Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Mkuu acha bangi basi

Arusha jiji ni even more cold than rural areas such as Ngorongoro,Longido and so on

Yaani unayumba yumba sana..unabadili goal post unavyotaka lakini bado unafeli!

Endeleza blah blah utakavyo
 
GDP ya Dodoma ni ngapi?

Unajua maana ya kukusanya mapato?

Mapato rasmi ni ya kodi na sio huu ujinga!

Halafu hapo ni comparison na Mbeya,another mfu!

You cant touch Arusha you kindergarten kids!

Keep playing!
 
GDP ya Dodoma ni ngapi?

Unajua maana ya kukusanya mapato?

Mapato rasmi ni ya kodi na sio huu ujinga!

Halafu hapo ni comparison na Mbeya,another mfu!

You cant touch Arusha you kindergarten kids!

Keep playing!
Kwa hyo mapato ya TRA ndio uchumi???
 
Kwa hyo mapato ya TRA ndio uchumi???
Hayo ndio uchumi wa kweli maana yanatokana na kazi za mikono za uzalishaji za wananchi

Ulikua hujui hilo?

Au mapato unadhani ni huo ushuru unaotoka na uonevu wa kukuta kagari kamtu kamepaki wanakashika ndio mapato?Huo ni wizi na sio indication ya uzalishaji wa mwananchi mmoja mmoja!
 
Nan kasema jangwa halisupport kilimo?
[emoji3]
Israel na Misri ni Jangwa na wanatumia Irrigation Farming .Misri kwamfano wanategemea maji ya mto Nile. Sasa imagine Ardhi ya Dodoma hawatumii Irrigation System,wala hawatumii Mbolea za kisasa,wala hawatumii madawa ya Kilimo lakini wanaongoza kwa uzalishaji wa Zabibu,Mtama,Tende,Uwele,Alizeti,Rosella Tanzania nzimaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†hawa watu ardhi yao itakua imebarikiwa sana aisee
 
Mama ntilie,,,,muuza matunda , machinga, biashara ndogo zinalipa TRA ?? .kama hazilipi mapato Yao yanapimwa wapi?
 
Takwimu ziko wapi[emoji116]
 
Kuwepo kwa soko na maghala sio kipimo cha hali ya kilimo hapo. Mbona dhahabu zipo geita HQ zipo dar.

Ilikuaje Tanzanite ichimbwe Tanzania ila soko liwe S.A na Ke?
Umewahi kujiuliza kwanini soko la kimataifa la mahindi na nafaka Afrika Mashariki yote lipo kijijini Kibaigwa...kama soko plus maghala sio kipimo cha hali ya kilimo kwanini yawe apo tu na sio kwingine πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
GDP ya Dodoma ni ngapi?

Unajua maana ya kukusanya mapato?

Mapato rasmi ni ya kodi na sio huu ujinga!

Halafu hapo ni comparison na Mbeya,another mfu!

You cant touch Arusha you kindergarten kids!

Keep playing!
Jitahidi kusoma vizuri wewe huku sio hoja za Facebook yaani unaambiwa kabisa Dodoma tops up majiji yote kwa kukusanya mapato wewe unasema eti ni comparison na MbeyaπŸ˜†πŸ˜†

Wewe kweli ni MEMKWA πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Takwimu ziko wapi[emoji116]View attachment 2689289
Wewe jamaa unanichekeshaga sana yaani unataka Takwimu za kuonesha Dodoma inaongoza kwa uzalishaji wa hayo mazao wakati mazao mengine kwamfano Zabibu,Tende,Rosella yanazalishwa Dodoma pekeeπŸ˜†πŸ˜†.

Takwimu bila mshindani πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20230715-213723.png
    25.7 KB · Views: 8
Leta takwimu tuone hizo ngonjera hatutaki!!
 
Umewahi kujiuliza kwanini soko la kimataifa la mahindi na nafaka Afrika Mashariki yote lipo kijijini Kibaigwa...kama soko plus maghala sio kipimo cha hali ya kilimo kwanini yawe apo tu na sio kwingine [emoji38][emoji38][emoji38]
Yapo hapo kwa ujinga wa baadhi ya viongozi kama ambayo waliamua almasi ichimbwe shinyanga kodi ilipwe dar.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nenda kule maeneo ya unga limited alafu utapata jibu
Dodoma maji ni shida ..na Maji unayopata yamejaa chumvi ..maji ya dodoma hayafai kufulia nguo Wala kunywa ..labda kumwagilia mchicha ....hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…