ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Nilishakwambia Toka Mwanzo kwamba akili huna,TIC haisajili miradi ya Sekta ya Umma kama InvestmentHizi project unazionesha au miradi nioneshe ambayo niya private sector,kwa kifupi Dodoma na Dar project nyingi niza serikali hakuna ya private sector
NakuongezeaHivi Shoppers nayo ni mall au kasupermarket?! Yaaani kumbe Dom Bado hamna exposure kutofautisha kati ya mall na supermarket?! Sasa Shoppers mbona hata Arusha ipo na ni kanachukuliwa kama ka supermarket
Acha uongo we bibi kidude .... dodoma haina mall ya maana hata Moja ...ila mkusanyiko wa maduka unaojiita mall...Nakuongezea
Capital City Mall
Kuna nyingine Iko pale jirani na Morena pembeni mwa Barabara Kuu
-Hizo Supermarkets na Shopping Centre zimejaa everywhere
Dom inakimbiza Hadi sio vizuri [emoji91][emoji91]
Toa uongo..we kilembwekeze ..Nilishakwambia Toka Mwanzo kwamba akili huna,TIC haisajili miradi ya Sekta ya Umma kama Investment
Hayo ni maumivu na wivu ndio vinakusumbua [emoji1787][emoji1787]
Unachekesha sana hivi unaelewa maana ya neno PLAZA au unakurupuka tuπ€£π€£π€£.Tafsiri ya neno PLAZA-a large and modern shopping center .Ndiomana pale panaitwa shoppers Plaza yaani ni mkusanyiko wa maduka mengi ya kampuni tofauti tofauti ikiwemo Shoppers SupermarketAcha uongo we bibi kidude .... dodoma haina mall ya maana hata Moja ...ila mkusanyiko wa maduka unaojiita mall...
Ina plaza Moja -shoppers plaza
Shopping center Moja -capital city mall
...hizi zingine ni kujifariji tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Hujui kitu mbuzi wewe,TIC inasajili miradi ya Private sector au ya Ubia Kati ya sekta ya Umma na binafsi.Toa uongo..we kilembwekeze ..
TIC inasajili miradi yote private na public investment.....pia Kuna miradi mingine si lazima isajiliwe na TIC hasa domestic investors... takwimu sahihi za miradi utazipata kwenye BOT annual report..na NBS
Hizo zilizoorodheshwa sio malls ni nini? Nenda kafute hayo maandishi ya Malls uandike unavyotaka wewe ππππAcha uongo we bibi kidude .... dodoma haina mall ya maana hata Moja ...ila mkusanyiko wa maduka unaojiita mall...
Ina plaza Moja -shoppers plaza
Shopping center Moja -capital city mall
...hizi zingine ni kujifariji tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Project mojawapo ya private sector hii ππHizi project unazionesha au miradi nioneshe ambayo niya private sector,kwa kifupi Dodoma na Dar project nyingi niza serikali hakuna ya private sector
Mchanganuo wa miradiHujui kitu mbuzi wewe,TIC inasajili miradi ya Private sector au ya Ubia Kati ya sekta ya Umma na binafsi.
TIC inasajili miradi mikubwa ya kuanzia Shilingi Bilioni 1 za Tanzania na si vinginevyo
Kwa hiyo usijifariji na mabanda ya dream houses yenu,Dom itsendelea kuwanyea Hadi mkubali
Angalican naye ni mtu binafsi?Muonekano wa sasa wa jengo la kitega uchumi Anglican Cathedral
Uwekezaji wa Dodoma ni majengo ya serikali π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺππππ cc QualitycontrolMchanganuo wa miradi
Viwanda
Mwanza 11
Arusha 4
Dodoma 6
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].... dodoma miradi yenu mingi ni kilimo
Nbs [emoji28][emoji28][emoji116]View attachment 2701697
Kwani private entity lazima awe mtu? Ona huyu nyumba keshachanganyikiwa na vidonge huko π€ͺπ€ͺAngalican naye ni mtu binafsi?
Mchanganuo wake huo nimekupa .... mwisho hatuna mwaka unaitwa 2023 ..tuna 2022/2023 ambao umeisha juzi ..na 2023/2024 ilianza mwezi huuUwekezaji wa Dodoma ni majengo ya serikali [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] cc Qualitycontrol
Nawakumbusha tuu tuko 2023,Dom inawanyea huko
π¨π¨π¨Mchanganuo wake huo nimekupa .... mwisho hatuna mwaka unaitwa 2023 ..tuna 2022/2023 ambao umeisha juzi ..na 2023/2024 ilianza mwezi huu
Huo uzalishaji unakuta dhabibu viwanda 5 ,kimoja labd ndo kinahusika na mengine[emoji23]Uwekezaji wa Dodoma ni majengo ya serikali [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] cc Qualitycontrol
Nawakumbusha tuu tuko 2023,Dom inawanyea huko
Toka ulivyojua kupost picha, umeanza kusumbua watuπππJifunzeni ku.post vizuri picha View attachment 2701195View attachment 2701196
Ni viwanda au sio viwanda? ππππHuo uzalishaji unakuta dhabibu viwanda 5 ,kimoja labd ndo kinahusika na mengine[emoji23]
Hivo hata mtu siunaweza tengeneza nyumbn na ukajinadiNi viwanda au sio viwanda? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]