Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Jikite kwenye hoja na facts...[emoji3][emoji3]
We ni chizi ..watu 750k kwenye eneo la ukubwa kilomita za mraba 2600 .sawa na Mara mbili ya mkoa wa dar es salaam.... dodoma Ina population density ndogo kuliko majiji yote ,,,,,,,kwangu Mimi nitapanga miji Kwa namna hii
Dar
Mwanza
Arusha
Mbeya
Dodoma
Population density ndio inaamua wapi Kuna msongamano mkubwa wa watu
 
Arusha em pumzkeni Kila siku mashindano ipo siku tutakutq nyuz humu Arusha vs mbinguni
 
Unajitahidi kuhamisha hamisha magoli.Hizo facts ni kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 ...hiyo sensa ya population density ilifanyika lini๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.

1.Dar over 5 M
2.Mwanza 1.2 M
3. Dom 8 k

Sensa ijayo nina uhakika Dom City itakua inakaribiana sana na Mwanza kwa population.
 
Arusha em pumzkeni Kila siku mashindano ipo siku tutakutq nyuz humu Arusha vs mbinguni
Arusha wanachozidi Dom ni kwenye sekta ya utalii tu ....mengine yote ni porojo.Zamani walikua wanajidai kuwa na ofisi za UN na makao makuu ya EAC ila kwa sasa baada ya serikali kuhamia rasmi Dodoma wameshakalishwa zamani sana๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Arusha wanachozidi Dom ni kwenye sekta ya utalii tu ....mengine yote ni porojo.Zamani walikua wanajidai kuwa na ofisi za UN na makao makuu ya EAC ila kwa sasa baada ya serikali kuhamia rasmi Dodoma wameshakalishwa zamani sana๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Soma vzur nlichokiandika ujue nn namaanisha
Mm sipo kwenye hizo mashindano yenu
 
Arusha wanachozidi Dom ni kwenye sekta ya utalii tu ....mengine yote ni porojo.Zamani walikua wanajidai kuwa na ofisi za UN na makao makuu ya EAC ila kwa sasa baada ya serikali kuhamia rasmi Dodoma wameshakalishwa zamani sana[emoji3][emoji3]
Sasa kwani Hujui kuwa Ofisi za UN zipo Arusha!? Na sio UN tu karibia tasisi za kimataifa zipo huku
 
Naongelea bustani za wastani za kupumzika siongelei park, kama park Arusha zipo nying bro
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Umeangalia hiyo video kweli mpaka mwisho au neno park limekuchang'anya.Hiyo ni recreational park na bustani kubwa.
Ukizungumzia bustani Dodoma zipo nyingi sana .CDA walifanya kazi iliyotukuka .Ukifika Dom City muulize hata mtoto mdogo akuoneshe bustani za CDA. Au unaweza kupitia njia ile ya Udom pembezoni mwa Jakaya Kikwete International Convention Centre kuna bustani ya miti nyingine kubwa na ya kisasa
 
Sasa kwani Hujui kuwa Ofisi za UN zipo Arusha!? Na sio UN tu karibia tasisi za kimataifa zipo huku
Mahakama ya kimataifa ya mauaji ya kimbari Rwanda (ICTR) iliyokua chini ya UN ilishafungwa Arusha tangu enzi za Kikwete๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Kwamba wasukuma tutakuwa tumefutika Mwanza?????
 
Sasa izo za miti nazo bustani bro izo Arusha zipo nyingi mno Yani dodoma kwakifupi ni mji usio na mvuto
 
Kwamba wasukuma tutakuwa tumefutika Mwanza?????
population growth inasababishwa na vitu vingi mojawapo ni wahamiaji wageni kutoka sehemu mbalimbali ndiomana sensa ya mwaka 2012 kuna mikoa imepitwa na mingine baada ya sensa ya 2022 .
Yote kwa yote population sio kigezo cha kupima ubora wa mji .Unaweza kuwa na mji una population kubwa lakini mipango miji,miundombinu na huduma za kijamii mbovu na vilevile unaweza kuwa na mji una population ndogo na bado ukawa vizuri angalia mfano majiji ya Vatican City,Monaco City, Luxembourg
 
Mahakama ya kimataifa ya mauaji ya kimbari Rwanda (ICTR) iliyokua chini ya UN ilishafungwa Arusha tangu enzi za Kikwete[emoji3][emoji3]
Kuna mahakama ya africa,makao makuu ya posta africa,ofisi kuu za jumuiya ya madola,makao makuu ya EAC,mahakama ya ICTR,tume ya atomic,vyuo vya kimataifa...shule la kimataifa 3,dodoma bado sana yani sana
 
Kuna mahakama ya africa,makao makuu ya posta africa,ofisi kuu za jumuiya ya madola,makao makuu ya EAC,mahakama ya ICTR,tume ya atomic,vyuo vya kimataifa...shule la kimataifa 3,dodoma bado sana yani sana
Mkuu kiswahili huelewi au hujasoma apo juu.Jitahidi uwe unajibu hoja kwa facts sio ushabiki,chuki na wivu๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
-Mahakama ya UN-ICTR ilishafungwa tangu mwaka 2015
-Headquarters ya Tume ya Atomiki ilishahamishwa zamani ipo Kikombo, Dodoma.
-Ofisi za mashirika ya kimataifa Dom zimejaa hazina idadi (hadi BALOZI zishafunguliwa mfano Ubalozi mdogo wa Ujerumani)
-Vyuo Vikuu Dom apo ndio usiseme (Udom pekee kina uwezo wa kuchukua kwa pamoja wanavyuo wote wa Arusha hadi vyuo vya kati na bado nafasi ikabaki๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†)
-Unazungumzia Arusha kuwa Makao makuu ya EAC huku unasahau kuwa Dom City sio tu Makao makuu ya Serikali(Executive) bali pia ni makao makuu ya chama,makao makuu ya Bunge na Makao makuu ya Judiciary .

Nasisitiza tena Arusha mnachowazidi Dom ni uwekezaji kwenye sekta ya utalii basi lakini vigezo vingine vya kupima ubora wa Jiji washawakalisha tayari๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†.Ukibisha uje na facts kama hizo apo juu sio porojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ