Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,130
- 6,097
Of course tunaishi hapaJikite kwenye hoja na facts...😀😀
1. Dar es salaam
2. Mwanza
3. Dodoma
4. Arusha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Of course tunaishi hapaJikite kwenye hoja na facts...😀😀
We ni chizi ..watu 750k kwenye eneo la ukubwa kilomita za mraba 2600 .sawa na Mara mbili ya mkoa wa dar es salaam.... dodoma Ina population density ndogo kuliko majiji yote ,,,,,,,kwangu Mimi nitapanga miji Kwa namna hiiJikite kwenye hoja na facts...[emoji3][emoji3]
Arusha em pumzkeni Kila siku mashindano ipo siku tutakutq nyuz humu Arusha vs mbinguniHizo hotel ulizotaja ni nyota tano...?! kama ni bora hotel Arusha zipo nyingi...
Hizo kumbi za Mikutano zina lingana na AICC...?!
Apartments na makazi ya Arusha ni bora... upande wa nyumba AICC wanazo nyingi, NHC na wengine kama kule PPF...
Leta chanzo cha taarifa yako ya kwamba, Dodoma inaipita Arusha kwa mapato ya TRA... nakuhakikishia hata kwa Kilimanjaro haifiki...
Unajitahidi kuhamisha hamisha magoli.Hizo facts ni kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 ...hiyo sensa ya population density ilifanyika lini😀😀.We ni chizi ..watu 750k kwenye eneo la ukubwa kilomita za mraba 2600 .sawa na Mara mbili ya mkoa wa dar es salaam.... dodoma Ina population density ndogo kuliko majiji yote ,,,,,,,kwangu Mimi nitapanga miji Kwa namna hii
Dar
Mwanza
Arusha
Mbeya
Dodoma
Population density ndio inaamua wapi Kuna msongamano mkubwa wa watu
Arusha wanachozidi Dom ni kwenye sekta ya utalii tu ....mengine yote ni porojo.Zamani walikua wanajidai kuwa na ofisi za UN na makao makuu ya EAC ila kwa sasa baada ya serikali kuhamia rasmi Dodoma wameshakalishwa zamani sana😀😀Arusha em pumzkeni Kila siku mashindano ipo siku tutakutq nyuz humu Arusha vs mbinguni
Soma vzur nlichokiandika ujue nn namaanishaArusha wanachozidi Dom ni kwenye sekta ya utalii tu ....mengine yote ni porojo.Zamani walikua wanajidai kuwa na ofisi za UN na makao makuu ya EAC ila kwa sasa baada ya serikali kuhamia rasmi Dodoma wameshakalishwa zamani sana😀😀
Naongelea bustani za wastani za kupumzika siongelei park, kama park Arusha zipo nying broNajua hujawahi kufika Dom City huwa unasimuliwa tu...[emoji116][emoji116]
Chinangali Park
[emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka mnoArusha em pumzkeni Kila siku mashindano ipo siku tutakutq nyuz humu Arusha vs mbinguni
Sasa kwani Hujui kuwa Ofisi za UN zipo Arusha!? Na sio UN tu karibia tasisi za kimataifa zipo hukuArusha wanachozidi Dom ni kwenye sekta ya utalii tu ....mengine yote ni porojo.Zamani walikua wanajidai kuwa na ofisi za UN na makao makuu ya EAC ila kwa sasa baada ya serikali kuhamia rasmi Dodoma wameshakalishwa zamani sana[emoji3][emoji3]
😀😀Umeangalia hiyo video kweli mpaka mwisho au neno park limekuchang'anya.Hiyo ni recreational park na bustani kubwa.Naongelea bustani za wastani za kupumzika siongelei park, kama park Arusha zipo nying bro
Mahakama ya kimataifa ya mauaji ya kimbari Rwanda (ICTR) iliyokua chini ya UN ilishafungwa Arusha tangu enzi za Kikwete😀😀Sasa kwani Hujui kuwa Ofisi za UN zipo Arusha!? Na sio UN tu karibia tasisi za kimataifa zipo huku
Kwamba wasukuma tutakuwa tumefutika Mwanza?????Unajitahidi kuhamisha hamisha magoli.Hizo facts ni kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 ...hiyo sensa ya population density ilifanyika lini😀😀.
1.Dar over 5 M
2.Mwanza 1.2 M
3. Dom 8 k
Sensa ijayo nina uhakika Dom City itakua inakaribiana sana na Mwanza kwa population.
Sasa izo za miti nazo bustani bro izo Arusha zipo nyingi mno Yani dodoma kwakifupi ni mji usio na mvuto[emoji3][emoji3]Umeangalia hiyo video kweli mpaka mwisho au neno park limekuchang'anya.Hiyo ni recreational park na bustani kubwa.
Ukizungumzia bustani Dodoma zipo nyingi sana .CDA walifanya kazi iliyotukuka .Ukifika Dom City muulize hata mtoto mdogo akuoneshe bustani za CDA. Au unaweza kupitia njia ile ya Udom pembezoni mwa Jakaya Kikwete International Convention Centre kuna bustani ya miti nyingine kubwa na ya kisasa
Kwamba ni icho kimoja tu umekiona hujaona vingineMahakama ya kimataifa ya mauaji ya kimbari Rwanda (ICTR) iliyokua chini ya UN ilishafungwa Arusha tangu enzi za Kikwete[emoji3][emoji3]
😀😀sifayangu kubwa humu huwa napresent facts tupu na hoja tupu with vivid evidence.....wewe endelea na porojo tuKwamba ni icho kimoja tu umekiona hujaona vingine
Kwamba ni icho kimoja tu umekiona hujaona vingine
population growth inasababishwa na vitu vingi mojawapo ni wahamiaji wageni kutoka sehemu mbalimbali ndiomana sensa ya mwaka 2012 kuna mikoa imepitwa na mingine baada ya sensa ya 2022 .Kwamba wasukuma tutakuwa tumefutika Mwanza?????
Hizi zote Makao yake makuu yapo arusha na zote ni taasisi za kimataifa![]()
Mahakama ya mauaji ya kimbari Rwanda yafungwa - BBC News Swahili
Mahakama ya kimataifa iliyoundwa kuchunguza mauaji ya kimbari nchini Rwanda ya mwaka wa 1994 {ICTR} imefunga shughuli zake mjini Arusha Tanzania.www.bbc.com
Kuna mahakama ya africa,makao makuu ya posta africa,ofisi kuu za jumuiya ya madola,makao makuu ya EAC,mahakama ya ICTR,tume ya atomic,vyuo vya kimataifa...shule la kimataifa 3,dodoma bado sana yani sanaMahakama ya kimataifa ya mauaji ya kimbari Rwanda (ICTR) iliyokua chini ya UN ilishafungwa Arusha tangu enzi za Kikwete[emoji3][emoji3]
Mkuu kiswahili huelewi au hujasoma apo juu.Jitahidi uwe unajibu hoja kwa facts sio ushabiki,chuki na wivu👇👇Kuna mahakama ya africa,makao makuu ya posta africa,ofisi kuu za jumuiya ya madola,makao makuu ya EAC,mahakama ya ICTR,tume ya atomic,vyuo vya kimataifa...shule la kimataifa 3,dodoma bado sana yani sana