jitumtumba
Senior Member
- Jul 1, 2023
- 123
- 144
huko kweli wanalima na mpango kabambe wa dodoma unaonesha kuwa Yale n maoneo ya kilimo mjiniYes apo nilikua namjibu jamaa aliyesema Dodoma ni ukame na jangwani kwamba hakuna kilimo wala uzalishaji wa mazao yoyote ikiwemo mahindi[emoji38][emoji38][emoji38].Lakini pia kumbuka mazao kwamfano Zabibu yanazalishwa kwa wingi ndani ya eneo la Jiji.Maeneo kama Bihawana,Hombolo,Mpunguzi,Zuzu kwa Pinda,Makutupora n.k