ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Nilishakwambia Toka Mwanzo kwamba akili huna,TIC haisajili miradi ya Sekta ya Umma kama InvestmentHizi project unazionesha au miradi nioneshe ambayo niya private sector,kwa kifupi Dodoma na Dar project nyingi niza serikali hakuna ya private sector
Hayo ni maumivu na wivu ndio vinakusumbua 🤣🤣