ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
π€£π€£ Ni wivu Kwa sababu anajua Mwanza Kwa Dom ni takataka,View attachment 2685498
Arusha tushavuka huko nyota t tunafukuzia 6 na 7 karibu mbugani tunazindua soon nyota 5 nyingineMambo yanazidi kunoga ndani ya Dom the Capital City π
View: https://www.instagram.com/reel/C6gj9ZvoKXN/?igsh=MTNybm8xdnB5aWo1cw==
Tangulini ujenzi wa mji Mkuu ukaisha unachekesha sana...nenda kaangalie Abuja,Ankara,Brasilia,Yamoussoukro, n.k kama wameshamaliza kuijenga hiyo miji mikuu. Utaendelea kujifariji kila siku ila ukweli Arusha kwa sasa haifiki hata nusu ya Dom City ...kitu pekee Arusha inachozidi Dom ni sekta ya utalii basiDodoma ni nguvu ya soda haitaikuta Arusha hadi mwisho wa Dunia ππ π€£ π ngojeni serikali imalizane na ujenzi wa mji wake. dodoma iko mkiani kwa umaskinii
Siku mkifika level hii ya Dom unitag ππDodoma ni nguvu ya soda haitaikuta Arusha hadi mwisho wa Dunia ππ π€£ π ngojeni serikali imalizane na ujenzi wa mji wake. dodoma iko mkiani kwa umaskinii
Hivyo vilimo ni vya kustawi kwenye hali ya hewa kame we jamaa.Kama hali ya hewa mbaya inakuaje tena wanaongoza Tanzania nzima kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Mtama,Uwele,Mbaazi,Tende,Rosella,Nafaka.Tangu lini hali ya hewa mbaya ikasapoti kilimoπππ
Baridi la Arusha huwezi fananisha na la Dodoma we jamaa.Dodoma kuna joto....na Dar Es Salaam nao wasemajeπππ.Hali ya hewa ya Dodoma ni moderate sio joto wala sio baridi ila kwenye miezi ya kiangazi kuanzia Mei hadi Oktoba baridi ni kali sana kama Arusha
Yes Arusha ni baridi throughout mwakamzima lakini Dodoma pia hali ya hewa kuna miezi ya baridi kali kama Arusha especially kuanzia Mei,June,July hadi Agosti. Kwahiyo huwezi kusema hali ya hewa ya Dom ni joto mwakamzima hapana inabidi ugawe vipindi vya baridi na jotoBaridi la Arusha huwezi fananisha na la Dodoma we jamaa.
Arusha baridi lake exceptional.
Degree celsius za baridi la Aru hazifanani na Dom.
Dodoma labda ije kuipiku Arusha baadae ila sio sasa.Acha kuketa maneno kutoka kwa matejoo, kwani mimi nashindwa kuandika mazuri kuhusu dodom na nikaleta humu, Dodoma ilishawanyea toka mwaka juzi, size yenu ni sumbawanga na mbeya city.
..ebu kuwa serious kidogo aisee hivi kuna Jiji lolote Tanzania linaloikaribia Dodoma hata nusu kwa mtandao mpana wa barabara za lami mtaani. Dodoma ukwame wapi lami tupu kila sehemu.Dodoma CBD yote ni full lami...barabara za vumbi ni za kuhesabu tena ni zile ambazo zipo maeneo ya nje ya mji.Bado sana na barabara za Dom zina viraka kibao aisee.
Weeeeh!Weeeh!Weeeh!..ebu kuwa serious kidogo aisee hivi kuna Jiji lolote Tanzania linaloikaribia Dodoma hata nusu kwa mtandao mpana wa barabara za lami mtaani. Dodoma ukwame wapi lami tupu kila sehemu.Dodoma CBD yote ni full lami...barabara za vumbi ni za kuhesabu tena ni zile ambazo zipo maeneo ya nje ya mji.
Kiukweli ule mji unapendelewa sana na serikali barabara za lami zinajengwa mitaani kilasiku.
Just imagine mradi wa ring road unajengwa kwa kiwango cha lami (zaidi ya kilometres 110)....tangu tupate uhuru hakuna barabara ndefu ya lami(ndani ya mji) imewahi kujengwa inayofikia km 110
Dom barabara zote main roads ni lami tupu,barabara zote city center ni lami tupu,barabara zote za kuifikia mitaa kwa daladala ni lami tupu hadi ndani ndani huko Nkuhungu n.k.Weeeeh!Weeeh!Weeeh!
Mie nimefika Dodoma nenda katembelee Kigamboni Dodoma MITAA YAKE YOTE HAINA LAMI HATA KIDOGO.
Nenda na Ipagala au kiurahisi anzia pale WINNERS kuja huku Ipagala ingia mitaani kama utakuta kuna Lami!
Ni vumbi tupu,na barabara za Dodoma mjini hazina hata ubora nyingi zimepachuka pachuka.
Kwa kujibu hilo Dar sasa hivi ina mtandao mpana wa lami mitaani kuliko Dodoma.
Pita CBD yote ya Dar kuanzia Kariakoo na viunga vyake,Posta(mpya na Zamani),Ilala uone kama kuna vumbi.
Nenda na CBD ya Morocco/Victoria uone mtandao wa Lami mitaani pia.
Dodoma nimetoka juzi tu hapo bro,Dodoma bado ipeni muda.
Unaruka ulichokisema mkuu!?Dom barabara zote main roads ni lami tupu,barabara zote city center ni lami tupu,barabara zote za kuifikia mitaa kwa daladala ni lami tupu hadi ndani ndani huko Nkuhungu n.k.
Hizo za vumbi unazoongelea ni street roads.
Dodoma kwako ni cc pekee sio mkoa na wilaya zake?Unachekesha sana...Dodoma CC inashika nafasi ya pili both makusanyo ya Halmashauri na TRA
Jiji la Dodoma laongoza tena kwa mapato nchini
Halmashauri zote zakusanya Bilioni 449 Mapato Ya Ndani IKIWA imepita robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2018/2019, Halmashauri zote nchini zimekusanya Sh. bilioni 449.8 ambayo ni asilimia 61 kati ya Sh. bilioni 735.6 zilizotarajiwa kukusanywa kutoka kwenye vyanzo vya ndani huku Halmashauridodomacc.go.tz
Huko shule ulienda kusoma ujinga eti....ndiomana huwa nakwambia uende Facebook ukabishane humu hupaweziππ....title ya thread ni Dodoma CC vs Arusha CC sio Dodoma RC vs Arusha RC.Dodoma kwako ni cc pekee sio mkoa na wilaya zake?
Kanyaga twende Dom Hadi waombe poo ππHuko shule ulienda kusoma ujinga eti....ndiomana huwa nakwambia uende Facebook ukabishane humu hupaweziππ....title ya thread ni Dodoma CC vs Arusha CC sio Dodoma RC vs Arusha RC.
Kama vp anzisha thread mpya ya kushindanisha mkoa wa Dodoma (wenye halmashauri 8) vs mkoa wa Arusha (na halmashauri zake 7)
π¨π¨π¨π¨ Kanyaga twende Dom ππDodoma kwako ni cc pekee sio mkoa na wilaya zake?