ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Dom is on 🔥🔥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dodoma Iko Ligi yake yenyewe,kujilinganisha na Arusha ni kuwaonea wavuta bangi wanaojiita machalii 👇👇Dodoma hamna kitu kabisa
Au mimi ndo sioni vyenye vibe?
Hahahahaah Bahi nilienda mara ya mwisho 2015 hata majengo ya Halmashauri hayafanyi kazi ni sehem haina hadhi ya kuitwa hata kijiji. Mkuu punguza mzaha nenda arusha kama kuna takataka kama Bahi hata kamji ka mto wa Mbu imeendeleaWewe acha kujifariji.
Chamwino na Bahi Ziko process ya kuwa Manispaa.
Unazoita fursa za kiuchumi sijui ni wapi hazipo.Wewe si unajua kabisa kwamba Uwanja mkubwa zaidi wa Ndege Tzn unajengwa Dom? Unadhani ni pambo Hilo?
Hivi unajua Dodoma ni Mkoa wenye Madini aina nyingi kushinda karibu Mikoa yote at least Kwa Sasa?
Stori za Sgr sijui nini hata Dom zipo.Dom ndio Ina future nzuri kushinda Mwanza.
Usifananishe Arusha na mbukwenyi mbukwa Dodoma ni miongoni mwa mikoa makabila yake Wana roho mbaya masnitchKwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha.
Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa mbali kiasi kwamba machalii wa Chuga hawaelewi wahame au wasalie licha ya Serikali.
Serikali inajaribu kupambana Ili kuhakikisha hadhi ya Arusha kama kitovu Kikuu Cha Utalii haipokwi Kwa kufufua ujenzi wa Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano KICC,jengo la PAP,Makao Makuu ya Mahakama ya Africa ya Haki,Makao Makuu ya EAC na Baraza la michezo.
Hata hivyo Jiji la Didoma limeibuka Kwa Kasi na kuwa Jiji kubwa na la 3 Kwa wingi wa watu baada ya Dar na Mwanza kufuatia Msukumo mkubwa ukiofanywa na Hayati Magufuli Kwa Serikali kuhamia Dodoma na kuwasha mwenge wa ujuaji wa Jiji.
Dodoma Sasa ni kama kiwanda kikubwa ,Kimaoato Dom imeipiku Arusha na Mwanza just to rival Dar.Kwa maoni Yangu Baada ya Dar Jiji la ukweli Kwa Sasa ni Dodoma..
Dodoma City
View attachment 2726195
View attachment 2685450
View attachment 2685401View attachment 2685403
Arusha City
View attachment 2685446
View attachment 2685411View attachment 2685412View attachment 2685683
Usidanganyike na ujenzi wa majengo ya serikali hiyo biashara ya msimu yakikamilika ndio biashara imeisha nothing will continue hata mapato dodoma iliongoza kipindi serikali inahamia leo hii haionekani tena kwenye mapatoDom inakuja kwa kasi acha kukariri, mimi sio wa dodoma, mimi ni lake zone
Dar
Mwz
Endelea na list
Leta takwimu acha taarabu..wewe kwenda dodoma ndio sisi tubadili mawazo?? Dodoma haishiki hiyo nafasi acha kudanganya watu leta takwimu TRA inasemaje dodoma kama sio 7 au8Usiwe mtu wa kukariri, nimeenda dom, pamechangamka sana, baada ya miaka michache mbele dom atashika nafasi ya 3 baada ya Dar na Mwanza
Yani arusha kinamchombeba ni watalii tu, ukitoa utalii ni aibu. Halafu anakuja mtu kuifananisha na the second biggest city in Tanzania, Mwanza, kweli!!
Leo ni 2024 stuka.Ukute hata Dom unaiona kwenye picha tuu 😁😁Hahahahaah Bahi nilienda mara ya mwisho 2015 hata majengo ya Halmashauri hayafanyi kazi ni sehem haina hadhi ya kuitwa hata kijiji. Mkuu punguza mzaha nenda arusha kama kuna takataka kama Bahi hata kamji ka mto wa Mbu imeendelea
Takwimu za TRA Dom ni ya 5 so mdau yupo sahihi.Leta takwimu acha taarabu..wewe kwenda dodoma ndio sisi tubadili mawazo?? Dodoma haishiki hiyo nafasi acha kudanganya watu leta takwimu TRA inasemaje dodoma kama sio 7 au8
Watu wa Arusha hawaamini macho yao 😅😅😅.Dodoma Iko Ligi yake yenyewe,kujilinganisha na Arusha ni kuwaonea wavuta bangi wanaojiita machalii 👇👇View attachment 2920953View attachment 2920954View attachment 2920956View attachment 2920957View attachment 2920958View attachment 2920959
Wanachoweza kufanya Kwa Sasa hao Machalii wa Arusha ni kujikakamua na kujitutumua tuu 😂😂.Watu wa Arusha hawaamini macho yao 😅😅😅.
Walikuwa wanadanganywa na vihotel vya wazungu pale ,ngoja waje kuona mji uliokamilika huku.
Arusha ni wanne sasa hapa Tz 😅😅
Unajitoa ufahamu na Chuga Slum Ili kujifariji si ndio? 😁😁.Usifananishe Arusha na mbukwenyi mbukwa Dodoma ni miongoni mwa mikoa makabila yake Wana roho mbaya masnitch
Majengo ya Serikali yanalipa Kodi? Kwani pale Dom kinachojengwa ni majengo ya Serikali tuu?Usidanganyike na ujenzi wa majengo ya serikali hiyo biashara ya msimu yakikamilika ndio biashara imeisha nothing will continue hata mapato dodoma iliongoza kipindi serikali inahamia leo hii haionekani tena kwenye mapato
Unajitoa ufahamu na Chuga Slum Ili kujifariji si ndio? 😁😁.
Kabla ya kwenda mbali naomba nijibu hapa ,Which is the Third largest city in Tanzania?
Dom The Capital City
View: https://youtu.be/lkGjypsIM9g?si=EPsLOqStEr7QYMmC
Jibu swali, Third largest city ya Tanznaia ni gani?Maskini Huwa unarudia post ..hamna kipya
Majengo ya Serikali yanalipa Kodi? Kwani pale Dom kinachojengwa ni majengo ya Serikali tuu?
Majengo yote marefu hapo Arusha ni ya nani kama sio Serikali? 😂😂😂 Story za kujifariji baada ya kichapo kutoka Kwa Dom 🤪🤪
View: https://youtu.be/Yln3VNHMAqE?si=7pZgVVbHGlbI_2pL
1 DarWatu wa Arusha hawaamini macho yao 😅😅😅.
Walikuwa wanadanganywa na vihotel vya wazungu pale ,ngoja waje kuona mji uliokamilika huku.
Arusha ni wanne sasa hapa Tz 😅😅
Arusha= FloridaKwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha.
Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa mbali kiasi kwamba machalii wa Chuga hawaelewi wahame au wasalie licha ya Serikali.
Serikali inajaribu kupambana Ili kuhakikisha hadhi ya Arusha kama kitovu Kikuu Cha Utalii haipokwi Kwa kufufua ujenzi wa Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano KICC,jengo la PAP,Makao Makuu ya Mahakama ya Africa ya Haki,Makao Makuu ya EAC na Baraza la michezo.
Hata hivyo Jiji la Didoma limeibuka Kwa Kasi na kuwa Jiji kubwa na la 3 Kwa wingi wa watu baada ya Dar na Mwanza kufuatia Msukumo mkubwa ukiofanywa na Hayati Magufuli Kwa Serikali kuhamia Dodoma na kuwasha mwenge wa ujuaji wa Jiji.
Dodoma Sasa ni kama kiwanda kikubwa ,Kimaoato Dom imeipiku Arusha na Mwanza just to rival Dar.Kwa maoni Yangu Baada ya Dar Jiji la ukweli Kwa Sasa ni Dodoma..
Dodoma City
View attachment 2726195
View attachment 2685450
View attachment 2685401View attachment 2685403
Arusha City
View attachment 2685446
View attachment 2685411View attachment 2685412View attachment 2685683
Mara florida mara sijui tel aviv kwa mayahudi waliolaaniwa, sijui tuwaelewe vipi dah.Arusha= Florida
Dodoma =Washington
Dar es salaam= New York
Kama ilivyo mwanamke hawezi kuwa mwanaume hata akiwa na wadhifa gani vivyo hivyo Dom haiwezi kuwa chugga
Kwani Arusha inaweza kuwa Dom? Dom labda iwe inafananishwa na Dar tuu.Arusha= Florida
Dodoma =Washington
Dar es salaam= New York
Kama ilivyo mwanamke hawezi kuwa mwanaume hata akiwa na wadhifa gani vivyo hivyo Dom haiwezi kuwa chugga