ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kuipita Arusha Kwa lipi labda? Misitu na Camp site au nini? Be specific.Bila picha ni ujinga tu...
habari maelezo sio mahala pake hapa
Hamtakuja kamwe kuipita Arusha View attachment 2961772
Kama ni Kwa misitu huko tunaachia ngedere.
Mwisho nimegundua Arusha na Mwanza ni prone Kwa mafuriko sana