Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dom is on 🔥🔥
Screenshot_20240227-103534.jpg
Screenshot_20240227-103522.jpg
Screenshot_20240227-103553.jpg
Screenshot_20240227-103511.jpg
Screenshot_20240227-103457.jpg
Screenshot_20240227-103421.jpg
Screenshot_20240227-103408.jpg
 
Wewe acha kujifariji.

Chamwino na Bahi Ziko process ya kuwa Manispaa.

Unazoita fursa za kiuchumi sijui ni wapi hazipo.Wewe si unajua kabisa kwamba Uwanja mkubwa zaidi wa Ndege Tzn unajengwa Dom? Unadhani ni pambo Hilo?

Hivi unajua Dodoma ni Mkoa wenye Madini aina nyingi kushinda karibu Mikoa yote at least Kwa Sasa?

Stori za Sgr sijui nini hata Dom zipo.Dom ndio Ina future nzuri kushinda Mwanza.
Hahahahaah Bahi nilienda mara ya mwisho 2015 hata majengo ya Halmashauri hayafanyi kazi ni sehem haina hadhi ya kuitwa hata kijiji. Mkuu punguza mzaha nenda arusha kama kuna takataka kama Bahi hata kamji ka mto wa Mbu imeendelea
 
Kwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha.

Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa mbali kiasi kwamba machalii wa Chuga hawaelewi wahame au wasalie licha ya Serikali.

Serikali inajaribu kupambana Ili kuhakikisha hadhi ya Arusha kama kitovu Kikuu Cha Utalii haipokwi Kwa kufufua ujenzi wa Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano KICC,jengo la PAP,Makao Makuu ya Mahakama ya Africa ya Haki,Makao Makuu ya EAC na Baraza la michezo.

Hata hivyo Jiji la Didoma limeibuka Kwa Kasi na kuwa Jiji kubwa na la 3 Kwa wingi wa watu baada ya Dar na Mwanza kufuatia Msukumo mkubwa ukiofanywa na Hayati Magufuli Kwa Serikali kuhamia Dodoma na kuwasha mwenge wa ujuaji wa Jiji.

Dodoma Sasa ni kama kiwanda kikubwa ,Kimaoato Dom imeipiku Arusha na Mwanza just to rival Dar.Kwa maoni Yangu Baada ya Dar Jiji la ukweli Kwa Sasa ni Dodoma..

Dodoma City
View attachment 2726195
View attachment 2685450
View attachment 2685401View attachment 2685403

Arusha City
View attachment 2685446
View attachment 2685411View attachment 2685412View attachment 2685683
Usifananishe Arusha na mbukwenyi mbukwa Dodoma ni miongoni mwa mikoa makabila yake Wana roho mbaya masnitch
 
Dom inakuja kwa kasi acha kukariri, mimi sio wa dodoma, mimi ni lake zone

Dar
Mwz

Endelea na list
Usidanganyike na ujenzi wa majengo ya serikali hiyo biashara ya msimu yakikamilika ndio biashara imeisha nothing will continue hata mapato dodoma iliongoza kipindi serikali inahamia leo hii haionekani tena kwenye mapato
 
Usiwe mtu wa kukariri, nimeenda dom, pamechangamka sana, baada ya miaka michache mbele dom atashika nafasi ya 3 baada ya Dar na Mwanza

Yani arusha kinamchombeba ni watalii tu, ukitoa utalii ni aibu. Halafu anakuja mtu kuifananisha na the second biggest city in Tanzania, Mwanza, kweli!!
Leta takwimu acha taarabu..wewe kwenda dodoma ndio sisi tubadili mawazo?? Dodoma haishiki hiyo nafasi acha kudanganya watu leta takwimu TRA inasemaje dodoma kama sio 7 au8
 
Leta takwimu acha taarabu..wewe kwenda dodoma ndio sisi tubadili mawazo?? Dodoma haishiki hiyo nafasi acha kudanganya watu leta takwimu TRA inasemaje dodoma kama sio 7 au8
Takwimu za TRA Dom ni ya 5 so mdau yupo sahihi.

Kwa Kasi ya Ukuaji wa Jiji la Dom,Dom itakuwa namba 3 nyumba ya Dar na Arusha.Itazipota Mwanza na Kilimanjaro.

Dom the Capital City 🔥🔥
Screenshot_20240305-123244.jpg
Screenshot_20240305-123306.jpg
Screenshot_20240305-123321.jpg
Screenshot_20240305-123336.jpg
Screenshot_20240217-122628.jpg
-928051851.jpg
497700624.jpg
-734442678.jpg
-391039604.jpg
1745720348.jpg
 
Watu wa Arusha hawaamini macho yao 😅😅😅.

Walikuwa wanadanganywa na vihotel vya wazungu pale ,ngoja waje kuona mji uliokamilika huku.

Arusha ni wanne sasa hapa Tz 😅😅
Wanachoweza kufanya Kwa Sasa hao Machalii wa Arusha ni kujikakamua na kujitutumua tuu 😂😂.

Wataongea nini wakati Dodoma ni Third largest city in Tanzania with respect to population size.

Ila Dom imeleta heshima
 
Usidanganyike na ujenzi wa majengo ya serikali hiyo biashara ya msimu yakikamilika ndio biashara imeisha nothing will continue hata mapato dodoma iliongoza kipindi serikali inahamia leo hii haionekani tena kwenye mapato
Majengo ya Serikali yanalipa Kodi? Kwani pale Dom kinachojengwa ni majengo ya Serikali tuu?

Majengo yote marefu hapo Arusha ni ya nani kama sio Serikali? 😂😂😂 Story za kujifariji baada ya kichapo kutoka Kwa Dom 🤪🤪

View: https://youtu.be/Yln3VNHMAqE?si=7pZgVVbHGlbI_2pL
 
Kwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha.

Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa mbali kiasi kwamba machalii wa Chuga hawaelewi wahame au wasalie licha ya Serikali.

Serikali inajaribu kupambana Ili kuhakikisha hadhi ya Arusha kama kitovu Kikuu Cha Utalii haipokwi Kwa kufufua ujenzi wa Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano KICC,jengo la PAP,Makao Makuu ya Mahakama ya Africa ya Haki,Makao Makuu ya EAC na Baraza la michezo.

Hata hivyo Jiji la Didoma limeibuka Kwa Kasi na kuwa Jiji kubwa na la 3 Kwa wingi wa watu baada ya Dar na Mwanza kufuatia Msukumo mkubwa ukiofanywa na Hayati Magufuli Kwa Serikali kuhamia Dodoma na kuwasha mwenge wa ujuaji wa Jiji.

Dodoma Sasa ni kama kiwanda kikubwa ,Kimaoato Dom imeipiku Arusha na Mwanza just to rival Dar.Kwa maoni Yangu Baada ya Dar Jiji la ukweli Kwa Sasa ni Dodoma..

Dodoma City
View attachment 2726195
View attachment 2685450
View attachment 2685401View attachment 2685403

Arusha City
View attachment 2685446
View attachment 2685411View attachment 2685412View attachment 2685683
Arusha= Florida
Dodoma =Washington
Dar es salaam= New York
Kama ilivyo mwanamke hawezi kuwa mwanaume hata akiwa na wadhifa gani vivyo hivyo Dom haiwezi kuwa chugga
 
Arusha= Florida
Dodoma =Washington
Dar es salaam= New York
Kama ilivyo mwanamke hawezi kuwa mwanaume hata akiwa na wadhifa gani vivyo hivyo Dom haiwezi kuwa chugga
Mara florida mara sijui tel aviv kwa mayahudi waliolaaniwa, sijui tuwaelewe vipi dah.

1Dar
2Mwz
3Dom

Majiji ma3 yaliobakia chagueni moja list iendee
 
Arusha= Florida
Dodoma =Washington
Dar es salaam= New York
Kama ilivyo mwanamke hawezi kuwa mwanaume hata akiwa na wadhifa gani vivyo hivyo Dom haiwezi kuwa chugga
Kwani Arusha inaweza kuwa Dom? Dom labda iwe inafananishwa na Dar tuu.

Huko tuendako Dom inaenda kuwa Second Largest city,Kumbuka mtumba kule sio Dom City Wala Chamwino.

Ikiundwa tuu Manispaa ya Chamwino tayari Dom inakuwa Second Largest city in Tanzania na population yake inakua Kwa Kasi.
 
Back
Top Bottom