Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Mkuu acha bangi basiUnachekesha eti case closed 😆😆😆.Ulinganisho ni hali ya hewa ya Arusha Jiji na Dodoma Jiji sio hali ya hewa ya Arusha mkoa na Dodoma mkoa. Rudi shule ujue kwamba Dodoma kuna halmashauri nane na kila eneo linatofautiana hali ya hewa na jingine.
Ni sawa na Mkoa wa Arusha wilaya ya Monduli kuna ukame lakini huwezi kugeneralize kwamba mkoa wote wa Arusha hali ya hewa inafanana
Arusha jiji ni even more cold than rural areas such as Ngorongoro,Longido and so on
Yaani unayumba yumba sana..unabadili goal post unavyotaka lakini bado unafeli!
Endeleza blah blah utakavyo