Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Mara florida mara sijui tel aviv kwa mayahudi waliolaaniwa, sijui tuwaelewe vipi dah.

1Dar
2Mwz
3Dom

Majiji ma3 yaliobakia chagueni moja list iendee
Anaruka ruka kama uji kutafuta nafasi ya Arusha haioni πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ
 
1. Dar
2. Arusha
3. Dodoma
4. Mwanza .
Anayepinga na na hii ni chizi.
Jinga kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sensa 2022 πŸ‘‡πŸ‘‡

Screenshot_20240307-094314.jpg
 
We lofa nani kauliza wingi wa watu? Unaugua uchizi. By the way Arusha haijawekwa Arusha wilaya,. Mtaisoma. Hiyo list ni full package. Sio category moja.
Top 3 Largest City kwako Huwa inahusisha nini? 😁😁😁😁
 
Arusha= Florida
Dodoma =Washington
Dar es salaam= New York
Kama ilivyo mwanamke hawezi kuwa mwanaume hata akiwa na wadhifa gani vivyo hivyo Dom haiwezi kuwa chugga
πŸ˜‚πŸ˜‚Rudi shule aisee hakuna mji unaitwa Florida...Florida ni jimbo mojawapo la Marekani
 
Kwani Arusha inaweza kuwa Dom? Dom labda iwe inafananishwa na Dar tuu.

Huko tuendako Dom inaenda kuwa Second Largest city,Kumbuka mtumba kule sio Dom City Wala Chamwino.

Ikiundwa tuu Manispaa ya Chamwino tayari Dom inakuwa Second Largest city in Tanzania na population yake inakua Kwa Kasi.
Jiji ni jiji hata kama la hovyo kiasi gan lakin ukienda dom utajua uko Dom na ukienda chugga utajua umefika miami
 
Jiji ni jiji hata kama la hovyo kiasi gan lakin ukienda dom utajua uko Dom na ukienda chugga utajua umefika miami

Haya sasa, yamekua hayo tena! Mwanzo mlisema Tel aviv, ukasema florida ambalo ni jimbo, na sasa Miami πŸ˜ƒ aise tukuelewe vipi! Bado Dubai tu, nasubiri
 
Jiji ni jiji hata kama la hovyo kiasi gan lakin ukienda dom utajua uko Dom na ukienda chugga utajua umefika miami
Watu wa hovyo kama wewe ndio mnaona Arusha is worthwhile.

Dom Kuna vitu vingi vya mtu kushoboka,Sasa Arusha nishoboke na nini hasa? Niambie
 
Dodoma inajengwa na Serikali ila Arusha hapana πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C4NLEBPqDQL/?igsh=MXg4dzh4aXdkcWNoNQ==
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Tujamaa tuna wivu mbaya sana 😁😁,Kwa taarifa yenu hicho mnachoona Serikali imekifanya Dom ni 50% tuu, endeleeni kunywa mtori nyama zinakuja Hadi mseme shikamoo Dom
 
Nna ndoto ya kuhamia dom kwa baadae Allah akinipa uhai

Katika majiji nimetokea kuyapenda, kibiashara, kuishi πŸ‘‡
1 Mwanza
2 Dar
3 Moro mkoa and Dom jijiπŸ’ͺ🏽

Mbeya sijawahi fika maalim wangu, ila nasikia ni kuzuri sana, na ile green yao
 
Watu wa hovyo kama wewe ndio mnaona Arusha is worthwhile.

Dom Kuna vitu vingi vya mtu kushoboka,Sasa Arusha nishoboke na nini hasa? Niambie
We hutakiwi kushobokea jiji lolote, ,unatakiwa tu uelewe kuwa Ile kwamba mwanamke kawa mrefu,sijui anandevu hakumfanyi kuwa mwanaume ,kama ilivo Dom itabaki kuwa Dom na chugga itabaki kuwa miami
 
We hutakiwi kushobokea jiji lolote, ,unatakiwa tu uelewe kuwa Ile kwamba mwanamke kawa mrefu,sijui anandevu hakumfanyi kuwa mwanaume ,kama ilivo Dom itabaki kuwa Dom na chugga itabaki kuwa miami
Unachekesha sana kulinganisha Arusha na Miami....Miami ni Jiji lililozungukwa na bahari+beaches Arusha inazungukwa na nini...πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We hutakiwi kushobokea jiji lolote, ,unatakiwa tu uelewe kuwa Ile kwamba mwanamke kawa mrefu,sijui anandevu hakumfanyi kuwa mwanaume ,kama ilivo Dom itabaki kuwa Dom na chugga itabaki kuwa miami
Unakutana na Mbugila mmja kachanganyikiwa na Bangi eti analinganisha Dom na uswazi ya Arusha.

Dom ni Capital City na Capital City inafanania namna hii πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/dK4KV8Dr6Jg?si=3wMQRZGm-bDPtKOH
 
Back
Top Bottom