Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Kuipita Arusha Kwa lipi labda? Misitu na Camp site au nini? Be specific.

Kama ni Kwa misitu huko tunaachia ngedere.

Mwisho nimegundua Arusha na Mwanza ni prone Kwa mafuriko sana
Eneo lolote lenye drainage na mito Huwa halikosi mafuriko sasa huko jangwani misri mafuriko yatokee wapi
 
Iyumbu Satellite City hiyo karibu na Udom....only in Dodoma proper planning huwezi kuipata popote East and Central Africa wewe endelea kujifariji tu [emoji3][emoji3]
Outdated planning....hamna jiji la kisasa linajenga bungalow kama hvyo

Kisesa housing
 
Miaka 50 Nyuma inaendelea kutoa kichapo Kwa wenye miaka 50 mbele πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Dom kamatia hapo hapo πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 2965941View attachment 2965942
Mkuu nafikiri una shida kidogo ume Count pesa ambazo serikali ime inject kwenye dodoma city development lake kwenye halmashauri ziko frame kama mapato. Ukutaka kujua angalia kwenye kodi ta TRA Dodoma mmefichwa
 
Mkuu nafikiri una shida kidogo ume Count pesa ambazo serikali ime inject kwenye dodoma city development lake kwenye halmashauri ziko frame kama mapato. Ukutaka kujua angalia kwenye kodi ta TRA Dodoma mmefichwa
Aliyekudanya nani? Fedha za Miradi zinakuaje makusanyo ya Jiji? Uwe unasoma na kuelewa Bajeti za serikali
 
Hayo mapato kwanin hayapo kwenye kodi??
Unakuaje mapato na kodi hutoi TRA
Hivi wewe umelewa mbege? Vyanzo vya Mapato ya Serikali ni
-Makusanyo ya TRA
-Makusanyo ya Halmashauri
-Makusanyo ya Wizara,Taasisi na Wakala eg Tanapa, Ngorongo,Tume ya Madini nk
-Mikopo
 
Yani dodoma nao wanashindana na ARUSHAπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜


Mkoa mzima umekaa kama kijiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…