Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Hahahahaah Bahi nilienda mara ya mwisho 2015 hata majengo ya Halmashauri hayafanyi kazi ni sehem haina hadhi ya kuitwa hata kijiji. Mkuu punguza mzaha nenda arusha kama kuna takataka kama Bahi hata kamji ka mto wa Mbu imeendelea
 
Usifananishe Arusha na mbukwenyi mbukwa Dodoma ni miongoni mwa mikoa makabila yake Wana roho mbaya masnitch
 
Dom inakuja kwa kasi acha kukariri, mimi sio wa dodoma, mimi ni lake zone

Dar
Mwz

Endelea na list
Usidanganyike na ujenzi wa majengo ya serikali hiyo biashara ya msimu yakikamilika ndio biashara imeisha nothing will continue hata mapato dodoma iliongoza kipindi serikali inahamia leo hii haionekani tena kwenye mapato
 
Leta takwimu acha taarabu..wewe kwenda dodoma ndio sisi tubadili mawazo?? Dodoma haishiki hiyo nafasi acha kudanganya watu leta takwimu TRA inasemaje dodoma kama sio 7 au8
 
Leta takwimu acha taarabu..wewe kwenda dodoma ndio sisi tubadili mawazo?? Dodoma haishiki hiyo nafasi acha kudanganya watu leta takwimu TRA inasemaje dodoma kama sio 7 au8
Takwimu za TRA Dom ni ya 5 so mdau yupo sahihi.

Kwa Kasi ya Ukuaji wa Jiji la Dom,Dom itakuwa namba 3 nyumba ya Dar na Arusha.Itazipota Mwanza na Kilimanjaro.

Dom the Capital City πŸ”₯πŸ”₯
 
Watu wa Arusha hawaamini macho yao πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Walikuwa wanadanganywa na vihotel vya wazungu pale ,ngoja waje kuona mji uliokamilika huku.

Arusha ni wanne sasa hapa Tz πŸ˜…πŸ˜…
Wanachoweza kufanya Kwa Sasa hao Machalii wa Arusha ni kujikakamua na kujitutumua tuu πŸ˜‚πŸ˜‚.

Wataongea nini wakati Dodoma ni Third largest city in Tanzania with respect to population size.
Your browser is not able to display this video.

Ila Dom imeleta heshima
 
Usidanganyike na ujenzi wa majengo ya serikali hiyo biashara ya msimu yakikamilika ndio biashara imeisha nothing will continue hata mapato dodoma iliongoza kipindi serikali inahamia leo hii haionekani tena kwenye mapato
Majengo ya Serikali yanalipa Kodi? Kwani pale Dom kinachojengwa ni majengo ya Serikali tuu?

Majengo yote marefu hapo Arusha ni ya nani kama sio Serikali? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Story za kujifariji baada ya kichapo kutoka Kwa Dom πŸ€ͺπŸ€ͺ

View: https://youtu.be/Yln3VNHMAqE?si=7pZgVVbHGlbI_2pL
 
Watu wa Arusha hawaamini macho yao πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Walikuwa wanadanganywa na vihotel vya wazungu pale ,ngoja waje kuona mji uliokamilika huku.

Arusha ni wanne sasa hapa Tz πŸ˜…πŸ˜…
1 Dar
2 Mwz
3 Dom

4 na 5 na 6 watajua nani wamuweke
 
Arusha= Florida
Dodoma =Washington
Dar es salaam= New York
Kama ilivyo mwanamke hawezi kuwa mwanaume hata akiwa na wadhifa gani vivyo hivyo Dom haiwezi kuwa chugga
 
Arusha= Florida
Dodoma =Washington
Dar es salaam= New York
Kama ilivyo mwanamke hawezi kuwa mwanaume hata akiwa na wadhifa gani vivyo hivyo Dom haiwezi kuwa chugga
Mara florida mara sijui tel aviv kwa mayahudi waliolaaniwa, sijui tuwaelewe vipi dah.

1Dar
2Mwz
3Dom

Majiji ma3 yaliobakia chagueni moja list iendee
 
Arusha= Florida
Dodoma =Washington
Dar es salaam= New York
Kama ilivyo mwanamke hawezi kuwa mwanaume hata akiwa na wadhifa gani vivyo hivyo Dom haiwezi kuwa chugga
Kwani Arusha inaweza kuwa Dom? Dom labda iwe inafananishwa na Dar tuu.

Huko tuendako Dom inaenda kuwa Second Largest city,Kumbuka mtumba kule sio Dom City Wala Chamwino.

Ikiundwa tuu Manispaa ya Chamwino tayari Dom inakuwa Second Largest city in Tanzania na population yake inakua Kwa Kasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…