Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Unachekesha eti case closed 😆😆😆.Ulinganisho ni hali ya hewa ya Arusha Jiji na Dodoma Jiji sio hali ya hewa ya Arusha mkoa na Dodoma mkoa. Rudi shule ujue kwamba Dodoma kuna halmashauri nane na kila eneo linatofautiana hali ya hewa na jingine.
Ni sawa na Mkoa wa Arusha wilaya ya Monduli kuna ukame lakini huwezi kugeneralize kwamba mkoa wote wa Arusha hali ya hewa inafanana
Mkuu acha bangi basi

Arusha jiji ni even more cold than rural areas such as Ngorongoro,Longido and so on

Yaani unayumba yumba sana..unabadili goal post unavyotaka lakini bado unafeli!

Endeleza blah blah utakavyo
 
huwa najibu facts kwa facts ,hoja kwa hoja.Hiyo michambo na taarabu plus kubadili badili topics nenda kachambane Facebook ndio level zako.Unaulizwa maswali unaruka ruka tu hujajibu hata moja yaani unajitekenya na kucheka mwenyewe.

Angalia facts apa👇👇


GDP ya Dodoma ni ngapi?

Unajua maana ya kukusanya mapato?

Mapato rasmi ni ya kodi na sio huu ujinga!

Halafu hapo ni comparison na Mbeya,another mfu!

You cant touch Arusha you kindergarten kids!

Keep playing!
 
GDP ya Dodoma ni ngapi?

Unajua maana ya kukusanya mapato?

Mapato rasmi ni ya kodi na sio huu ujinga!

Halafu hapo ni comparison na Mbeya,another mfu!

You cant touch Arusha you kindergarten kids!

Keep playing!
Kwa hyo mapato ya TRA ndio uchumi???
 
Kwa hyo mapato ya TRA ndio uchumi???
Hayo ndio uchumi wa kweli maana yanatokana na kazi za mikono za uzalishaji za wananchi

Ulikua hujui hilo?

Au mapato unadhani ni huo ushuru unaotoka na uonevu wa kukuta kagari kamtu kamepaki wanakashika ndio mapato?Huo ni wizi na sio indication ya uzalishaji wa mwananchi mmoja mmoja!
 
Nan kasema jangwa halisupport kilimo?
[emoji3]
Israel na Misri ni Jangwa na wanatumia Irrigation Farming .Misri kwamfano wanategemea maji ya mto Nile. Sasa imagine Ardhi ya Dodoma hawatumii Irrigation System,wala hawatumii Mbolea za kisasa,wala hawatumii madawa ya Kilimo lakini wanaongoza kwa uzalishaji wa Zabibu,Mtama,Tende,Uwele,Alizeti,Rosella Tanzania nzima😆😆😆hawa watu ardhi yao itakua imebarikiwa sana aisee
 
Hayo ndio uchumi wa kweli maana yanatokana na kazi za mikono za uzalishaji za wananchi

Ulikua hujui hilo?

Au mapato unadhani ni huo ushuru unaotoka na uonevu wa kukuta kagari kamtu kamepaki wanakashika ndio mapato?Huo ni wizi na sio indication ya uzalishaji wa mwananchi mmoja mmoja!
Mama ntilie,,,,muuza matunda , machinga, biashara ndogo zinalipa TRA ?? .kama hazilipi mapato Yao yanapimwa wapi?
 
Israel na Misri ni Jangwa na wanatumia Irrigation Farming .Misri kwamfano wanategemea maji ya mto Nile. Sasa imagine Ardhi ya Dodoma hawatumii Irrigation System,wala hawatumii Mbolea za kisasa,wala hawatumii madawa ya Kilimo lakini wanaongoza kwa uzalishaji wa Zabibu,Mtama,Tende,Uwele,Alizeti,Rosella Tanzania nzima[emoji38][emoji38][emoji38]hawa watu ardhi yao itakua imebarikiwa sana aisee
Takwimu ziko wapi[emoji116]
20230715_210604.jpg
 
Kuwepo kwa soko na maghala sio kipimo cha hali ya kilimo hapo. Mbona dhahabu zipo geita HQ zipo dar.

Ilikuaje Tanzanite ichimbwe Tanzania ila soko liwe S.A na Ke?
Umewahi kujiuliza kwanini soko la kimataifa la mahindi na nafaka Afrika Mashariki yote lipo kijijini Kibaigwa...kama soko plus maghala sio kipimo cha hali ya kilimo kwanini yawe apo tu na sio kwingine 😆😆😆
 
GDP ya Dodoma ni ngapi?

Unajua maana ya kukusanya mapato?

Mapato rasmi ni ya kodi na sio huu ujinga!

Halafu hapo ni comparison na Mbeya,another mfu!

You cant touch Arusha you kindergarten kids!

Keep playing!
Jitahidi kusoma vizuri wewe huku sio hoja za Facebook yaani unaambiwa kabisa Dodoma tops up majiji yote kwa kukusanya mapato wewe unasema eti ni comparison na Mbeya😆😆

Wewe kweli ni MEMKWA 👇👇

 
Takwimu ziko wapi[emoji116]View attachment 2689289
Wewe jamaa unanichekeshaga sana yaani unataka Takwimu za kuonesha Dodoma inaongoza kwa uzalishaji wa hayo mazao wakati mazao mengine kwamfano Zabibu,Tende,Rosella yanazalishwa Dodoma pekee😆😆.

Takwimu bila mshindani 👇👇
 

Attachments

  • Screenshot_20230715-213723.png
    Screenshot_20230715-213723.png
    25.7 KB · Views: 8
Wewe jamaa unanichekeshaga sana yaani unataka Takwimu za kuonesha Dodoma inaongoza kwa uzalishaji wa hayo mazao wakati mazao mengine kwamfano Zabibu,Tende,Rosella yanazalishwa Dodoma pekee[emoji38][emoji38].

Takwimu bila mshindani [emoji116][emoji116]
Leta takwimu tuone hizo ngonjera hatutaki!!
 
Umewahi kujiuliza kwanini soko la kimataifa la mahindi na nafaka Afrika Mashariki yote lipo kijijini Kibaigwa...kama soko plus maghala sio kipimo cha hali ya kilimo kwanini yawe apo tu na sio kwingine [emoji38][emoji38][emoji38]
Yapo hapo kwa ujinga wa baadhi ya viongozi kama ambayo waliamua almasi ichimbwe shinyanga kodi ilipwe dar.
 
Mkuu

Naona umepaniki..na sina muda wa kudeal na watu emotional,maana watu emotional rationality ni msamiati kwao

Maghala ndio hali ya hewa?

Yote ni blah blah tu....

Ni kichaa na unafiki wa hali ya juu kusema Dodoma na Arusha ni mikoa yenye heli ya hewa sawa

Case closed.

Haya Jichatishe!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nenda kule maeneo ya unga limited alafu utapata jibu
Dodoma maji ni shida ..na Maji unayopata yamejaa chumvi ..maji ya dodoma hayafai kufulia nguo Wala kunywa ..labda kumwagilia mchicha ....hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom