jitumtumba
Senior Member
- Jul 1, 2023
- 123
- 144
huko kweli wanalima na mpango kabambe wa dodoma unaonesha kuwa Yale n maoneo ya kilimo mjiniYes apo nilikua namjibu jamaa aliyesema Dodoma ni ukame na jangwani kwamba hakuna kilimo wala uzalishaji wa mazao yoyote ikiwemo mahindi[emoji38][emoji38][emoji38].Lakini pia kumbuka mazao kwamfano Zabibu yanazalishwa kwa wingi ndani ya eneo la Jiji.Maeneo kama Bihawana,Hombolo,Mpunguzi,Zuzu kwa Pinda,Makutupora n.k
hapana mkuu sio sifaKuwa baridi ndio sifa za hali ya hewa nzuri?
Watu wa arusha kutwa nzima ni kusifu hali ya hewa ya baridi tu, tukisema tofauti ya baridi kuna nini hamna jibu, jiji la dodoma kwa sasa linakuja kasi na tayari takwimu zilishatoka ni jiji la tatu kwa ukubwa ukitoa Dar na Mwanza, watu wa arusha wamebakiza kufuga meno ya dhahabu pamoja na mateja.hapana mkuu sio sifa
hahah alafu Arusha Wana stendi zao fulani sjawah kuzielwa na masoko piaa hayko vzuriii mkuu kwenye maghorofa labdaWatu wa arusha kutwa nzima ni kusifu hali ya hewa ya baridi tu, tukisema tofauti ya baridi kuna nini hamna jibu, jiji la dodoma kwa sasa linakuja kasi na tayari takwimu zilishatoka ni jiji la tatu kwa ukubwa ukitoa Dar na Mwanza, watu wa arusha wamebakiza kufuga meno ya dhahabu pamoja na mateja.
Hamna jiji hapo ni janja janja ya wala mirungi kulikuza likijiji lao.hahah alafu Arusha Wana stendi zao fulani sjawah kuzielwa na masoko piaa hayko vzuriii mkuu kwenye maghorofa labda
tusubiri waje mkuu battle liendelee hahahaHamna jiji hapo ni janja janja ya wala mirungi kulikuza likijiji lao.
Sasa unadhani hali ya hewa ni nin kam sio ubaridi acha wivu[emoji23][emoji23][emoji23]Watu wa arusha kutwa nzima ni kusifu hali ya hewa ya baridi tu, tukisema tofauti ya baridi kuna nini hamna jibu, jiji la dodoma kwa sasa linakuja kasi na tayari takwimu zilishatoka ni jiji la tatu kwa ukubwa ukitoa Dar na Mwanza, watu wa arusha wamebakiza kufuga meno ya dhahabu pamoja na mateja.
Kama hali ya hewa ni ubaridi hakuna sehemu sehemu yenye hali ya hewa nzuri kama njombe huko kitulo na makete hata jua kuliona ni anasa, lkn punguzeni kuvuta cannabisSasa unadhani hali ya hewa ni nin kam sio ubaridi acha wivu[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kuketa maneno kutoka kwa matejoo, kwani mimi nashindwa kuandika mazuri kuhusu dodom na nikaleta humu, Dodoma ilishawanyea toka mwaka juzi, size yenu ni sumbawanga na mbeya city.
Ukienda Arusha na kurudi Dom hutakomaza fuvu hivyo Mkuu.Current weather condition Dom mjini ....angalia apo ni 19C alafu eti unasema hiyo ni hali ya hewa ya joto[emoji38][emoji38][emoji38].Kawaulize wauza makoti na majaketi msimu wa kuanzia Mei hadi Oktoba wanavyouza kwa kiwango cha juu
fact kwa fact .....angalia current weather ya Dodoma sasahivi ni 14 C alafu jitu linakwambia hyo ni joto😀😀😀Ukienda Arusha na kurudi Dom hutakomaza fuvu hivyo Mkuu.
Hatuwezi poteza muda kuargue na wewe kwa vitu vilivyo wazi namna hii
Kitu pekee Arusha inachozidi Dom ni uwekezaji kwenye sekta ya utalii basi(hilo halina ubishi).Ni kweli Arusha kuna hotels,restaurants,tourism centers,conference centers nyingi kuliko Dom.
Kwa sababu umeamua kujizima data ngoja tukuache Mkuu.fact kwa fact .....angalia current weather ya Dodoma sasahivi ni 14 C alafu jitu linakwambia hyo ni joto[emoji3][emoji3][emoji3]
MkuuNimeshakwambia huwa najibu hoja kwa hoja ...facts kwa facts hizo ngonjera na michambo peleka Facebook kachambane na akina Juma Lokole.
Maswali yangu unakwepa unabadili badili topics
1.Swali la kwanza kama Dodoma kuna ukame na jangwani kama unavyosema inakuaje tena Soko la kimataifa la mahindi lipo Kibaigwa-Kongwa.
2.Swali la pili kama Dodoma ni ukame na jangwa kama unavyotuaminisha inakuaje tena Dodoma iwe ya pili baada ya Songea kwa kuwa na vihenge/maghala makubwa na ya kisasa ya kuhifadhia nafaka refer maghala ya NFRA na yale ya WFP pamoja na FAO
Ukiweza kujibu haya maswali mawili tu nitag plz
Bunge na mahakama vinajenga uzalishaji wa uchumi?Kitu pekee Arusha inachozidi Dom ni uwekezaji kwenye sekta ya utalii basi(hilo halina ubishi).Ni kweli Arusha kuna hotels,restaurants,tourism centers,conference centers nyingi kuliko Dom.
Jiji la Dodoma ni makao makuu ya Serikali,makao makuu ya chama(maamuzi yote makubwa ya kisiasa nchi hii yanafanyika Dom utake usitake😀),Dom ni makao makuu ya mihimili mingine ya serikali yaani Bunge na Mahakama.
huwa najibu facts kwa facts ,hoja kwa hoja.Hiyo michambo na taarabu plus kubadili badili topics nenda kachambane Facebook ndio level zako.Unaulizwa maswali unaruka ruka tu hujajibu hata moja yaani unajitekenya na kucheka mwenyewe.Bunge na mahakama vinajenga uzalishaji wa uchumi?
Yaani vinajenga GDP?
Nothing
Na sema ni bunge tu..mahakama zote zipo DSM!
Stop this madness!
Kesi serious zina affect uchumi zinafanyikaga kwenye courts za Dom au DSM?
Useless place!
Unachekesha eti case closed 😆😆😆.Ulinganisho ni hali ya hewa ya Arusha Jiji na Dodoma Jiji sio hali ya hewa ya Arusha mkoa na Dodoma mkoa. Rudi shule ujue kwamba Dodoma kuna halmashauri nane na kila eneo linatofautiana hali ya hewa na jingine.Mkuu
Naona umepaniki..na sina muda wa kudeal na watu emotional,maana watu emotional rationality ni msamiati kwao
Maghala ndio hali ya hewa?
Yote ni blah blah tu....
Ni kichaa na unafiki wa hali ya juu kusema Dodoma na Arusha ni mikoa yenye heli ya hewa sawa
Case closed.
Haya Jichatishe!
Nimeshakwambia huwa najibu hoja kwa hoja ...facts kwa facts hizo ngonjera na michambo peleka Facebook kachambane na akina Juma Lokole.
Maswali yangu unakwepa unabadili badili topics
1.Swali la kwanza kama Dodoma kuna ukame na jangwani kama unavyosema inakuaje tena Soko la kimataifa la mahindi lipo Kibaigwa-Kongwa.
2.Swali la pili kama Dodoma ni ukame na jangwa kama unavyotuaminisha inakuaje tena Dodoma iwe ya pili baada ya Songea kwa kuwa na vihenge/maghala makubwa na ya kisasa ya kuhifadhia nafaka refer maghala ya NFRA na yale ya WFP pamoja na FAO
Ukiweza kujibu haya maswali mawili tu nitag plz
Nan kasema jangwa halisupport kilimo?Yaani ujue kuna watu unabishana nao ukute hawajawahi hata kuishi Dom mjini ila walikatisha njia tu wakati wanaenda mikoani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].
Mtu anakwambia Dodoma ni jangwa sasa unamuuliza huko Jangwani inakuaje tena wanazalisha kwa wingi Zabibu,Mahindi,Nafaka,Mtama n.k analeta stori za vijiweni[emoji3][emoji3][emoji3]