam wenye sqkm 1600 tu mwanza ingechukuliwa eneo la Dom ingekua na almost 2m people Arusha ingekua na around 1.7m lakin Dodoma kwa area yote hiyo ni watu 750k only Dodoma in real facts Ina watu wasiozidi 500k hapa nazungumzia urban settlement.
True rankings ni 1. Dar 2.Mwanza 3. Zanzibar 4. Arusha 5. Dodoma NB Zanzibar Ina manispaa 3 za mjini each ikiwa na around 300k inaleta total ya around 900k hadi 1M
 

Attachments

  • Screenshot_20230714-111638.jpg
    127.8 KB · Views: 12
Unajua unaota mkuu

Dodoma ingekua na hali ya hewa ya Arusha kusingekua na ukame mkali hivyo,acha kujitoa ufahamu na unafiki!
Hujajibu swali niambie hali ya hewa ya Jiji la Dodoma kwa miezi ya kuanzia Mei hadi Septemba kama ina tofauti yoyote na Arusha.Umewahi kuona kwenye taarifa ya habari utabiri wa hali ya hewa wanasema kesho mji fulani kutakua na ukame😀😀😀😀 .Rudi shule uelewe tofauti ya Weather na Climate
 
Mkuu

Mbona mnafiki hivi?

Mazao yote uliyotaja ni mazao ya joto....Arusha ni nchi ya baridi,Dodoma ni nchi ya joto!

Relax bwana

No one is taking away your Dodoma,it is beautiful as it is!

Hakuna haja ya kua mnafiki kiasi hiki!
Dodoma kuna joto....na Dar Es Salaam nao wasemaje😀😀😀.Hali ya hewa ya Dodoma ni moderate sio joto wala sio baridi ila kwenye miezi ya kiangazi kuanzia Mei hadi Oktoba baridi ni kali sana kama Arusha
 
Mkuu

Mbona mnafiki hivi?

Mazao yote uliyotaja ni mazao ya joto....Arusha ni nchi ya baridi,Dodoma ni nchi ya joto!

Relax bwana

No one is taking away your Dodoma,it is beautiful as it is!

Hakuna haja ya kua mnafiki kiasi hiki!
Mahindi,Nafaka na Mbaazi eti ni mazao ya joto😀😀😀.....kwamba Arusha hawalimi mahindi au😀😀.

Swali la kwanza inakuaje soko la kimataifa la mahindi na nafaka liwe Kibaigwa..?

Swali la pili inakuaje Dodoma ishike nafasi ya pili baada ya Songea kwa ujenzi wa vihenge/maghala makubwa ya kuhifadhia Mahindi yanayomilikiwa na NFRA pamoja na yale yanayomilikiwa na WFP pamoja na FAO kule Kizota

Ukiweza kujibu hayo maswali mawili naomba unitag plz
 
Leta takwimu za wizara tuone kama inaoongoza
leo hujataka picha manake tukikuchapa na facts unakimbiliaga kusema leta picha😀😀😀.Sasa leo unataka takwimu za Wizara kuonesha kuwa Dodoma inaongoza kwa kilimo cha mazao hayo yaliyotajwa wakati mazao mengine kama Zabibu,Tende,Rosella ni only and exclusively yanazalishwa kwenye ardhi iliyobarikiwa ya Dodoma pekee😀😀😀.Takwimu zipi sasa wakati hakuna mshindani
 
Huo usawa wa hali ya hewa ukwapi?! We kubali ukatae hali ya hewa ya Dom na Arusha ni vitu tofauti...Au kama huamini nitajie mikoa yenye baridi Tz View attachment 2687636
 
Huo usawa wa hali ya hewa ukwapi?! We kubali ukatae hali ya hewa ya Dom na Arusha ni vitu tofauti...Au kama huamini nitajie mikoa yenye baridi Tz View attachment 2687636View attachment 2687637
Mkuu unaelewa kiswahili au huelewi ....nimekwambia hali ya hewa ya Dodoma Jiji kwa miezi ya kuanzia Mei hadi Oktoba ni baridi kali sawasawa na Arusha miezi iliyobaki hali ya hewa ni moderate yaani sio baridi kali wala joto kali.Utofauti wa hali ya hewa kwamfano Dar na Tukuyu ndio uhalisia kabisa kwamaana ya Dar ni Joto na Tukuyu baridi mwakamzima
 
Nimekuletea fact hapo kwa sasa ni mwezi wa 7 hali ya hewa ya Arusha ni nyuzi joto 21 na kwa dodoma ni nyuzi joto 25 tofauti ni kubwa mno ambamo ni nyuzi joto 4 hapo huo usawa wa hali ya ubaridi uko wapi?
 
Mkoa wa juzi kivipi mkuu hivi unajua unachokiongea kweli?! Katika orodha ya Mikoa inayoongoza kwa viwanda Tz ukitoa Dar na Pwani inafata Arusha ...sasa unasemaje Arusha ni mkoa wa juzi?
Punguza kamba mkuu, Dar, Pwani na Mwanza ndio zinaongoza kwa viwanda vikubwa pamoja na wiwanda vidogo.
 
Wewe unazani watu wa mwanza wanapolalamikia kuhusu barabara kw akili zenu mnajua kweli mwanza ina shida ya barabara, CBD yote ya mwanza huwez kukanyaga hata mchanga, na mitaa kama isamilo, capripoint n.k haina vumbi hata kidogo, ukisikia vilio.vya barabara tunataka barabara kuu zipanuliwe ziwe njia nne zote na vichochoro vyote viwe na lami, barabar muhimu zote zina lami, na zingine zipo kwenye mikakati ya miradi mbalimbali... Wewe endelea kupambana na Arusha ndio size yenu, sisi mwaka 2025 tunataka battle na kigali pamoja na kampala.
 
Nimekuletea fact hapo kwa sasa ni mwezi wa 7 hali ya hewa ya Arusha ni nyuzi joto 21 na kwa dodoma ni nyuzi joto 25 tofauti ni kubwa mno ambamo ni nyuzi joto 4 hapo huo usawa wa hali ya ubaridi uko wapi?
Toa upumbavu yaani ubaridi nayo ni sifa, watu wanatumia gharama kupambana na baridi lakini wajinga kama nyie kutwa nzima kusifia jiji la arusha mkiulizwa lina sifa gani eti kuna hali ya hewa nzuri hali ya hewa nzuri ipi eti kuna baridi, kwahiyo baridi ndio hali nzuri ya hewa? Sehemu nzuri ni zenye hali ya hewa kuanzia nyuzi 25-28 na kukiwa na humidity ya kutosha, hiyo Arusha haiwezi kuizidi Dodoma kwa chochota labda kwa idadi ya matejaa, na vijana wa ovyo.
 
Hujui nguvu ya serikali kijana ni bora ukaushe

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Hawa vijana wanaongozwa na mihemko na mahaba tu, serikali ina nguvu sana kwenye ukuaji wa miji hasa sisi tunaotegemea central govt, ingekuwa kuna serikali ya majimbo hapo sawa.
Iyo dodoma itabinua miji mingi sana...hakuna mtu anataka kuishi mahali hakuna huduma za kijamii dunia ya leo...wanawekewa kila kitu hapo Sasa nani hataki raha..

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Blah blah blah
 
Dodoma kuna joto....na Dar Es Salaam nao wasemaje😀😀😀.Hali ya hewa ya Dodoma ni moderate sio joto wala sio baridi ila kwenye miezi ya kiangazi kuanzia Mei hadi Oktoba baridi ni kali sana kama Arusha
Dar inaingiaje kwenye mjadala?

Ni Dodoma Vs Arusha

Hakuna Dar hapo

Usipaniki sana,Dodoma ni useless tu,usikasirike ndio kwenu huna haja ya kulia lia...Home ni home...Kua proud na kwenu regardless!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…