ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Anaruka ruka kama uji kutafuta nafasi ya Arusha haioni π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺMara florida mara sijui tel aviv kwa mayahudi waliolaaniwa, sijui tuwaelewe vipi dah.
1Dar
2Mwz
3Dom
Majiji ma3 yaliobakia chagueni moja list iendee
Jinga kweli ππππ1. Dar
2. Arusha
3. Dodoma
4. Mwanza .
Anayepinga na na hii ni chizi.
We lofa nani kauliza wingi wa watu? Unaugua uchizi. By the way Arusha haijawekwa Arusha wilaya,. Mtaisoma. Hiyo list ni full package. Sio category moja.
Top 3 Largest City kwako Huwa inahusisha nini? ππππWe lofa nani kauliza wingi wa watu? Unaugua uchizi. By the way Arusha haijawekwa Arusha wilaya,. Mtaisoma. Hiyo list ni full package. Sio category moja.
ππRudi shule aisee hakuna mji unaitwa Florida...Florida ni jimbo mojawapo la MarekaniArusha= Florida
Dodoma =Washington
Dar es salaam= New York
Kama ilivyo mwanamke hawezi kuwa mwanaume hata akiwa na wadhifa gani vivyo hivyo Dom haiwezi kuwa chugga
1. Dar
2. Arusha
3. Dodoma
4. Mwanza .
Anayepinga na na hii ni chizi.
Ulifundishwa shule hivyo sio? Lakini nazan meseji imezama ndo maan ukakosoaππRudi shule aisee hakuna mji unaitwa Florida...Florida ni jimbo mojawapo la Marekani
We lofa nani kauliza wingi wa watu? Unaugua uchizi. By the way Arusha haijawekwa Arusha wilaya,. Mtaisoma. Hiyo list ni full package. Sio category moja.
Ulifundishwa shule hivyo sio? Lakini nazan meseji imezama ndo maan ukakosoa
Jiji ni jiji hata kama la hovyo kiasi gan lakin ukienda dom utajua uko Dom na ukienda chugga utajua umefika miamiKwani Arusha inaweza kuwa Dom? Dom labda iwe inafananishwa na Dar tuu.
Huko tuendako Dom inaenda kuwa Second Largest city,Kumbuka mtumba kule sio Dom City Wala Chamwino.
Ikiundwa tuu Manispaa ya Chamwino tayari Dom inakuwa Second Largest city in Tanzania na population yake inakua Kwa Kasi.
Jiji ni jiji hata kama la hovyo kiasi gan lakin ukienda dom utajua uko Dom na ukienda chugga utajua umefika miami
Miami iko ndani ya FloridaHaya sasa, yamekua hayo tena! Mwanzo mlisema Tel aviv, ukasema florida ambalo ni jimbo, na sasa Miami π aise tukuelewe vipi! Bado Dubai tu, nasubiri
Watu wa hovyo kama wewe ndio mnaona Arusha is worthwhile.Jiji ni jiji hata kama la hovyo kiasi gan lakin ukienda dom utajua uko Dom na ukienda chugga utajua umefika miami
Dodoma inajengwa na Serikali ila Arusha hapana ππ
View: https://www.instagram.com/p/C4NLEBPqDQL/?igsh=MXg4dzh4aXdkcWNoNQ==π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Tujamaa tuna wivu mbaya sana ππ,Kwa taarifa yenu hicho mnachoona Serikali imekifanya Dom ni 50% tuu, endeleeni kunywa mtori nyama zinakuja Hadi mseme shikamoo Dom
We hutakiwi kushobokea jiji lolote, ,unatakiwa tu uelewe kuwa Ile kwamba mwanamke kawa mrefu,sijui anandevu hakumfanyi kuwa mwanaume ,kama ilivo Dom itabaki kuwa Dom na chugga itabaki kuwa miamiWatu wa hovyo kama wewe ndio mnaona Arusha is worthwhile.
Dom Kuna vitu vingi vya mtu kushoboka,Sasa Arusha nishoboke na nini hasa? Niambie
Unachekesha sana kulinganisha Arusha na Miami....Miami ni Jiji lililozungukwa na bahari+beaches Arusha inazungukwa na nini...ππWe hutakiwi kushobokea jiji lolote, ,unatakiwa tu uelewe kuwa Ile kwamba mwanamke kawa mrefu,sijui anandevu hakumfanyi kuwa mwanaume ,kama ilivo Dom itabaki kuwa Dom na chugga itabaki kuwa miami
Huyo mvuta bangi wa Kwa Mromboo kachanganyikiwa na bakora za Dom ππUnachekesha sana kulinganisha Arusha na Miami....Miami ni Jiji lililozungukwa na bahari+beaches Arusha inazungukwa na nini...ππ
Unakutana na Mbugila mmja kachanganyikiwa na Bangi eti analinganisha Dom na uswazi ya Arusha.We hutakiwi kushobokea jiji lolote, ,unatakiwa tu uelewe kuwa Ile kwamba mwanamke kawa mrefu,sijui anandevu hakumfanyi kuwa mwanaume ,kama ilivo Dom itabaki kuwa Dom na chugga itabaki kuwa miami