Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Hizi project unazionesha au miradi nioneshe ambayo niya private sector,kwa kifupi Dodoma na Dar project nyingi niza serikali hakuna ya private sector
Nilishakwambia Toka Mwanzo kwamba akili huna,TIC haisajili miradi ya Sekta ya Umma kama Investment

Hayo ni maumivu na wivu ndio vinakusumbua 🤣🤣
 
Hivi Shoppers nayo ni mall au kasupermarket?! Yaaani kumbe Dom Bado hamna exposure kutofautisha kati ya mall na supermarket?! Sasa Shoppers mbona hata Arusha ipo na ni kanachukuliwa kama ka supermarket
Nakuongezea
Capital City Mall
Kuna nyingine Iko pale jirani na Morena pembeni mwa Barabara Kuu
-Hizo Supermarkets na Shopping Centre zimejaa everywhere

Dom inakimbiza Hadi sio vizuri 🔥🔥
 
Nakuongezea
Capital City Mall
Kuna nyingine Iko pale jirani na Morena pembeni mwa Barabara Kuu
-Hizo Supermarkets na Shopping Centre zimejaa everywhere

Dom inakimbiza Hadi sio vizuri [emoji91][emoji91]
Acha uongo we bibi kidude .... dodoma haina mall ya maana hata Moja ...ila mkusanyiko wa maduka unaojiita mall...
Ina plaza Moja -shoppers plaza
Shopping center Moja -capital city mall
...hizi zingine ni kujifariji tu [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nilishakwambia Toka Mwanzo kwamba akili huna,TIC haisajili miradi ya Sekta ya Umma kama Investment

Hayo ni maumivu na wivu ndio vinakusumbua [emoji1787][emoji1787]
Toa uongo..we kilembwekeze ..
TIC inasajili miradi yote private na public investment.....pia Kuna miradi mingine si lazima isajiliwe na TIC hasa domestic investors... takwimu sahihi za miradi utazipata kwenye BOT annual report..na NBS
 
Acha uongo we bibi kidude .... dodoma haina mall ya maana hata Moja ...ila mkusanyiko wa maduka unaojiita mall...
Ina plaza Moja -shoppers plaza
Shopping center Moja -capital city mall
...hizi zingine ni kujifariji tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Unachekesha sana hivi unaelewa maana ya neno PLAZA au unakurupuka tu🤣🤣🤣.Tafsiri ya neno PLAZA-a large and modern shopping center .Ndiomana pale panaitwa shoppers Plaza yaani ni mkusanyiko wa maduka mengi ya kampuni tofauti tofauti ikiwemo Shoppers Supermarket
 
Toa uongo..we kilembwekeze ..
TIC inasajili miradi yote private na public investment.....pia Kuna miradi mingine si lazima isajiliwe na TIC hasa domestic investors... takwimu sahihi za miradi utazipata kwenye BOT annual report..na NBS
Hujui kitu mbuzi wewe,TIC inasajili miradi ya Private sector au ya Ubia Kati ya sekta ya Umma na binafsi.

TIC inasajili miradi mikubwa ya kuanzia Shilingi Bilioni 1 za Tanzania na si vinginevyo

Kwa hiyo usijifariji na mabanda ya dream houses yenu,Dom itsendelea kuwanyea Hadi mkubali
 
Acha uongo we bibi kidude .... dodoma haina mall ya maana hata Moja ...ila mkusanyiko wa maduka unaojiita mall...
Ina plaza Moja -shoppers plaza
Shopping center Moja -capital city mall
...hizi zingine ni kujifariji tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Hizo zilizoorodheshwa sio malls ni nini? Nenda kafute hayo maandishi ya Malls uandike unavyotaka wewe 😁😁😁😁

Dodoma itsendelea kuwanyea Hadi akili ziwakae sawa.

Chukua mapato ya Vijiji vyenu uchwara jumlisheni Bado hamfiki Jiji la Dom.
 
Hizi project unazionesha au miradi nioneshe ambayo niya private sector,kwa kifupi Dodoma na Dar project nyingi niza serikali hakuna ya private sector
Project mojawapo ya private sector hii 👇👇
Jengo la kitega uchumi Anglican Cathedral
 
Attachments

  • 20230702_112404.jpg
    20230702_112404.jpg
    603 KB · Views: 8
Hujui kitu mbuzi wewe,TIC inasajili miradi ya Private sector au ya Ubia Kati ya sekta ya Umma na binafsi.

TIC inasajili miradi mikubwa ya kuanzia Shilingi Bilioni 1 za Tanzania na si vinginevyo

Kwa hiyo usijifariji na mabanda ya dream houses yenu,Dom itsendelea kuwanyea Hadi mkubali
Mchanganuo wa miradi
Viwanda
Mwanza 11
Arusha 4
Dodoma 6
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].... dodoma miradi yenu mingi ni kilimo
Nbs [emoji28][emoji28][emoji116]
Screenshot_20230728-212822~2.jpg
 
Uwekezaji wa Dodoma ni majengo ya serikali [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] cc Qualitycontrol

Nawakumbusha tuu tuko 2023,Dom inawanyea huko
Mchanganuo wake huo nimekupa .... mwisho hatuna mwaka unaitwa 2023 ..tuna 2022/2023 ambao umeisha juzi ..na 2023/2024 ilianza mwezi huu
 
Back
Top Bottom